KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Friday, September 30, 2011

Afisa Elimu wa Mkoa wa Lichinga Nchini Msumbiji Paulina Magagula akiwa Mkoani Ruvuma kushuhudia Mkataba wa Maendeleo Baina ya Manispaa ya lichinga na Manispaa ya Songea kuhusu Maendeleo ya Biashara na Elimu.

( Regional Education Officer of Lichinga Pailina Magagula who visite at Ruvuma Regional to be witness for Agrement between municipal of Lichinga and Manispaa of Songea for Development in Bussines and Education).[Picture by Adam Nindi]


Katibu wa Mbunge Jimbo la Songea Mjini Andrew Chatwanga akiwa katika viwanja vya Manispaa ya Songea kushuhudia Mkataba wa Maendeleo kati ya Manispaa ya Lichinga Msumbiji na Manispaa ya Songea Tanzania


Katibu wa CCM wilaya ya Songea akiwa na Meya wa Manispaa ya Lichinga Msumbiji Augusto Lius akitoa nasaha kwa watoto wa Shule ya Msingi Mfaranyaki wazingatie elimu

MKATABA KATI YA LICHINGA MSUMBIJI NA MANSPAA YA SONGEA TANZANIA

Meya wa Manspaa ya Songea Chares Mhagama akienda jukwaani kuhutubia wananci kujua madhumuni ya mkataba kati ya Lichinga Msumbiji na Songea Tanzani akiwa na mpambe wake Diwani wa Mateka Rehema Milinga [Picha na Adam Nindi] Meya wa Manspaa ya Songea Chares Mhagama akitia sahihi Mkataba wa Mahusiano ya kibiashara,Elimu,na Uhusiano Mwema kati ya Manspaa ya Songea na Manspaa ya Lichinga aliye katikati ni Meya wa Lichinga Augusto Lius [Picha na Adam Nindi]


Afisa Elimu kutoka Lichinga Msumbiji Paulina Magagula akiwa na wanafunzi kutoka Msumbiji wakiwa Serengeti wakipata Chakula baada ya kutembelea miradi Mbalimbali ya Manspaa ya Songea ikiwemo miradi ya Secondary.[Picha na Adam Nindi]

MEYA WA MANSPAA YA LICHINGA MSUMBIJI ATEMBELEA MKOA WA RUVUMA

Wafanyakazi wa SOWASA wakiwa na wageni kutoka Msumbiji wakitembezwa ili kuona jinsi mkoa wa Ruvuma ulivyo piga hatua katika kuhudumia wananchi huduma ya maji aliye vaa shati jekundu ni Meya wa Jiji la Lichinga Nchini Msumbiji Augosto Lius na aliye vaa shati yanjano Mstaiki Meya wa Manspaa ya Songea Chares MhagamaMeya wa Manspaa ya Songea Chares Mhagama akiwa na Msitaiki Meya wa Lichinga Nchini Msumbiji Augost Luis akimtembeza kuona miradi ya Maji katika chujio la maji Matogoro


Wanafunzi kutoka Msumbiji walio kuja kujifunza kuhusu elimu katika manspaa ya songea hapo wapo na mwalimu wao aliye simama nyuma ya wanafunzi kushoto



Meya wa manspaa ya Songea aliye vaa shati la njano Chares Mhagama akiwa na Meya wa Manspaa ya Lichincha Nchini Msumbiji Agusto Lius aliye vaa shati Jekundu, Aliye kulia ni Mwandishi wa Radio Free Africa na Star TV ndugu Adamu Nindi

Tuesday, September 27, 2011

NAIBU MEYA MANSPAA SONGEA AKIELEZA MCHAKATO WA MAENDELEO

Naibu meya wa Manspa ya Songea Mariam Didhumba akiongea na wandishi wa Habari jinsi ya kuimarisha miradi ya wanawake katika manspaa ya Songea

Sunday, September 25, 2011

WAZIRI WA HABARI AWATAKA WAANDISHI KUWA WAADILIFU

Waziri wa Habari utamaduniVijana na Michezo Dr Emanuel John Nchimbi amewataka wana habari kuandika habari zenye uhakika badala ya kutegemea habari za kuandikiwa na bila uchunguzi wowote kuzipeleka katika vyombo vyao vya Habari,Habari ambazo hazija chunguzwa zinazo lenga kuzalilisha viongozi.

Dr Emanuel John Nchimbi amesema hayo baadaya vyombo vya habari nchini kuandika habari za uongo zikidai kuwa Mh. Dr Emanuel John Nchimbi alikimbia na sanduku lenye kura za matokeo ya udiwani katika uchaguguzi wakumtafuta Meya wa Mnspaa ya Songea baada ya aliye Meya wa Mwanzo Ally Saidi Manya kufariki 29/09/2011

Baada ya Uchaguzi kufanyika Chares Mhagama alipata kura 14 dhidi ya kura 12 zilizo mkataa baadaya ya matokeo kutangazwa na Meya kushika nafasi yake ndipo baadhi ya Madiwani walipo leta hoja ya kudai kuwa kura ziliibiwa . Dr Nchimbi amesema kila mtu alikuwa macho na kila kitu kilicho kuwa kikiendelea vipi kura ziibiwe . ,

Dr Emanuel John Nchimbi ameyataka Magazeti yaliyo andika habari hizo za uongo wakanushe habari hizo mara moja kwa kuandika ukurasa wa mbele. Ame ya taka Magazeti ya Majira, Mwanachi na Tanzania Daima kukanusha habari walizo zichapisha mara moja

Mh.Dr Nchimbi amewataka waandishi kutenda haki kama wana weza kumsingizia Waziri wa habari mwenye dhamana katika widhara walioko waandishi jee Mwananchi wa kawaida wana weza kumtendea haki.
kazi kubwa ya waandishi ni kuamusha chachu ya maendeleo katika maeneo waliyoko nasiyo kuandika habari za uongo zenye lengo la kufedhehesha viongozi wao ,

Dr Emanuel John Nchimbi amesema wandishi wa habari wa mkoa wa Ruvuma wanatakiwa wawe mfano wa uandishi wengine Nchini kwa kuandika habari zenye kujenga na kuonyesha njia ya kuya fikia maendeleo .

waziri wahabari Dr Emanuel John Nchimbi amesema Rais ameutunukia mkoa wa Ruvuma Kuwa na Waziri kutokana na Mchango Mzuri wanao ufanya wana Ruvuma katika kuleta Maendeleo ni juu ya waandishi kulinda heshima hiyo kwa kuandika habari Mzuri .

WAZIRI WA HABARI NA MEYA WA MANSPAA YA SONGEA

Waziri wa Habari Utamaduni Vijana na Michezo Mh Dr Emanueli John Nchimbi akiwa na Meya wa Manspaa ya Songea Chares Mhagama Mara baada ya kuchaguliwa kwa kura 14 dhidi ya kura 12 zilizo mkataa.

MKURUGENZI WA MANSPAA YA SONGEA

Mkurugenzi wa Manspaa ya Songea Zakaria Nachoa akiwa katika ofisi ya Aridhi Mkoa Baada ya kumalizakazi nzito ya kumtawadha Meya wa Mamanspaa ya Songea Chares Mhagama

WAZIRI WA HABARI DR. EMANUEL NCHIMBI NA WANDISHI SONGEA

Meya wa Mnspaa ya Songea Chaers Mhagama baada ya kuutwaa umeya wa manspaa ya Songea hapo akiwa ofisini kwake.
Waziri wa Habar utamaduni michezo na vijana Mh.Emanuel John Nchimbi akiwa na waandishi wa habari mkoa wa ruvuma wakati alipo ita kikao cha pamoja kutoa Tarifa juu ya kupotosha hali kamili ya uchaguzi wa meya wa manspaa ya songea, Pichani Juu ni baada ya kikao cha Wndishi na Mh. Wazaairi waHabari

Thursday, September 22, 2011

MKUU WA MKOA WA IRINGA APATA BARAKA ZA WAISLAM RUVUMA

Sheikh wa Msikiti wa Jumuiya ya Waislam Ahamadiyya Mkoani Ruvuma Shabib Mahamod Bhatti akimpa aliye kuwa mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Dr Cristine Ishengoma Kurani Tukufu ili aweze kujua wajibu wa mwislamu nini kwa viongozi wanao watawala

Tuesday, September 20, 2011

Viongozi mbalimbali wana himiza uzalendo wa kupenda nchi yako jee utapenda nchi bila kujua madili ya Makabila yanayo kuzunguka, moja ya madili ya makabila ya watu wa kusini ni ukarimu, Huruma kama unavyo iona Ramaini ya Tanzania inavyo onyesha upendo.

WATOTO YATIMA CHIPOLE SONGEA VIJIJINI WAOMBA MSAADA

Misheni ya Chipole iliyoko Songea vijijini hupokea watoto ambao hawana wazazi na wale wazazi wao ambao wana upungufu wa akili, changamoto inayo kabili kituo cha kulelea watoto chipole ni kukosa ushirikiano na Jamii kusaidia kituo hicho kwa kile walicho kuwa nacho, Pichani Juu ni mtoto Yatima akilazimishwa kunywa uji,

Sunday, September 18, 2011

Mwonekano wa jiji la Dar -es - salaam na pilika za magari yakiwa katika barabara kuu iendayo Mikoani

Hali ya uchafuzi wa mazingira barabarni wasafiri wanao safiri hutupa makopo ovyo ,pia jambo la kiusafi nipale Basi linapo simama na kusema tuchimbe dawa na kila mmoja kujisaidia anapo taka jee hali hii tuta kabiliana nayo vipi? Mbeleni kutazuka magonwa ya mlipuko ambayo yatatugharimu fedha nyingi kutibu watu nivizuri changamoto hii tuitatue mapema

Saturday, September 17, 2011

TACOSODE MKOMBOZI WAWANYONGE

Mkombozi wawanyonge mama Kapinga kutoka TACOSODE amekuwa mkombozi kwa kuwawezesha wananchi wa kawada kujua jinsi ya kusimamia Rasilimali zao pamoja na kushiriki kazi zenye kuleta maendeleo

WANA RUVUMA WAMKUMBUKA DR CRISTINA ISHENGOMA

Mashujaa wa Jeshi la Wananchi Tanzania wakiweka shahada ikiwa ni moja ya kuwa kumbuka mashujaa walio nyongwa na kuzikwa kaburi moja

Aliye kuwa mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Dr ,Cristina Ishengoma wanaruvuma hawata msahau kutokana na kazi alizo zifanya ikiwa pamoja na kilimo, Kuweka hali mzuri ya kumbukumbu za mashujaa walio nyongwa na Wajerumani hapo anaonekana akiwa amevaa mavazi yenye rangi nyekundu ikiwa ni ishara ya nguo za machifu.Wanaruvuma wanamtakia maisha mema mkoani Iringa

Friday, September 16, 2011

MASHOGA WAJA JUU KUDAI HAKI ZAO ZA MSINGI

MKURUGENZI WA TGNP AKIELEZEA HAKI ZA MASHOGA KUSHIRIKI TAMASHA LA JINSIA TANZANIAWaandishi wa habari kutoka Tanzani Bara wakisikiliza maelezo ya Mkurugenzi kuwepo kwa uhalali wa mashoga katika Tamasha amesma kushiriki kwao ni ahaki kimsingi wa haki za binadamu




Dakitari aliye zua kizaa zaa baada ya kusema hadharani kuwa biashara ya kutembea kati ya mwanamue na mwaname ni kinyume na haki kiaafya

Otilia Paulinus Subject: vurugu za mashogaTo: otiliapaulinus@yahoo.comDate: Friday, September 16, 2011, 3:40 PM
Na Otilia Paulinus
VURUGU kubwa zimetokea jana katika Mtandao wa Jinsia Tanzania(TGNP) baada ya mtaalamu wa masuala ya afya Gerald Samuel kuchangia maadhimio ya nini kifanyike juu ya wanaume na wanawake wanaofanya mapenzi kinyume na maumbile na kutoa ushauri wa vijana hao mashoga kuacha mara moja biashara hiyo.


Tukio hilo ambalo liliwashangaza wengi walio hudhuria tamasha hilo kutoka ndani na hata nje ya nchi lilitokea majira ya saa 10 jioni katika viwanja vya TGNP Mabibo Dar es Salaam wakati wanaharakati hao wakitoa tathimini nini kifanyike baada ya tamasha ikiwa nchi inaelekea miaka 50 ya uhuru huku wanaume na wanawake wanaofanya mapenzi kinyume na maumbile wakizidi kushamili.


Kutokana na ushauri na mchango wa mtaaluma huyo kwa wanaharakati hao kutaka wasaidie kupiga vita vitendo vya ushoga na vile vya wanawake kufanya mapenzi kinyume na maumbile ndipo kundi la mashoga walipo taka kumvamia na kutaka kumpiga kwa madai kuwa wao wanahaki ya kuwa mashoga.


Baada ya mtaalma huyo kutoka jukwaani ndipo watu hao walipoamua kumfukuza kwa lengo la kutaka kumpiga kabla ya kujisaidia mwenyewe kwa kutimua mbio na kuokolewa na wanaharakati hao na kufichwa katika chumba kimojawapo cha ofisi za TGNP Mabibo. Mashoga hao walisema kuwa wamelazimika kutaka kumshughulikia mwanaharakati huyo mtaalma wa afya za binadamu baada ya kuona ushauri wake ukilenga kuwavurugia biashara yao na kwenda kinyume na malengo ya tamasha hilo ambalo lilikuwa likizungumzia haki na usawa kwa wote.

Walisema kuwa uamuzi waliochukua wa kufanya shughuli hiyo ni uamuzi ambao binadamu wengine wamechagua katika kufanya na ni kazi kama zilivyo kazi nyingine na ndio sasa ya wao kama binadamu wengine wa Taifa hili wamekuwa wakipigania kwa nguvu zote kuona katiba mpya ijayo inatambua shughuli hiyo ya ushoga.


Walisema kuwa wameshangazwa na mtaalma huyo ambaye ni mwanaharakati badala ya kuwasaidia kuwatetea wanaharakati wenzake ili kuona hakuna mwanaharakati anayebaguliwa yeye anatumia jukwaa hilo la haki na usawa katika kuwabagua binadamu wengine.
Akizungumzia sakata hilo mtaalma huyo alisema kuwa tukio hilo ni sehemu ya changamoto mbali mbali ambazo wanaharakati wanaweza kuzipata katika kufanya harakati mbali mbali za kiukombozi na kuwa pamoja na mashoga hao kutaka kumpiga ila bado kitendo cha mwanaume ama mwanamke kufanya mapenzi kinyume na maumbile si sahihi na ni hatari kwa afya yake.

Alisema kuwa upande wa wanaume wamekuwa wakipatwa na madhara mbali mbali kwa kufanya mapenzi kinyume na maumbile kama ilivyo kwa wanawake wanaofanya mapenzi kinyume na maumbile ambao wamekuwa wakipata matatizo makubwa wakati wa kujifungua.
Pia alisema kuwa mashoga wapo hatarini kuathirika kisaikolojia kutokana na kufanya mapenzi kinyume na maumbile na kuongeza kuwa wakati wowote wanaweza kufa kwa ugonjwa wa UKIMWI.


Hata hivyo baadhi ya wanaharakati wameungana na mtaalam huyo kupinga kwa nguvu zote biashara ya ushoga nchini na kuwa pamoja na kuwepo kwa haki na usawa ila hakuna haki ya watanzania kuona vijana wakiendelea kuteseka ama kupoteza maisha kwa kufanya mapenzi kiyume na maumbile .


Hivyo walitaka pamoja na kuwa na katiba mpya ila bado watanzania wanapaswa kuwa makini juu ya nini kiingizwe katika katiba hiyo vinginevyo iwapo watatoa michango pasipo kutazama mbele zaidi kuna uwezekano wa kuliangamiza Taifa.


Hata hivyo mashoga hao walikuwa wanaitaka katiba imabidishe mfumo wa kuwa tetea mashoga hao kwania nao wanahaki ya kufanya kazi hiyo hivyo wameiomba serikali iweke sheria ya kuwa linda na kuwatetea.

WATALAMU WA TIBA ZA JADI NA TAMASHA

Mtalamu kutoka Haki Elimu Eliab Magonga akiwa katika mabanda ya maonyesho TGNP jijini Dar -es-salaam
moja ya mavazi ya lasta nikama unavyo ona mbele yako ni moja ya motisha katika mabanda ya TGNP
Mtalamu wa tiba za jadi Mary Ombeni akiwa katika maonyesho ya Tamasha la Jinsia katika viwanja vya TGNP Mabibo

WANAHARAKATI WALIA NA UTESWAJI WA WATOTO

Mwanaharakati waTGNP kutoka wilaya ya Mbinga ambaye pia ni Mwenyekiti wa Halimashauri ya wilaya ya Mbinga Mkoani Ruvuma P Haule akisikitika juu ya watoto kufanyiwa unyama
Mwanaharakati wa TGNP Liliani Liundi akiratibu mipango ya kutetea watoto pamoja na watu walioko pembezoni hasa wanawake

Wanaharakati wamtandao wa Jinsia Tanzania wameiomba serekari kukabiliana na vitendo vya kuwafanyisha kazi watoto walio chini ya miaka 15 na kuwa tendea vitendo vya kinyama.


Wanaharakati hao wameya sema hayo katika tamasha la 10 linalo endelea jijini Dar – es – salaam lenye lengo la kuwakomboa watu wanao ishi pembezoni hasa wanawake na watoto.wana harakati wameiomba serekari kuwa rudisha haraka watoto wote walioko nchi jirani [ msumbiji] kuwa nusuru na vitendo vya kinyama wanavyo fanyiwa huko.


Mwanaharakati wa TGNP Kutoka wilayani Mbinga ambaye pia ni makamu mwenyekiti wa halimashauri ya mbinga Prisca Haule ameomba serekari kufanya juhudi za dhati kuwa rudisha mabinti wote wakitanzania wanao fanyishwa kazi za kinyama katika nchi jirani [Msumbiji ] ili waje kuendelea na masomo

Amesema watoto walioko nchi jirani [Msumbiji] wanafanyiwa vitendo vya kiovu pamopa na kuuza mili yao, kuchaguliwa watu ambao ni watu wazima


Washuhuda waliona mabinti waliwili walio pata bahati ya kurudishwa kutoka nchi jirani ya [Msumbiji ] Liliani Liundi Mtayarishaji wa Mipango Kutoka TGNP na Juma Nyumayo Mratibu wa mtandao wa mkoa wa Ruvuma RUNECISO wamesema baada ya serekari kufanya juhudi na kufanikiwa kuwarudisha wamesema vitendo wanavyo tendewa mabinti nivitendo vya kinyama na vina paswa kulaaniwa

Mwanaharakati wa TGNP ambaye yuko katika kitengo cha ufuatiliaji na mchambuzi wa mambo ya Jinsia Marjone Mbilinyi amesema umefika wakati sasa kutafuta jinsi ya kuepuka ajira kwa watoto na jinsi ya kuweka mipango ya kulea watoto wetu vizuri


Wageni waalikwa kutoka Marekani Ashley Rajaratnam wamesema Tamasha linalo fanyika Tanzania ni njia moja wapo ya kutoa mwanga kuiwezesha jamii kujua haki zao za msingi kwa pande zote mbili pamoja na kujenga misingi bora kwa wanawake na jamii nzima

Thursday, September 15, 2011

TAMASHA LA TGNP LA PAMBAMBA MOTO DSM

Mwanaharakati kutoka MarekaniAshley Rajaratnam [program Specialist land O!lakes intarnationl Devlopment] ambaye anatoa msaada wa elimu ya jinsi ya kutumia maziwa katika mikoa ya Tanga,Arusha,na kilimanjaro
Washauri kutoka Marekani ambao wana toa msaada wa elimu ya jinsi ya ufugaji bora wa Ngombe wa Maziwa pamoja na kuwa fundisha jinsi ya kusindika maziwa watu walimiminika katika banda hilo kupata elimu viwanja vya TGNP Mabibo Dar - es -salam
Akinamama kutoka mikoa mbali mbali wakifanya biashara katika viwanja vya TGNP Dar -es -salam

WASHIRIKI WA TAMASHA KUTOKA NCHI MBALIMBALI




Wednesday, September 14, 2011

Msumbiji wa shiriki Tamasha

Waandishi kutoka nyanda za juu kusini kutoka mikoa ya Ruvuma,Iringa,Mbeya,wakichukua Habari mbalimbali
Washiriki kutoka Maputo Msumbiji wakijadili kuhusu tamasha linalo endelea Nchini Tnzania mwezeshaji aliya vaa nguo ya blue ni Lidia Romao Gulele

Mwakilishi kutoka CARE Intemational in Tanzania

Marjo Riitta [Tiitta ] Tervonen akiwa katika viwanja vya mabibo TGNP akisikiliza Tamasha la Jinsia Tanzania

kiMheshimiwa Zito Kabwe akiwa katika Tamasha la Jinsia la 10 linalo fanyika jijini Dar -es -Salaam
Washiri kutoka mikoa mbalimbali wakilsikiliza mada kwa makini katika Tamasha la Mtandao wa Jinsia
Juma Nyumayo akiwa katika Tamasha la Mtandao wa Jinsia ,Tamasha la 10 linalo endelea jijini Dar - es - Salaam

Tuesday, September 13, 2011

Jamii ya Wafugaji wa shiriki Tamasha

uri Tamasha la Mtandao wa Jinsia likionyesha jinsi kumbi mbalimbali zilivyo pamba vizuri maandishi ya kijieleza uzuri wa Tamasha



viongozi mbalimbali kutoka nchi za Afrika wakiwa wame kaa katika jukwaa wakiongozwa na Mkurugenzi wa TGNP


Mh. Diwani kutoka Singida akisikiliza kwa makini mada zinazo tolewa na watalamu mbambali katika uwanja wa TGNP DSM





Jamii ya Wafugaji wakiwa katika tamasha la 10 katika viwanja vya TGNP eneo la Mabibo jijini Dar - es - Salaam

Makamu Mwenyekiti Mbinga Mkoani Ruvuma ashiriki Tamasha

Makamu mwenyekiti wa h/ya wilaya ya mbinga mkoani ruvuma akibadilishana mawazo na mheshimiwa diwani wa singida wakati wakingoja watoa mada kutoka Zimbambwe,Ghana wakijiandaa kutoa mada


Wachezaji wa ngoma wakiwaburudisha wana harakati walio kuja kushiriki tamasha la 10 la mtandao wa njisia Tamasha linalo fanyika jijini DSM



Mwandishi wa Habari wa star tv Adamu Nindi akiwa katikati akiwa na Walimu walemavu wa Kutokuona kutoka kulia ni Mwalimu Doris Kulanga na kushoto ni dorothy kaihuzi ka



walimu wakifurahia maisha katika viwanja vya Mabibo jijini Dar - es - salaam wakati wa tamasha la Jinsia TGNP