KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Sunday, July 29, 2012

BINT NDEMBO MGANGA MARUFU WA JADI MKOA WA RUVUMA APATA NAFUU HOSPITALINI

Mganga Marufu wa Jadi Mkoani Ruvuma akiwa amelazwa katika Hospitali ya Peramiho Songea Vijijini baada ya Kuvamiwa na Majambazi akiwa Kazini kwake kilometa 64 kutoka songea mijini baadhi ya ndugu na jamaa walimiminika kwenda kumwona akiwa Hospitalini

Mganga Marufu Flola Ndembo akiwa Hospitali ya Peramiho Songea Vijijini akipata tiba baada ya Majambazi kumfunga kamba Miguuni na Mikononi wakidai ana zuia kazi zao

Mguzi katika Hospitali ya Peramiho akiendelea kumpa tiba bint Flola Ndembo ambaye anasumbuliwa na mishipa kushindwa kupitisha damu sawa sawa,

Thursday, July 26, 2012

MGANGA MASHUHURI WA JADI FROLA NDEMBO AMEPIGWA NA MAJAMBAZI KWA SABABU YA KUSHINDWA KUFANYA UHALIFU

Adam Nindi, Songea

Mganga Maarufu wa Jadi Mkoani Ruvuma Frola Ndembo amenusurika kuuwawa na watu wanaotuhumiwa kuwa ni Majambazi.

Kamanda wa Police Mkoani Ruvuma Deusdediti Nsimike amesema Mganga huyo wa Jadi mwenye Makao yake Namabengo wilayani Namtumbo ambaye Kambi yake hupokea watu 700 na wakulazwa 4o0, usiku wa jana alivamiwa na Majambazi walio dai kuwa anazuia kazi zao.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma amesema Frola Ndembo alivamiwa majira ya saa 6:00 usiku hatimaye kumteka na kumpeleka porini ambako walimfunga kamba na kumpiga huku wakimwamurisha kuwa aachane na uganga kwa kuwa anazuia kazi za watu.

Wagonjwa waliokuwa kwenye Kambi waliposikia kutekwa kwa mganga Frola Ndembo walisambaa katika vichaka na kumkuta amefungwa kamba huku damu zikimtoka mdomoni na puani kutokana na kipigo.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma Deusdediti Nsimeki amesema anafanya msako mkali ili kuwabaini wale wote waliousika na swala hilo.

Kamanda wa Polisi Deusdedit Nsimeki ameomba watu wenye taarifa kuhusu watuhumiwa hao watoe taarifa Polisi.

Mganga Frola Ndembo amelazwa Hospitalini mkoani Ruvuma.

RAIS DR JAKAYA MRISHO KIKWETE AONGOZA MAOMBELEZO YA MASHUJAA WA VITA

Rais Dr Jakaya Mrisho Kikwete akiingia katika Eneo la Manazi Mmoja kuongoza maomblezo ya Mashujaa walio Tangulia
Rais Dr Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Viongozi walio fika katika Viwanja vya Mnazi mmoja jijini Dar-es- salaam

Rais Jakaye Mrisho Kikwete akiwa katika Maombelo ya Mashujaa katika Viwanja vya Mnazi Mmoja akiwa na Viongozi mbalimbali .

VIZAZI VIJAVYO VITA SIMULIA NINI KUHUSU WANYAMA PORI ?

Watanzania kwa mda mrefu tumekuwa tukijivunia mali asili zetu wakiwemo wanyama mbambali ,ilkuwa ukipita mikumi hata roho ina tulia kuona wanyama walivyo kuwa wakipendeza ,Rangi ya majani yalikuwa kijani kibichi ,Utaona Twiga ,Ngorombo, Punda milia, Tembo na Hata ndege wa angani jee vyote hivi vimeenda wapi ?

Wednesday, July 25, 2012

SHEREHE ZA SIKU YA KUWAKUMBUKA MASHUJAA ZA FANA MKOANI RUVUMA

Jeshi la Wananchi JWTZ wakipita mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said Sabit Mwambungu Kutoa heshima katika Kuadhimisha siku ya Mashujaa kakaka Viwanja vya Maenge Manspaa ya Songea

Gwaride la JWTZ likitoka Nje baada ya Kumaliza shuguli za Siku ya Kuwa kumbuka mashujaa walio kufa wakati wa vita na mashujaa walio nyongwa na wajerumani na kuzikwa katika kaburi moja watu 27 .

Picha ya Askari wa Vita vya Nduli Iddi Amini Dada ikiwa ni ukumbusho kwa asikari walio enda Uganda kuwa komboa waganda pamoja na kuokoa eneo lililo tekwa na Iddi Amini Dada

Asikari wa Mawasiliano JWTZ wakiwaburudisha walio fifa viwanja vya Mashujaa kuadhimisha siku ya Mashujaa

Mkuu wa mkoa wa Ruvuma akiwa na Bregedia wa kanda ya kusini katika siku ya kuwa kumbuka Mashujaa viwanja vya Mashujaa Mahenge

Meya wa Manispaa ya Songea Chares Mhagama wa pili kutoka kushoto akiwa mmoja wawatu walio hudhuria siku ya Mashujaa

Mkuu wa wilaya ya Songea Joseph Joseph Mkirikiti akiwa katika Viwanja vya Mashujaa Mahenge wakwanza Kulia

Monday, July 23, 2012

KIKAO CHA KAZI KWA ASKARI WA USALAM,A BARABARANI MKOA WA RUVUMA

Mkuu wa Wilaya ya Mbinga akitopa mfano alipo kuwa Mdogo kitu cha kumwogofya mtoto ni kusema Polisi Huyo, Sasa Dhana hiyo haipo ila Police wanatakiwa kujiepusha na Falagha ili kuweka imani kwa Raia


Mkuu wa Wilaya ya Mbinga akifungua Rasimi mafunzo ya Kazi kwa Asikari wa Usalama Barabarani kikao kilicho fanyika katika ukumbi wa Jimbo la Mbinga



Kamanda wa Police Mkoa wa Ruvuma akitoa msisitizo wa Kazi katika kupunguza Uhalifu Mkoani Ruvuma


Hao niasikari wa usalaama Barabarani wakiwa katika kikao malumu cha kazi kuhusu kujiepusha na Rushwa


Asikari wa Usalama Barabarani wanatakiwa kuwa rafiki wa wawaendesha vyombo vya moto, lakini asikari wachache hutumia ukali ili wapate chochote , Kamanda wa Police Mkoa wa Ruvuma Deusdediti Nsimike amewataka Asikari wa Usalama Barabarani Kutoa Elimu kwa Watembea kwa miguu na wale wenye Vyombo vya Moto Kikao hicho cha kazi kilifanyika Wilayani Mbinga Mkoani Ruvuma

Thursday, July 19, 2012

VIONGOZI WASHILIKI JUHUDI ZA KUWA WAPA POLE WALIO FIKWA NA JANGA LA KUZAMA KWA MELI YA SKIGET ZANZIBAR

Imebainika kuwa abiria zaidi ya mia mbili na hamsini kuzama karibu karibu na kisiwa cha Zanzibar nchini Tanzania .
Kwa mujibu wa taarifa zilizitolewa na kikosi cha wanamaji, watu wengine wengi wanaripotiwa kuokolewa kufuatia meli hiyo kuzama kutokana na dhoruba kali.


Bunge la Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania wakiwa katika mjadala jinsi ya Kukabiliana na Janga la Kuzama Meli ya Skiget kakita kisiwa cha Chume Chini ya Sipika Anna Makinda ambaye alionyesha msimamo wa Serekari ulivyo kuhusu swala hilo.

Makamu wa Rais Dr Mohamed Bilall akiwa hospitali kuwatembelea baadhi ya majeruhi walio patwa na janga la kuzama kwa meli huko zanzanzibar

AJALIYA MELI ZANZIBAR YA LETA TASWILA MBALIMBALI

Hizo ni maiti ambazo zimeopolewa baada ya meli kuzama huko zanzibar ,Watanzania tua kazi kubwa ya kumwomba mwenyezi Mungu kuepusha Mauaji kama haya, Wakristo kwa Waislamu Mwezi wa Ramadhani katika Swaumu Tushiriki wote kumwomba Mwenyezi Mungu aepushe balaa hii

Watu Mbalimbali walio kuja kushuhudia ajali ya Meli iliyo Zama Huko Zanzibar

Tuesday, July 17, 2012

JEE WEWE UMEJIANDAA AJE NA SENSA YA WATU NA MAKAZI ?



SENSA YA WATU NA MAKAZI NI UKOMBOZI KWA WATANZANIA

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Mh Said Thabit Mwambungu akiwataka wanaruvuma kumwomba Mwenyezi Mungu ili zoezi la Sensa ya Watu na Makazi liweze kufanikiwa.
Amesema Zoezi la Sensa ya Watu na Makazi ndiyo Ukombozi kwa Mwananchi wa Tanzania kuweza kujua na kupanga Mipango ya Maendeleo ikiwemo Uchumi, Afya, Elimu na Miundombinu ya Mawasiliano.

Watu wako katika harakati za sensa ya makazi ya watu wakichukua mambo mbalimbali ili wafanikishe sensa.

Wajumbe kutoka wilaya mbalimbali wakiwa katika kuratibu mambo ya Sensa na Makazi ya Watu

Wajumbe kutoka wilaya Tano za Mkoa wa Ruvuma wakiwa katika katika mafunzo ya sensa

Mjumbe wa kamati ya sensa ya watu na Makazi mkoa wa Ruvuma ambayo ina andaa sensa ya makazi kimkoa

MKUU WA MKOA WA RUVUMA SAID THABIT MWAMBUNGU ATOA LAKI TANO KWA POLICE WANAWAKE

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said Thabiti Mwambungu akitoa fedha shilingi laki tano kwa ajili ya Milango kwa Jengo la Police Wanawake Mkoa waRuvuma

Mwenyekiti wa Mtandao wa Police wanawake Ins.Anna Tembo akimkabidhi Mhasibu Mesia Mfupa Shilingi laki Tano zilizo tolewa na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said Thabiti Mwambungu


Hiyo ni furaha ya pekee pale unapo kuwa karibu na kiongozi wa mkoa kutoa fedha kama hizo kwa ajili ya wanawake aliye pembeni ni Fadhila Chacha akitabasamu kuonyesha sasa jengo lina isha.

JAMII YA TAKIWA KUFUNGUA AKIBA KWA WATOTO

Na noel Stephen - Mpwapwa Dodoma

Wito umetolewa kwa wazazi wote nchini kujenga moyo wa kuwawekekeawatoto wao akiba mbali mbali za kimaisha ili wasipate taabu wanapoingia utu uzimaWito huo umetolewa na Meneja wa Bank ya NMB tawi la Mpwapwa BWANAHERMAN MASUKI hivi karibuni alipo kuwa akizindua mpango waAnkaunt maalum kwa watoto walio chini ya miaka kumi na nane ajulikayokama Finacial Fitness .

Bwana masuki alidai kuwa Wazazi wengi nchini hawana tabia yakuwawekea akiba watoto walio chini ya miaka kumi na nane kitu alichokisema kuwa kina leta shida pindi mtoto aingiapo utu uzima na kuanzaau anapo pelekwa shule kushidwa kugalamiwa masomo kutokana na wazaziwengi kuto kuwa na malengo ya badae kwa watoto waoBwana Musuki alidai kuwa wazazi waweze kuwa fungula watoto waoakaunti ijulikanyo kama junior account amabayo alisema kuwa niankunti iliyo wekwa mahususi kufundisha watoto njisi ya kuweka fedhakwa ajili ya matumizi ya baadae.

Pia “tukumbukle kuwa sisi hatuna mkataba na mungu je watoto wangapiambao tunawaona wazazi wao walikuwa na uwezo mkubwa wa kifedha lakinimala baada ya kufa wazazi wao tunawaona watoto wanapolwa mali nandugu wa marehemu na kubaki hawana kitu na kuwa watoto wa mitaani jewangewekewa akiba benki nani angewa dhurumu hivyo ndugu zangu tupendekujijengea tabia ya kuwawekea watoto akiba za maisha

”aliongea bwanaMasukiALISEMA kuwa Benki hiyo imeamua kuanzisha mpango huo kufuatia tafitimbalibali zilizo fanywa na maafisa ya benki hiyo na kugundua kuwawatoto wengi wanapata shida za kumudu gharama za maisha na masomokutokana na wazazi wengi kuto kuwa tabia za kuwawekea watoto waoakiba ya baadae.

Katika uzinduzi huo jumla ya watoto 327 walihudhuria harambeehiyo kutoka shule mbalimbali za wilya ya mpwapwa ambazo ni shule yamsingi Chazugwa,Ilolo, Mazae, Mpwapwa na Kikombo na kati hao niwatoto wacache tu walikuwa na akaunti za benki za watoto.

Sunday, July 15, 2012

ELIMU YA DINI INA LETA MAADILI MEMA KWA MTOTO

Mtoto mdogo akionyesha uwezo wake wa kuhifadhi Kurani Tukufu Maadili mema ya Watoto yanatokana na kujua Mafundisho ya Dini mbambali ,Nijuu ya Mzazi kumpeleka mtoto katika vituo vya dini ajifunze Maadili Mema

Watoto walio shiriki wakisoma Risala mbele ya Wazazi wa Manspaa ya Songea

wazazi wakisikiliza kwa makini mashindano ya usomaji wa kurani Tukufu

Wazazi mbali mbali wakiwa kwenye ukumbi wa Open unvesrt kusikiliza mashindano ya Usomaji wa kurani Tukufu


Kijana akisoma Kurani Tukufu aliyo hifadhi bila kuangalia kwenye Kurani Tukufu mbele ya halaiki ya wasikilizaji

Watoto wadogo waliokuja kushinda na wenzao kutoka madrasa Tisa za Manspaa ya Songea wakionekana katika Furaha

Watoto walio shiriki mashindano ya usomaji kurani katika mansipaa ya Songea

Wazazi wakiwa wamekuja kushuhudia mashindano ya kurani Tukufu katika ukumbi wa Open unvest katika manispaa ya songea

Wednesday, July 11, 2012

MSD YA PATA LAWAMA MPWAPWA

Na noel stephen MPWAPWA

Imeelezwa kuwa kitengo cha usambazaji dawa Medical Store Departiment(MSD) ni chanzo cha hopspitali nyingi kulamikiwa na Watanzania hasaWateja wa Bima ya Afya na watu wengine kwa kuzidiwa na huduma zausambazaji wa dawa na kushidwa kufanikisha huduma hiyo kwa watejawake..

Hayo yamesemwa na watumishi pamoja na waganga wa Hospital yaBenjamini William Mkapa Wilayani Mpwapwa Mkoa wa Dodoma walipokuwawakiongea na NAIBU WAZIRI WA AFYA NA USTAWI WA JAMII Dk Seif RashidiMbunge(CCM) alipofanya ziara ya kikazi katika Hospitali hiyo.AKIONGEA mmoja wa waganga wa hospitali hiyo MUSA shielo alisemakuwa MSD imekuwa ni kikwazo kikubwa cha utendaji wa kazi katikahospitali nyingi nchini kwa kuleta dawa kwenye vituo tofauti nadawa ziliozo agizwa na hospitali au kituo cha Afya kitukinachopelekea wateja wengi wa huduma za bima za afya na

wagonjwawengine kuzilalamikia hosptali hizo na kuhisi kama kuna mianya yarushwa ndani ya utoaji wa dawa hizo.Alidai kuwa “utashangaa gari ya dawa limefika jana na limeshushadawa lakini mgonjwa anakuja unamwambia akanunue dawa atakuelewakweli? lakini MSD unaagiza dawa hizi unaletewa dawa zingine kwaniniMSD inawatesa watanzania wakati wanatumia pesa za wananchi wanyonge wanchii hii msd hupelekea wananchi kuichukia nchi yao na serikali yao”alisema dokta chieloAidha Mganga mfawawidhi wa hospitali ya wilaya hiyo

Bwana SigfridIshengoma alisema kuwa mbali na kutoa dawa kinyume na maagizo lakinikuna vifaa vingi ambavyo husambazwa na kitengo hicho kuwa havina uborawa kutosha “ vifaa tiba na baadhi ya dawa mfano mashine za kupimiapresha,pampu za kunyonyea uchafu wakati mwana mke anajifungua,uharibika kwa muda mfupi sana,

kama MSD ikizidiwa basi serikaliiangalie uwezekano wa kuanzisha chombo kingine cha kutoa huduma zadawa ili washindanishwe na MSD sasa hivi hufanya hivyo kwamaana wakopeke yao ndio maana huzembea ”aliongezea doka Ishengoma.Dk, SEIF RASHIDI alipofika katika Hospitalini hapo alikagua katikawadi za wagonjwa na alipoingia wadi ya wajawazito aliwakuta akinamama wamelala wawiliwawili katika kitanda kimoja kutokana na uhabawa vitanda katika wadi hiyo na ufinyu wa sehemu hiyo muhimu kwa kinamama kitu ambacho kinaondoa hata utu wa mwanamke katika swala zimala kujifungua.

AKIONGEA Dk. SEIF na watumishi na wagannga wa hospitali yaBenjamini Wliam Mkapa alisema kuwa serikali imejipanga kushughilikiakero zote za watumishi wa idara ya Afya kwa kuangalia vipaumbele naumuhimu wa mahitaji ya watumishi hao./

Saturday, July 7, 2012

MRADI MKUBWA WA KILIMO CHA KISASA WA ZINDULIWA RUVUMA NA WAZIRI MKUU MH.MIZENGO KAYANZA PINDA

Funguo 53 za Matrekta ambayo Waziri Mkuu Mh.Mizengo Kanza Pinda alizikabidhi kwa watu walio nunua Tayari kwa kuanza kilimo

Waziri Mkuu akiwa juu ya Trekta ambalo lime nunuliwa na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Mh.Saidi Thabiti Mwambungu

Waziri mkuu akipanda Mti wa kivuli katika shamba la kahawa Lipokela songea vijijini


Waziri Mkuu Mh. Mizengo Kayanza Pinda akiwa katika kitengo cha kuhifahi mahindi luhuwiko manspaa ya songea

Mheshimiwa Waziri Mkuu Mizengo Kayanza Pinda akikagua Micheya kahawa katika shamba la wawekezaji Lipokela Songea Vijijini


Hiyo ni Miche ya kahawa ambayo ina tarajiwa kupandwa Ekari 500 zilizopo katika eneo hilo

Waziri Mkuu Mizengo Kanza Pinda akiendelea kukagua shamba la Miche ya Kahawa akiwa na Mwenyeji wake Mkuu wa Mkoa Saidi Thabit Mwambungu

waziri mkuu akiangalia ngoma ya Ligambusa jinsi ilivyo kuwa ikitumbuiza katika kitengo cha hifadhi ya chakula Luhuwiko Songea

Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akiwa amemaliza kukagua Shama la Kahawa katika eneo la lipokel songea vijijini