KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Sunday, December 28, 2014

WANANCHI WA SHUKURU SEREKARI KURUHUSU TIBA MBADALA


Mtaalamu wa Tiba Mbadala kutoka Duka la Dawa za Asili   la Simwala hebo kiliniki Disimas Severian amesema Serikali baada ya kuona watu walishindwa kupata unafuu ndipo iliporuhusu watu kutumia tiba mbalimbali Ukitaka mawasiliano zaidi piga namba zifuatazo 0756 210, 059. 0718 870 318 ,               0786 145 129


Wananchi hao ambao walikuwa wakieleza jinsi jinsi Dawa za Tiba mbadala zinazoweza kusaidiana na Dawa za Kisasa, ambazo zinaonyesha ktibu magonjwa sugu ambayo yanasumbua jamii, kama kisukari.

 Wananchi Mkoani Ruvuma wameishukuru Serikali kwa kuruhusu Tiba Mbadala na kuweza kudhibiti Matumizi ya Dawa Mbadala na kuhakikisha haiwadhuru Wananchi.
 wagonjwa mbalimbali kutoka mikoa tofauti wakienda kwenye tiba mbadala kwa Simwala Hebu Kilinic Bombambili
 Hao nibaadhi ya watu walio sumbuliwa muda mrefu na magonjwa yasiyo tibika hapo wapo nafuu
 kama weweni mgeni ukifika Songea nenda kata ya bombambili uliza makaburi ya Mkeso ukifika hapo uta ona kibao kama ilivyo andikwa hapo juu
 hiyo ni foleni ya muda wote watu wakitaka kupewa dawa ili wapone baada ya kusumbuka miaka kadha
 Akina mama wakipeana uzoefu jinsi walivyo weza kupata nafuu baada ya kutumia dawa za simwala kiliniki
 akina mama wakiwa foleni kutibiwa katika kiliniki ya simwala bombambili songea
Akina mama wakiwa kiliniki Simwala kujiangalia mmagonjwa aliyo shindikana hospitalini
Mtalamu wa Tiba Mbadala Dismas severen akieleza mafanikio kwa wagonjwa alio wa tibu, wewe bofya kwenye alama ya vidio usikie

Monday, December 15, 2014

NDUGU ZANGU CRISMAS MAANA YAKE NINI KWA BINADAMU

Add captionNdugu Zangu Wa Africa Na Mabara Mengine. Jambo Mhimu Tunalo Takiwa Kulikumbuka Ni Kuwa Kila Mwaka Tuna Sherekea Kuzaliwa Kwa Mtumishi Wa Mungu Ambaye Si Mwingine Bali Ni Yesu Kristo Ambaye Alizaliwa Nazareti Miaka 2000 Iliyo Pita


Watoto Wana Bakwa , Watoto Wana Fanyishwa Kazi Ngumu, Watoto Hawaendi Shule Kutokana Na Ukosefu Wa Ada Katika Hayo Niambie Wewe Umesaidia Vipi Watoto ? Yesu Kazaliwa Ndani Ya Watoto Hao Nilio Wataja Kama Huja Fanya Lolote Basi Kabla Ya Crisimasi Fanya Kitu Wako Adam Mzuza Nindi Heri Kwa Sikukuu Ya Crismasi

 Sasa Katika Miaka Hiyo Inamana Wakina Kristo Walio Zaliwa Ni 2000 Jee Wewe Umeweza Kusaiodia Watoto Wangapi Ili Kusherekea Kwako Uone Kuna Maana, Hivi Sasa Kuna Watoto Yatima Wana Lala Na Njaa,

Friday, December 12, 2014

TAMASHA LA TATU LA ASASI ZA KIRAIA ZA BURUNDI, RWANDA UGANDA, KENYA NA TANZANIA LILILO FANYIKA MKOA WA ARUSHA AICC

 Wajumbe mbalimbali wakiwasili katika ukumbi wa mbayuwayu Arusha tayari kwa kushiriki Tamasha la Mtangamano wa Africa Masriki
 Wajumbe mbalimbali wakiwa katika ukumbi wa  Mbayuwayu AICC  Arusha  kushiriki mkutano wa Mtengamano wa Nchi za Afirika Mashariki
 Washiriki wakiwa makini kusikiliza mawakilisho mbalimbali kuhusu namuna ya kuweza kuondokana na umasikini kwa wananchi wa Afrika Mashariki
 Tamasha la Mtangamano halikutenga makundi malumu hapo mwakilishi wa Alibino akisikiliza mchango kutoka Burundi kuhusu biashara kati ya wananchi wachini 

 Ndugu Zaa wa Tango akiwa mmoja wawashiriki kutoka shirika la TANGO Dar es salaam aliye vaa shati jeupe
 Mambo hubadilika kila kunapo kucha watalamu huvumbua mambo unaouona ni mtambo wa kuchukulia kamerapicha au stendi ya kamera mbele ya mtambo huo kumefungwa
 Mambo wa Kamera katika ukumbi wa Mbayuwayu AICC  Arusha
 Waendesha Tamasha wakiwa makini kuendesha mjadali

Mwakilishi wa Mkoa wa Ruvuma Adamu Mzuza Nindi akiwa ukumbi wa AICC Arusha kushiriki mkutano wa Afirika Mashariki na kueleza kuhusu swala la ukandamizaji wa wakulima kwa kukosa soko la mazao yao kama Mahindi na Mazao Mengine yaliyo kosa Soko
Mgeni rasimi Dr Josaphat Kweka akiwa na Mkurugenzi wa The Foundation ndugu John Ulanga

                 Washiriki kutoka Nchi tano za Uganda, Kenya, Burundi, Rwanda,na Tanzania

              Rose Mary ni mfanyabishara mkubwa na msomi akijitayarisha kutoa mada ya uchumi

                   Washiriki kutoka kenya na uganda wakiwa makini kufuatilia majadiliano

katika Mtangamano wa Afrika mashariki walemavu hawakuachwa nyuma nao waliweza kushiriki

Mwakiishi kutoka mkoa wa Ruvuma kutoka PAD Isaca Msigwa  akiwa mmoja wa msiriki katika Mtangamano wa Afrika Mashariki

                       Wajumbe kutoka nchi za Burundi ,Rwanda,Uganda

Wednesday, October 29, 2014

WANAFUNZI WAMETAKIWA KUACHANA NA SIASA HAYO YAMEBAINIKA KATIKA MAAFALI YA SONGEA BOYS


Mgeni Rasimi katika Mafali hayo Mbunge wa Jimbo la Songea Emanuel John Nchimbi amesema moja ya kero inayo wakabili wana funzi wengi katika shule za secondary ni walimu wa sayansi serekari ina fanya kila wawezalo ili kuhakikisha walimu wa sayansi wanatosheleza.
Mwalimu Mkuu wa Secpndary ya Wavulana Songea  Mr sweke sweke ameya sema hayo katika Maafafali ya kidato cha nne wakati wakuhitimu watoto 72 badalaya ya wanafunzi 85 walio anza ,amesema lengo la wanasiasa ni kutumia daraja la wanafunzi katika kuingia katika madarka ni juu ya wanafunzi kuepuka na maswala ya kisiasa

Wanafunzi wa Shule ya Secondary ya Wavulana Songea  wa kiwakilishwa na mlemavu Ezekia Juma  ambao ni walemavu wa Macho wapatao wameiomba serekari vifaa kwaajili ya walemavu wa macho ikiwemo mashine ya kuandikia vitabu mbalimbali vya nundu  pamoja na kuwaongezea walimu rasimi wawalemavu, Katika hilo Mbunge wajimbo la Songea Emanueli John Nchimbi ameahidi kumusomesha mwalimu mmoja kwa ajili ya Walemavu
                                  Wanafunzi walemavu katika Shule ya Secondary ya Wavulana  Songea

Mwalimu Mkuu wa Shule ya Secondari ya Wavulana Songea  Sweke Sweke amewataka wanafunzi kuacha kutumia na wana siasa kwani kufanya hivyo ni kujiharibia maisha yao ya baadaye baasda ya kuzingatia masomo watajikuta wakiimba siasa.
 Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wavulana Songea wakifanya Sarakasi wakati wa Maafali

Mgeni Rasimi katika Mafali hayo Mbunge wa Jimbo la Songea Emanuel John Nchimbi amesema moja ya kero inayo wakabili wana funzi wengi katika shule za secondary ni walimu wa sayansi serekari ina fanya kila wawezalo ili kuhakikisha walimu wa sayansi wanatosheleza.

Mbunge wa Jimbo la Songea Emanueli John Nchimbi pamoja na kuahidi swala la walimu wa sayansi ameahidi pia kuleta gari kwa ajili ya Shule ya Sekondary ya wavulana Songea kwa haraka ili gali mhilo liweze kusaidia usafiri kwa wagonjwa na shuguli zingine.
 Meya wa Manispaa ya Songea Chares Mhagama akiwa na Mgeni Rasimi Katika Maafali ya Shule ya Sekondary ya Wavulana Songea
 Wanafunzi wa Shule ya Sekondary ya Wavulana Songea Wakisikiliza Hotuba ya Mgeni Rasimi Mbunge wa Jimbo la Songea Emanuel John Nchimbi
 Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wavulana Songea wakifanya Sarakasi wakati wa Maafali
 Wazazi wakiwa na Watoto wao katika maafali wanafunzi 72 walihitimu Masomo kidato cha Nne
 Wanafunzi wakiwa na Vyeti vya kuhitimu baada ya kupewa na Mgeni Rasimi Dr Emanuel John Nchimbi
Watoto napo Hupenda Kushiliki katika mafanikio ya Kaka zao wanapoi fikia mafanikio ya kumaliza kidato cha Nne