KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Tuesday, April 29, 2014

MWENYEKITI WA TASISI YA MWALIMU NYERERE ATOA YA ROHONI


Mwenyekiti wa Tasisi ya Mwalimu Nyerere Joseph Butiku amewaomba viongozi wa Assasi za Kiraia za Nchi za Maziwa Makuu  Kumsaidia Raisi wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete kuwa simamia watanzania katika Mchakato wa Rasiumu ya Katiba ili kuweza kupata Katiba ambayo ita waletea Maendeleo wananchi wa Tanzania.

Mwenyekiti wa Tasisi ya Mwalimu Nyerer Joseph Butiku ameyasema hayo katika Mkutano Mkuu wa Asasi za Kiraia za Nchi za Maziwa Makuu ,Mkutano Ulio fanyika Jijijni Dar- es- Salaam kwa ajili ya Uchaguzi wa viongozi wawakilishi 12 watakao wakilisha katika Nchi za Maziwa makuu ambapo Joseph Butiku alipita bila kupingwa .

Mwenyekiti wa Tume ya Tasisi ya Mwalimu Nyerere  Joseph Butiku  amesema katika Kuanda Rasimu ya Katiba ya Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Rais Kakaya Mrisho Kikwete ali Ridhia Raisimu ya Katiba ni juu ya Watanzania Kumunga Mkono Rais wao ili kuwawezesha watanzania kuendelea kudumisha amani na utulivu kutokana na Katiba itayo Patikana


Mwenyekiti wa Tasisi ya Mwalimu Nyerere Joseph Butiku amewaomba viongozi wa Assasi za Kiraia za Nchi za Maziwa Makuu  Kumsaidia Raisi wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete kuwa simamia watanzania katika Mchakato wa Rasiumu ya Katiba ili kuweza kupata Katiba ambayo ita waletea Maendeleo wananchi wa Tanzania.

Mwenyekiti wa Tasisi ya Mwalimu Nyerer Joseph Butiku ameyasema hayo katika Mkutano Mkuu wa Asasi za Kiraia za Nchi za Maziwa Makuu ,Mkutano Ulio fanyika Jijijni Dar- es- Salaam kwa ajili ya Uchaguzi wa viongozi wawakilishi 12 watakao wakilisha katika Nchi za Maziwa makuu ambapo Joseph Butiku alipita bila kupingwa .

Mwenyekiti wa Tume ya Tasisi ya Mwalimu Nyerere  Joseph Butiku  amesema katika Kuanda Rasimu ya Katiba ya Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Rais Kakaya Mrisho Kikwete ali Ridhia Raisimu ya Katiba ni juu ya Watanzania Kumunga Mkono Rais wao ili kuwawezesha watanzania kuendelea kudumisha amani na utulivu kutokana na Katiba itayo Patikana

Thursday, April 24, 2014

JUKWAA LA KITAFA LA ASASI ZA KIRAIA LA NCHI ZA MAZIWA MAKUU LA UNDWA CHINI YA MZEE JOSEPH BUTIKU

Baada ya kuchaguliwa upya Mzee Joseph Butiku kwa kupita bila mpinzani kuwa mwenyekiti wa Jukwaa la Assasi za Kiraia za Nchi za Maziwa Makuu,Mwenyekiti Joseph Butiku aliwa taka wajumbe kutenganisha kati ya Siasa na utendaji wa Asasi ,amesema Asasi zisizo kuwa za kiserekali hazitakiwi kabisa kushabikia siasa, Sasa tuko katika wakati mgumu tuwaombe wabunge wetu wafanye kile kilicho wapeleka Bungeni wache lugha za Maudhi, Wananchi wana ngoja katiba itayo wafikisha katika malengo ya kupata Maendeleo.Amesema swala la Mungano lisiwe chanzo cha kuto pata Katiba Mzuri.Wabunge wa Rasimu ya Katiba wajue wao wameshika Roho zawatu ambao kiu yao kubwa ni kutaka Amani na Utulivu,
 Wajumbe wapatao 104 wapinyosha mikono juu kumtaka Mzee Joseph Butiku aendele kuwa Mwenyekiti wa Jukwaa la Kitaifa la Asasi za Kiraia la Maziwa Makuu baada Yeye kutaka kuachia ngazi, Nguvu za Hoja zili tolewa na wajumbe kumtaka aendele kwa Mantiki kuwa uwezo alio uonyesha wa kuongoza umewafikisha Watanzania Kupata Mafanikio
 Mzee Joseph Butiku akitabasamu baada ya kuona wajumbe kkauli moja wakimutaka aendelee na uongozi kwa Asasi zilizo katika Jukwaa la Nchi za Maziwa Makuu
 Mzee Joseph Butiku Mwenyekiti wa Jukwaa la Asasi za Kiraia za Nchi za Mzaziwa Makuu akitoa Hoja ya Yeye Kujihudhuru na Kupisha Watu wengine waongoze Asasi akitoa sababu  kuwa yeye sasa yeye ni Mzee angeomba aachie ngazi ,jJambo lililo pingwa kwa kura ya veto na kumwomba aendelee kwani hivi sasa msaada wake una takiwa kwa kuwa amani na utulivu kila siku ina kuwa na Changamoto ana takiwa Mtu anaye ona Mbali Mwisho alikubali kuendelea na wadhifa huo
 Wajumbe Kumi na Mbili walio chaguliwa kuongoza jukwaa la Asasi za Kiraia zilizo katika Nchi za Maziwa Makuu
 Mkurugenzi Mtendaji wa The Foundation for Civil Society John Ulanga akiwausia wajumbe wa Jukwaa la Asasi za Kiraiaza Nchi za Mziwa makuu kuwa makini katika mchakato wa Rasimu ya Katiba kuweza kukumbuka maneno ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kuwa katiba ya nchi ya Mwaka 1964 tulipo pata mungano ilipo fika mwaka 1971 ili kuwa ina bana kama ilivyo nguo ina baana mtu anapo ongezeka hivyo hivyo siku za baadaye ikibana ita bidi kushona nguo mpya na siyo kiraka, Amewaomba wana Assasi kusimamia maneno ya mwalimu Nyerere
 Azimio la kuunda jukwaa la Assasi za kiraia za Nchi za maziwa makuu
 Hiyo niorodha ya wajumbe 104 walio ridhia kuundwa kwa jukwaa la kitaifa la Assasi za kiraia za Nchi za maziwa makuu Ruvuma ikiwa moja ya Asasi hizo ikiwa ya 95
 Hvnphrey Polepole akiwahusia wa jumbe kuwa makini katika kuchagua wajumbe wasije waka chaguliwa wajumbe ambao wana taka kujaza matumbo kuliko kuangalia changamoto zinazo zikabili Nchi 12 za maziwa makuu
 Mchungji Anna Mghwirawa Kanisa la KKT Arusha akiwakilisha Mada jinsi ya Kuweza kuepukana na Vitendo vya Ukatili wa Kijnsia dhidi ya Mamaq na Mtoto, Katika Uchaguzi wa Azaki kwa Nchi za Maziwa Makuu Anna Mghwira amechaguliwa kuwa Makamu wa Mambo ya Usalama wa Nchi za Maziwa Makuu
Patrick Kanyangana Mratibu wa Assasi za ACCORD wa Mradi wa Nchi za Maziwa makuu akiwasihii wajumbe kuangalia jinsi ya kuweza kuwasaidia vijana wa Tanzania kupata ajira ambapo kundi la Vijana katika Tanzania ni Asilia 65%

Wednesday, April 23, 2014

MKUTANO MKUU WA KUUNDA JUKWAA LA KITAIFA LA ASASI ZA KIRAIA ZA NCHI ZA MAZIWA MAKUU JIJINI DAR -ES - SALAAMU UKUMBI WA UBUNGO PLAZA

 uwapo jijini Dar - es - salaa ukitaka kupata utulivu basi fikia kwenye Hoteli tulivu ijulikanayo kwa jina la Golden Plan Spring Motel
 Washiriki kutoka maziwa Makuu walio shiriki Mkutano wa Uchaguzi wa  kuunda jukwaa lakitaifa la Assasi za kiraia za Nchi za Maziwa Makuu
 Viongozi wa kitaifa wa Asasi za kiraia za Nchi zaMaziwa Mkuu
 Wajumbe wakimsikiliza katibu Mkuu Wa Wizara ya mambo ya Nje na Ushirikiano wa kimataifa John Haule akiezea jinsi Serekali ilivyo weza kujizatiti udumisha amani katika Nchi za Maziwa Makuu
 Hao ni baadhi ya wajumbe kutoka katika Assasi mbalimbali za Tanzania wakiwa na wajumbe kutoka katika Nchi za Maziwa makuu
 Mwenyekiti wa Tasisi ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere akiwaasa wajumbe kuhusu uchaguzi akiwaambia kuwa wasichaguliwe watu wenye kupenda pesa bali wachague watu wenye kutetea watu
 Katibu Mkuu widhara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa  John Haule akifungua Mkutano mkuu wa kuunda jukwaa la kitaifa
 Ussu Mallya Mkurugenzi wa TGNP akitoa hotuba juu ya kuweza kuzingatia Haki ya Mama na Mtoto juu ya kuzuia ukatili wa Kijnsia
 Picha ya Pamoja kwa wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Kuunda jukwaa la Kitaifa la Assasi za Kiraia za Nchi za Maziwa Makuu katika Ukumbi wa Ubungo Plaza jijini Dar - es - salaam
 Balozi Vicente Muanda Naibu katibu mkuu wa sekeretariet ya umoja wa Nchi za maziwa Makuu [ICGLR] akielezea mafanikio yaliyo fikiwa katika Nchi kumi na mbili zilizo katika maziwa makuu na mikakati iliyo wekwa hadi kufikia mwaka 2015
 Jafeth Makongo Mratibu wa Mkutano Mkuu wa kuunda Jukwaa la Kitaifa la Assasi za Kiraia za Nchi za aziwa Makuu Jijini Dar -es - Salaam

Mjumbe wa REPOA Dada Rose Aiko wakwanza kulia akisikiliza Mada Mbalimbali kuhusiana na Nchi za Maziwa Makuu ikiwemo Tanzania
 Mkurugenzi wa  Blog ya Songea Habari Adam Mzuza Nindi akiwa katika Mkutano wa Nchi za Maziwa Makuu Jijini Dar - es -Salaam
Jengo la Mikutano lilioko Dar  - es - Salaam  lijulikiano kwa jina Ubungo Plaza

Monday, April 21, 2014

AFISA KAZI ODO MAKITA MATEMBO AMETUTOA AKIWA WILAYA YA MBINGA MKOANI RUVUMA

Nimajonzi yaliyo tawala katika familia ya Mzee Matembo baada ya Kumpoteza Baba yao Mzazi Oddo Makita Matembo aliye fariki dunia Wiki hii katika Wilaya ya Mbinga kwa Ugonjwa wahindikizo la Damu.Marehemu Oddo Makita Matembo alizaliwa mwaka 1941 katika mji wa Mbambabay alibahatika kusoma hadi kumaliza Shule ya msingi alijiunga na masomo ya sekondari katika shule ya kigonsera alipata masomo ya Sheria nje na ndani ya nchi alipata shahada ya sheria ya kazi,amewahi kufanya kazi wilaya ya njombe wakati huo, na baadaye alihamia mkoa wa ruvuma kama Afisa wa Kazi alipo toka Songea alihamia Mkoa wa Lindi ambako alisitahafu na kuja kuishi Mbinga aliko malizia masha yake

Binadamu aliye zaliwa na Mwanamke siku zake za kuishi siyo nyingi Huchanua kama ua na kunyauka , Hapo Marehemu Oddo Makita Matembo akiwekwa Kaburini kwa Mapumuziko ya Milele Mungu alitoa na Mungu amechukua ,Jina la Bwana Lihimidiwe
Padri Kaswelo Makita Matembo akiendesha Maombi ya Kuomwombea Marehemu Oddo Makita Matembo katika Makaburi ya Mbinga Mjini aliye vaa jeketi kushoto ni mtoto mwake wakwanza Masiha Makita Matembo
Mtoto wa Mwisho Deogras Oddo Matembo akiweka Taji la Maua huku akitoa heshima za  Mwisho kwa Marehemu  baba yake Marehemu Oddo Makita Matembo
Mama Mkwe wa Masiha Matembo Mama Nditi akiweka Taji la Maua kwenye Kaburi la Mkwewe Marehehemu Oddo Makita Matembo
Wajukuu wa Marehemu Oddo Makita Matembo wakiweka Shada la Maua katika kaburi la Babu yao
Maombezi ya Mwisho kwa Marehemu Oddo Makita yakiliyo endeshwa na Padri Kaswelo Makita Matembo

Sunday, April 20, 2014

MBUNGE WA JIMBO LA SONGEA AWAKOMBOA WANANCHI KWA KULETA MAGARI YA KUBEBA TAKA

 Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Saidi Thabiti Mwambungu akiwa na Mbunge wa Jimbo la Songea Dr. Emanuel John Nchimbi wakibadilishana mawazo jinsi ya kuweza kutatua kero za wananchi katika Mkoa wa Ruvuma
 Nikikao kizito kujadili Changamoto za Manspaa na za Mkoa wa Ruvuma ,Wakiwa asikari wa Mwavuli kuhakikisha swala la Maendeleo Mkoa wa Ruvuma Lina pewa kipao mbele, Kulia ni Mbunge wa Songea Mh. Dr. Emanueli John Nchimbi na Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Saidi Thabiti Mwambungu
 Mbunge wa Jimbo la Songea Dr. Emanuel John Nchimbi akikata utepe ikiwa ni ishara ya kukabidhi magari matatu yaliyo fadhiliwa na Benki kuu ya Dunia kwa ajili ya kuzoa takataka katika Manspaa ya Songea
 Mara baada ya Kuya kabidhi magari hayo Wananchi wakishangilia aliye vaa shati Jekundu ni Meya wa Songea Chares Mhagama
Mbunge wa Jimbo la Songea  Dr. Emanuel John Nchimbi Amesema Mafanikio Ya Kupata Magari hayo yametokana na Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Mh. Dr.Jakaya Mrisho Kikwete kusimamia maombi ya ufadhili kutoka Benk kuu ya Dunia akishirikiana na uongozi wa Mkoa wa Ruvuma.
 Mwonekano wa Magari hayo aina ya Issuzu yakiwa na Utepe kuonyesha kuwa ni mapya na yanauwezo wa kuzoa Taka bila wasiwasi cha Msingi ni wananchi kuunda kamati za kuwezesha kuzoa Taka kwa kujiwekea fedha kwa kila huba kusaidia Mafuta
 Mheshimiwa Mbunge  wa Jimbo la Songea Mh. Dr. Emanuel John Nchimbi akiliwasha gari aina ya Issuzu kuoinyesha Magari hayo ni Kamiri na Imara

Mbunge wa Jimbo la Songea Mh.Dr.  Emanuel John Nchimbi amewataka wananchi wa Manspaa ya Songea kuwa na tabia kuchukia Uchafu na kubuni mbinu mbalimbali za kukabiliana na ongezeko la Taka kwa kusimamia sheria walizo jiwekea.
Mbunge wa Jimbo la Songea Mh.Dr.  Emanuel John Nchimbi ameyasema hayo wakati akikabidhi magari matatu mawili makubwa kwa ajili ya kuzolea taka na Moja dogo kwa ajili ya matumizi ya Manspaa ya Songea yakiwa yame gharimu kiasi cha shilingi 478,986,584.00/=

 Gari dogo kwa ajili ya Matumizi ya Manspaa likiwa limepambwa tayari kwa kukabidhiwa kwa Manispaa ya Songea,

Mbunge Mh. Dr.Emanuel John Nchimbi amesema pamoja na mradi wa magari kukamilika swala la kuboresha miundo mbini ya Maji tayari limepatiwa ufumbuzi kwa kutengewa bilini moja katika bajeti ijayo,mbali ya miundo mbinu ya Maji mradi wa kujenga kilometa 15 katika manspaa ya Songea uko tayari.akizungumuza kuhusu Umeme katika kata ya Lilambo amesema serekari imeridhia kujenga Transfomer mbili
       Katika ghafula hiyo ya kukabidhi magari wananchi wa manispaa ya Songea wamemwomba Mbunge wao kuwakilisha kilio chao katika bunge la katiba  kuwa wao wana unga mkono kwa wale wote wanao taka serekari mbili

Saturday, April 19, 2014

WILAYA YA MBINGA INA SIFIKA KIMAENDELEO LAKINI KWA UNDANI KUNA DOSARI YA UCHAFU KATIKA SOKO LA MISHENI

 Kama kinavyo eleza kichwa hapo juu hilo ni soko la Misheni lilioko MbingaMkoani Ruvuma  angalia jinsi Mafunza yanavyo zagaa lakini ni soko linalo hudumia watu wengi kutokana na unafuu wa bei, Maendeleo gani bila kuzoa takataka karibu na Soko
Kama uonavyo soko  Misheni Mbinga linavyo onekana kwa mbali nje ya Soko kukiwa kume zaa gaa uchafu wafanya biashara walio hojiana na Blog hii wamesema Ushuru wana toa kama kawaida lakini huduma ya Kuzoa Taka haipo wanacho ngoja ni Mlipuko wa Magonjwa ya Kuambukiza

Thursday, April 17, 2014

UTEKETEZAJI WA BANGI KIJIJI CHA NGAOKOLA SONGEA VIJIJINI

 Asikari wa kikosi cha kuzuia ghasia akiwa amekaa katika shamba la bangi huko Magagula Songea Vijijini
 Majirani walioko katika mashamba ya bangi songea vijijini wakibadilishana mawazo na Asikari wa kikosi cha kuzuia ghasia
kazi ya kufika katika maeneo wanayo lima Bangi siyo Rahisi hapo Asikari wa Kikosi cha kuzuia ghasia akivuka katika madaraja mabovu yalioko Songea vijijini
 Mkongwe wa Habari Adamu Mzuza Nindi akiwa katikati ya shamba la bangi usitawi huo unatokana na pembejeo zinazo tolewa na serekari [VOCHA mkulima huyu akiwa amelima hekari moja na nusu Bangi hiyo ni kama unavyo iona
 Kamati ya ulinzi na Usalama ikiwa ina panda na kuteremuka katika Milima ya Ngaokola Songea Vijijini tayari kwa kwenda kuteketeza Bangi, Ukifika huwezi kuitambua sehemu inapo limwa pembeni kuna zunguka Mahindi au Ufuta
 Kamati ya Ulinzi ya Wilaya ya Songea  ikiteketeza Bangi pamoja na Kung'oa Masalio ya Shina la Mti wa Bangi
 Ukisogea Hapo kama usipo jua kanuni za Bangi utajikuta umevuta bangi bila kutarajia baadhi ya watu walio kuwa hawajui kanuni za Bangi walijikuta Wakiwa wamelewa bila Kutarajia ,Unauona Moto huo ?
 Maeneo yaliyo pandwa Bangi kuna kuwa na Walinzi wa Jadi Unaye Mwona hapo ni Mbwa ambaye kazi yake ni kunusa harufu ya Mtu anaye karibia katika shamba la Bangi halafu hubweka kwa nguvu kuwa fahamisha walimaji Haramu wa Bangi kuwa kuna adui ana kuja Mbwa hao wako zaidi ya Sita
Katibu Tarafa wa  Mhukuru  Songea Vijijini Salima Mapunda akiwa ame beba Bangi tayari kwa kuteketeza

Mkuu wa Wilaya ya Songea Joseph Joseph Mkirikiti amewataka Vijana kuacha kutumika kwa kazi haramu kama Kilimo cha Bangi ambacho kinaleta Madhara kwa watumiaji na hata kuwasababishia kuwa vichaa.
 Mkuu wa Polisi Wilaya ya Songea (OCD) Alfred Kasoro amesema  walimaji wote wa Bangi orodha yake  anayo pia anajua  Viongozi wa Kisiasa wanaosimamia zoezi la  ulimaji wa Bangi. Pichani ni Mkuu wa Polisi wilaya ya Songea Akongoza zoezi la kuing`oa Bangi katika kupambana na madawa ya kulevya.
 OCD Alfred Kasoro akionyesha mfabo wa kutofurahishwa na wale wote wanaoendelea na ulimaji au biashara ya Bangi amesema kampeni hii ya kuteketeza na kuwasaka wahusika wa shughuli hizi imezinduliwa na Mkuu wa wilaya ya Songea itakuwa endelevu katika wilaya ya Songea.

Mkuu wa Wilaya ya Songea Joseph Joseph Mkirikiti akiteketeza shamba la Bangi lenye Ukubwa wa Ekari moja lililoko katika Kijiji cha Ngaokola Songea Vijijini Mkoani Ruvuma, amesema dhumuni la Serikali inapotoa vocha za kilimo ni kusaidia kuwainua wakulima wadogo ili waimarike kiuchumi lakini badala yake inashangaza kuona vocha hizo zikitumika katika kuimarisha Kilimo cha Bangi.


Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea Sixbert Valentino amesema amewaagiza watendaji wote katika Tarafa ya Mhukuru kukagua mashamba yanayotiliwa wasiwasi kwa Kilimo cha Bangi. Picha unayoiona ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri akishangaa jinsi bangi ilivyohudumiwa na kustawi vizuri.
Safari ya kuelekea Kijiji cha Ngaokola Songea Vijijini haikuwa rahisi kutokana na barabara na madaraja kuwa ya hatari kama unavyoona pichani Askari wa FFU wakitengeneza mazingira ya kusaidia gari kuvuka katika Daraja hiyo ya Miti.