KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Sunday, September 21, 2014

MIKARATUSI ILIYOKO MLIMA MATOGORO MKOANI RUVUMA YA AMURIWA KUNG'OLEWA KUTOKANA NA UHALIBIFU WA MAZINGIRA

 Kikao cha kujadili kuhusu uteketezaji wa Miti ya Mikaratusi katika Mlima Matogoro Manspaa ya Songea
 Dakitari Rawrence Mbwambo  Kaimu mkurugenzi Mkuu Tasisi ya utafiti wa mistu Tanzania akiwakilisha mada kwa njia ya mtandao kuhusu faida ya Miti ya Mikaratusi na uharibifu wa Mazingira
 Wadau katika kutunza Mlima matogoro wakiwa katika semina ya uondoaji wa miti ya mikaratusi katika mlima matogoro manspaa ya songea
 Robati Mgohole  afisa misitu Manspaa ya Songea akitoa hoja kuhusu utoaji wa ,Miti ya Mikaratusi katika Mlima matogoro
 Meneja wa Mistu katika Mkoa wa Ruvuma akisikiliza hotuba ya Dakitari  Lawrence Mbwambo katika ukumbi wa Maliasili Mkoa wa Ruvuma
 Wadau mbambali wakiwa katika kikao rasimi cha kurutubisha Mlima Matogoro kwa Kutoa Miti ya Mikaratusi katika Mlima Matogoro.
 Hoja Mzito ya Kutoa Miti ya Mikaratusi Katika Mlima Matogoro Wadau wakisikiliza Kwa Makini na Kuwataka Wahusika Miti hiyo itakayo ondolewa itumike kwa Nguzo za Umeme au Ngozo za Simu
 Mkurugenzi Lawrence Mbwambo akipokea hoja mbalimbali kutoka kwa wadau wa Mistu jinsi ya Kuboresh Mistu na kuzuia Watu wanao choma Misitu ovyo
 Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Tasisi ya Utafiti wa Mistu Tanzania akiwa ukumbi wa Maliasili Ruvuma akipokea tarifa ya matayarisho ya uvunaji wa Miti ya Mikaratusi
Katibu Tawala Wilaya ya Songea Juma Ally  akitoa  faida ya kutunza mistu

Saturday, September 20, 2014

BOMU LA TIKISA MJI WA SONGEA

 Hili nieneo lililolipuka bomu la kutengeneza katika kata ya mfaranyaki karibu na daraja la matarawe manispaa ya songea
 utepe ukiwa umezingirwa ili kuzuia mtu asipite asije akalipuliwa na bomu lingine au kuvuruga upelelezi
 Asikari Police wakilinda usiku na Mchana katika eneo lilipo lipuka bomu la mkono la kutengenezwa
 Baadhi ya Nyumba zilizo asilika na bomu baada ya kulipuka eneo la Mfaranyaki Manispaa ya Songea
 Eneo Halisi la tukio linasvyo onekana kwa mbali
Asikali Police wakiwaza baada ya wenzao wawili kulipukiwa na Bomu la Mkono na kulazwa Hospitali ya Mkoa wa Ruvuma
 kijana Police aliye jeruhiwa na Bomu akiwa Hospitali ya Mkoa wa Ruvuma ,Amefanyiwa upasuaji katika mguu na kutolewa vyuma vilivyo mjeruhi amewataka Asikari wenzake kuwa waangalifu wanapo kuwa Doria
 Kulia ni binti aliye lipukiwa na Bomu na kujeruhiwa eneo na Mguu ambapo amefungwa POP naye alitolewa vyuma vingi pamoja na Misumari ameiomba Jamii kucha kuwa na visasi na Asikari kwani wao ni watoto wao au ndugu kwa namuna yoyote
 Binti Asikari akiwa amepumuzika paada ya Upasuaji ya kufungwa POP
 Asikari Police Fadhila Chacgha akimfariji binti aliye lipukiwa na Bomu akiwa hospitali ya mkoa wa Ruvuma
 Vijana wa Yebo yebo au waendesha pikipiki Manispaa ta Songea Wakisikiliza Hotuba ya Mkuu wa Mkoa kulaani vitendo vilivyo fanywa na wenzao waendesha pikipiki kwa kuwaumiza vijana wasio na Makosa
 Umati wawaendesha pikipiki wa kiwa ukumbi wa Songea Club wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa Saidi Thabiti Mwambungu kuhusu swala la mabomu
                                     wingi wa pikipiki zilizopo manispaa ya Songea

Asikari wawili wa jeshi la police mkoani Ruvuma wamelazwa katika Hospitali ya Mkoa wa Ruvuma baada ya kutupiwa bomu la mkono katika eneo la mfaranyaki na watu wasio julikana ambao walikuwa katika pikipiki kwa mujibu wa tarifa iliyo tolewa na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma kutoka kwenye Vyanzo vyake Vya habari


Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Saidi Thabiti Mwambungu  akitoa tarifa katika ofisi yake amesema vijana hao wawili wakiwa katika doria ya kawaida walipo fika eneo la darajani mfaranyaki walilipukiwa na kitu kilicho sadikika kuwa ni bomu la kutengenezwa kienyeji  Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma amesma habari kutoka kwa wasamalia wema wamesema waliona  pikipiki tatu zikipita kwa mwendo wa kasi ambazo zilitupa bomu ambalo lililipuka na kuwajeruhi asikari hao  wawili miguuni.

Wednesday, September 10, 2014

VIJANA WA JKT MLALE SONGEA WAMALIZA MAFUZO YA MUJIBU WA KUJITOLEA YA MIAKA 50 YA MUNGANO

 Mgeni Rasimi katika kufunga mafunzo ya kujitolea ya Miaka 50 ya Mungano Mkuu wa wilaya ya Songea Joseph Joseph Mkirikiti akipandisha eleneo la kupoke Heshima kwa vijana 1953 walio hitimu
 Viongozi waandamizi wa Jeshi la Wananchi wakiongozwa na Kanali  Lucy Joseph Kaingilila wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasimi Mkuu wa Wilaya Joseph Joseph Mkirikiti
 Mkuu wa wilaya ya songea Joseph Joseph Mkirikiti akiwa katikati kulia ni kanal Lucy Joseph  na kushoto ni meja Thomasi Mpuku mkuu wa kambi ya JKT Mlae
 Meja Thomas Mpuku akiwa na Mkuu wa Wilaya songea Joseph Joseph Mkirikiti
 Vijana wa mafunzo ya kujitolea ya miaka 50 ya  Mungano wakisikiliza hotuba ya Mgeni Rasimi ,ambaye amewaambia kuachana na tamaa ,kuacha kumia mafunzo waliyo ya pata kwa kuafanya uhali bali wao wawe msitari wa mbele  kutangaza sifa mzuri ya Tanzania
 Chezea ulinzi wewe vijana wame iva kama unavyo waona kwenye picha ni moto wakuotea mbali ndugu yangu ukiona mafunzo yao huwezi kuamini macho yako
                                                            JKT MLALE SONGEA
 Vijana wa JKT Mlale wameiomba serekari kuongeza muda wa Mafunzo muda wa miezi mitatu wa nao utumia haukizi kuwaweka katika ukakamavu wangeomba mafunzo yawe ya miezisita kwa ufupi
 Vijana hawa wa JKT Mlale wamesma widhara ya mambo ya Ndani inapo awawakumbuke kwanza wao ili waweze kutumia ujuzi walio upata  iwe JWTZ ,Uhamiaji, Police
                                                       JKT MLALE SONGEA
                                                              Paredi na kiapo cha utii
                                        ukaguzi wa Gwaride na Mkuu wa Wilaya Joseph Joseph Mkirikiti
 Viongozi wakipokea heshima kwa vijana 1953 walio hitimu mafunzo ya Kujitolea ya Miaka 50 ya Mungano
                         Vijana wa kitoa kiapo kwa Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania
                                   Baada ya Paredi Vijana wakiwa katika Mapumuziko
 Hizo siyo kuni wa Vya kuchezea hiyo ina kuonyesha kuwa Tanzania haina utani katika ulinzi
                                                                                    JKT MLALE
                                        Vijana hao wanahamu ya kwenda Dafu Chezea JKT wewe
 Kijana ambaye ameiva akiendesha mafunzo ya kutumia singe unge kuwepo unge tamani na wewe kujiunga na JKT

 Vijana wakitoa heshima mbele ya Mgeni rasimi  Mkuu wa Wilaya Songea Joseph Joseph Mkirikiti
                                                                     JKT MLALE SONGEA
                                                                  JKT MLALE
                                             Mkuu wa wilaya ya songea akikagua gwaride
                                                                        JKT MLALE SONGEA
                                                                          JKT MLALE SONGEA
  JKT MLALE SONGEA

                                                                        JKT MLALE SONGEA
                                                                      JKT MLALE SONGEA
                                                             JKT MLALE SONGEA
                                                                           JKT MLALE SONGEA
                                                                            JKT MLALE SONGEA
                                                                          JKT MLALE SONGEA
                                                         JKT MLALE SONGEA
                                                                                  JKT MLALE SOPNGEA
                                                                               JKT MLALE SONGEA
                                                                           JKT MLALE SONGEA