KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Saturday, February 21, 2015

MAHAKAMA KUU YA KANDA YA SONGEA YA PATA VITENDEA KAZI YAKIWEMO MAGARI MADOGO 5 NA BASI MOTA AINA YA TATA


Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Kanda ya Songea Mh Mwanaisha Kwariko amewataka Watumishi wa Mahakama Mkoani Ruvuma kuwa na Moyo wa Huruma kwa Wanafunzi wa Shule pale wanapoomba msaada wa Usafiri.


Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Kanda ya Songea Mwanaisha Kwariko ameyasema hayo wakati wa  kuzindua na kuyakabidhi Magari matano aina ya Toyota Double Kibin Picup na Basi aina ya Tata kwa ajili ya kurahisisha Utendaji wa shughuli za Mahakama.
 Karani Mhutasi Bingwa wa Mafaili na Mtendaji Mzuri kwa Wateja ni Mtendaji ambaye hana Makuu Hongera Mama
 Karani wa Mahakama ya Kanda ya Mahakama kuu ya Songea akiwa na Mama Fussi Mkongwe wa kazi za Ukarani za Mahakama
 Wafanyakazi wa Mahakama wakingoja maelekezo baada ya kupata usafiri wa Basi
 Magari yaliyo kabidhiwa kwa Mahakama kuu ya Songea yakiwa eneo la Maegesho

Sherehe za  Kukabidhi Magari hayo 5 Madogo na basi moja zimehudhuriwa na Mawakili  na Wadau wa Mahakama wakiwemo Viongozi wa PCB, Magereza, police na Wazee wa Mahakama.
 Madereva na Wahudumu wa Mahakama ya Wilaya.Mkoa na Mahakama kuu ya Kanda ya Songea
 Madereva wa Mahaka kuu ya Kanda ya Songea wakibadilishana Mawazo juu ya Utunzaji magari Mapya waliyo Pewa
 Wadau mbalimbali wakiwa katika viwanja vya Mahakama kuu ya Kanda ya Songea kuhudhuria Makabidhiano ya Magari sita
 Mama Fussi na Mama Chale wakifurahia usafiri wa Basi na kuona wapepunguziwa matumizi ya Yebo yebo wanacho ngoja ni Ratiba ya Usafiri
 Kamanda wa Police Mkoa wa Ruvuma Mihayo Msekhela akiwa na Afisa Uhamiaji wakibadilishana mawazo kuhusu sheria,
 Madereva wa Mahakama Kuu ya Kanda ya Songea wakiwa na Furaha kuona wamepata vitendea kazi gari unalo liona ni Basi la wafanyakazi wa Mahakama kuu ya Kanda ya Songea
 Baba yuko na Harakati za Kufanikisha sherehe hebu onna alivyo na Majukumu
 Kibao hiki cha mahakama Kuu ya Kanda ya Songea kina kukumbusha kuwa mizani unayo iona ni dalili ya haki ikielemea kwako umeenda na maji ikielemea upande waq serekari basi kesi ume shinda, Zingatia umuhimu wa mizani ufikapo mahakamani
 Jaji Mkuu wa Kanda ya Songea hutegemea ulinzi kutoka jeshi la Police WP Unaye mwona ni Mlinzi wa Jaji wa Kanda ya Songea
Kabla ya uzinduzi Jaji alikaa kuangalia jinsi ya kuweza kuya tumia Magari yaliyo tolewa ili ya tumike kuleta haki kwa wananchi

Mh Jaji a wa kanda ya songea amewaomba Madsereva  kuyaweka katika hali ya safi magari hayo .jaji Mfawidhi wa Mahakama kuu ya Kanda ya Songea Mwanaisha Kwariko amewaomba pia  madereva pale wanapo wakuta  wanafunzi wa shule za msingi  kuwa saidia na siyo abiria wengine.
Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Kanda ya Songea Mwaisha Kwariko amesema nia ya Mahakama kutoa Gari hizo ni kuzirahisisha kazi za Mahakama kuweza kutoa Haki kwa haraka kwa Wananchi na kupungza changamoto ya Usafiri kwa Wafanya Kazi.
Kamanda wa Police Mkoa wa Ruvuma Mihayo Msekhela akiwa na Afisa Uhamiaji Mkoa wa Ruvuma
                                                                 Msajiri na Mheshimiwa Jaji
 Mheshimiwa Jaji wa Mahakama  Kuu ya Kanda ya  Songea akifungua Rasimi Sherehe za kukabidhi Magari Matano

Mheshimiwa Jaji Mwanaisha Kwarikoakiwa na Jaji Mwenzie wakibadilishana Mawazo
 Wadau Mbalimbali wa Mahakama wakiwa na Jaji Mkuu wa Kanda ya Songea

Mwanaisha Kwariko.
Msajili wa Mahakama kuu ya kanda ya songea Beatus Benidictus  angalizo kwa Watumishi wa Mahakama kutoyatumia Magari hayo kinyume na Madhumuni, kwa kubeba mkaa au shughuli za Mizigo zisizohusika na Shughuli za Mahakama, pia amewaomba Madereva kuyalinda Magari