KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Friday, October 30, 2015

WANA RUVUMA WASHEREKEA USHIUNDI WA RAIS MTEULE MH.JOHN POMBE MAGUFULI NA WANAO TUHUMIWA KUFANYA MAANDAMANO BILA KIBALI CHA SEREKARI WAPATA DHAMANA

 Moja ya Nembo inayo tangaza Amani Nchini Tanzania ni Nembo yaliye ya Bendera ya Jamuhuri wa Mungano wa Tanzania Ambapo hivi sasa bendera iliyo pandishwa Mwaka 1964 ina Endelea kupepea baada ya kumpata Rais Mteule John Pombe Magufuli wa Awamu ya Tano
 Huku Watanzania wakisherekea kupatikana kwa Ris Mpya vijana kutoka Chama cha maendeleo na Demokurasia CHADEMA vijana 54 wanao tuhumiwa kufanya maandamano bila kibali wamepewa dhamaana yao
 Diwani wa chama cha mapinduzi Huseni Abdullkad akisikiliza kupewa cheti cha ushindi Rais Mteule mh. John Pombe Magufuli huku vijana wakipongeza kuteuliwa kwa Rais
 Diwani Pekee ambambe huji changanya na wananchi kusikiliza kero mbali mbali akicheza bao huku akisikilza maoni ya wananchi wa kata ya Majengo manispaa ya songea
 Waqtuhumiwa walio fikishwa katika mahakama ya Hakimu Mkaazi ya Songea kwa tuhuma ya kufanya Maandamano bila kibali cha Serekari

 Shuguli za kimaendeleo zimerudi kama kawaida wananchi wame anza kupata huduma za usafiri katika manspaa ya Songea
 Ofisi za Manspaa ya Songea sasa zime anza kutoa huduma zingine baki ya maswala ya uchaguzi
Watumiwa 54 wakesi ya kufanya maandamano bila kibali na kuto tii amuri halali ya Serekari hawa Hapa

Wednesday, October 28, 2015

WAFUASI 54 WA CHAMA CHA CHADEMA SONGEA WA FIKISHWA MAHAKAMANI KWA TUHUMA ZA KUFANYA MAANDAMANO BILA KIBALI


Mahakama ya Hakimu Mkazi wa mahakama ya Songea amewasomea Mashitaka watu 54 wafuasi wa Chadema  kwa tuhuma ya  kosa la kufanya Maandamano hapo taerehe 26.10 2015 bila kibali  cha serekari  na kupuuza amri halali ya kuto fanya mgomo na  baadala yake kuwa tupia mawe asikari police.



Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Songea Mheshimiwa Simon Kobero amewasomea Mashitaka   hapo 27/10/2015 Julius Timoth Ponera na wenzake 53  kwa makosa mawili
   1.kufanya Maandamano bila kibali
2. kosa la pili  kupinga amri ya Halali ya serekari kwa  kufanya  maanda manno, na badala yake kuendeleza mgomo kwa  kuwa tupia mawe asikari police   hivyo kuonyesh kuvunja   sheria nomberiNa. 75 chini ya kifungu cha 16 -  2002.
Mheshimiwa Hakimu Mkaazi wa Mahakama ya Songea Simon Kobero amewapeleka ndani washitakiwa wote 54 baada ya kukosa dhamana.  Kesi yao imehairishwa hadi tarehe 11/11/2015.
Kesi hiyo inasimamiwa na Wakili wa Serikali Renatusi Mkude Wakili Mwandamizi Mfawidhi wa Mkoa wa Ruvuma akisaidiwa na Mwanasheria Shabani Migore

Tuesday, October 27, 2015

WANANCHI WAPONGEZA UCHAGUZI WA MWAKA 2015 KATIKA MKOA WA RUVUMA



Wananchi wa mkoa wa Ruvuma wameshukuru kuona Uchaguzi wa Mwaka 2015 umekuwa wa Amani na Haki mbali ya Changamoto ndogo ndogo zilizojitokeza.
Wananchi hao wakitoa Maoni yao katika Maeneo mbalimbali wamesema walichokitegemea siyo kama ilivyotokea, wakiongozwa na Emanuel  Msabila ambaye aligombea Ubunge Jimbo la Songea Mjini kupitia Chama cha ACT Wazalendo amesema wat wanaogombea ni lazima ujue kuwa katika kuchaguliwa kuna kushindwa na kushinda mtu anayeng`ang`aniza kushinda ujue mtu huyo hajui mabadiliko. Akieleza upande wake amesema unapogombea kuna vitu viwili kushinda na kujenga jina . Mimi Msabila emanuel Msabila nashukuru nimejenga jina.

 Mgombea Ubunge jimbo la Nyasa Inginia Stela Manyanya akiwa katika Furaha Mara Baada ya Kutangazwa kuwa Mshindi Kushoto kwake ni ni Mkuu wa Wilaya ya Nyasa Magret Malenga

Jimbo la Songea Mjini katika nafasi za Udiwani CCM imeweza kuchukua kata 16 kati ya kata 21 za jimbo la songea na Viti 5 kuchukuliwa na Upinzani.
Msimamizi wa Jimbo la Songea Rafael Kimari amezitaja kata zilizochukuliwa na Upinzani kuwa ni kata za Matarawe, Mfaranyaki, Ruvuma, Shule ya Tanga na Kata ya Matogoro iliyochukuliwa na Chama cha CUF.  Kata ya Matogoro ndiyo iliyokuwa ikiongozwa na aliyekuwa Meya wa Manispaa ya Songea Charles Mhagama

Mgombea Ubunge wa Viti Maalu kupitia CCM  Mkoa wa Rvuma Jackline Msongozi amesema yeye kipao mbeleb ameweka kutetea haki ya mama na Mtoto katika kuzuia ukatili wa kijinsia   pia kulinda haki za Wazee naye  Diwani wa  Kata ya Msamala  Manspaa ya Songea Isack Lutengano wamesema swala lake la kwanza ni kusimamia mindo mbinu ya barabara bila kujali itikadi za chama

 Hali ilivyo kuwa Wakati wa Kupiga kura Katika Jimbo la Nyasa wakiwa katika Mstari majira ya Saa kumi na Mbili Alufajiri
 Wanchi wa Mkoaq wa Ruvuma wakipitia Maqgazeti mbalimbali kuona hali ya Matokeo Sehemu Mbalimbali
Hadi Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Songea Rafael Kimari Akimtangaza Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM Leonidas Twitbet Gama kushinda kwa kura    Dhidi ya Mgombea wa CHADEMA Joseph Fyime aliyepata kura    na Mgombea wa ACT Wazalendo Emanuel Msabila aliyepata kura

Wasimamizi wa Uchaguzi katika Vituo mbalimbali wakiongozwa na Hela  Mayao wameiomba Serikali upande wa Wasimamizi wa Uchaguzi katika Vituo mbalimbali kuandaa Mpango wa kuweza kupata Chakula kwa kuwa wakiingia katika Vituo hawana nafasi ya kutoka kutafuta Chakula, jambo linalowaweka kwa muda wa masaa 36 kukaa bila kula hadi wanaporudi Nyumbani.

 Watazamaji kutoka Nchi za Ulaya wakiangali jinsi wasimamizi wa Uchaguzi wakiunganisha Matokeo kwa Njia ya Mtandao

Wasimamizi kutoka Nchi za Ulaya wakiongozwa na Msimamizi msaidizi Nansi Nansi kuwa kwa hatua ya kupiga mpaka kuhesabu kura uchaguzi umekuwa wa Uhuru na Amani. Amewataka watanzania kuwa na Amani.


Watazamaji wa Kimataifa kutoka Nchi za Ulaya Nansi Nansi wamesema uchaguzi wa Mwaka 2015 umekuwa wa Haki na Amani.
Msimamizi Msaidizi wa kimataifa kutoka Nchi za Ulaya Nansi Nansi amesema ingawa bado tukiendelea kungoja Matokeo ya Urais kutangazwa lakini mpaka hapa tlipofikia panaonyesha Hali ya Amani


Uchaguzi katika Jimbo la Songea ulikabiliwa na Changamoto ya Wanachama wa CHADEMA kugomea Matokeo na kufanya Maandamano yasiyo na kibali na kuwalazimu Jeshi la Police kutumia Mabomu ya Machozi kutawanya Waandamanaji.

 Anna Tembo Mtetezi katika Dawati la Police Wanawake Mkoa wa Ruvuma akiwa katika ulinzi kutetea Haki ya Mama na Mtoto

Kaimu Mkurugenzi wa Jimbo la Songea Rafael Kimari amesema kati ya Wagombea watatu walioshiriki katika Uchaguzi nafasi ya Ubunge akiwemo manuel Msabila wa ACT, Joeph Fyime wa CHADEMA na Leonidas Gama wa CCM .
Akisoma Matokeo ya Uchaguzi nafasi ya Ubunge Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Songea Rafael Kimari alisoma kura alizopata kila mgombea    Emanuel Msabila kutoka ACT ALIPTA KURA 436 , Joseph fyime wa chadema 37, 012 na Leonidas gama wa CCM KURA 40,886

 Kaimu Mkurugenzi Wa Manspaa ya Songea Raphael Kimary akipata Tarifa kutoka sehem u Malimbali

Wananchi waliohojiwa na Star TV wamesema Uchaguzi ulikuwa Uhuru na Amani, ila sheria ya kukaa mita 200 inatakiwa ifanyiwe upembuzi yakinifu, nao wasimamizi wa Uchaguzi wameomba  serekari kuweka mpango malumu kwa wasimamizi kupewa chakula kwa kuwa muda wa kwenda kula una kuwa haupo baada yake hushinda njaa kwa masaa 36 hadi wanapo rurudi nyumbani sik ya pili


Mgombea Ubunge Jimbo la Songea Mjini kwa tiketi ya CCM Leonidas Gama  mara baada ya kutangazwa kuwa Mbunge amesema yeye kama Mbunge wa Jimbo la Songea ana wahakikishia wananchi wote kuwa atafanya kazi kwa niaba ya Vyama vyote ili kuleta Maendeleo katika jimbo la Songea.


Hadi Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Songea Rafael Kimari Akimtangaza Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM Leonidas Twitbet Gama kushinda kwa kura    Dhidi ya Mgombea wa CHADEMA Joseph Fyime aliyepata kura    na Mgombea wa ACT Wazalendo Emanuel Msabila aliyepata kura.


Wafuasi wa CHADEMA wametakiwa kuwa na watulivu wakati wote wa kutolewa kwa Matokeo, Kauli hiyo imetolewa na Kamanda wa Police Mkoa wa Ruvuma Mihayo Msikhela baada ya Wafuasi wa CHADEMA kupokea Taarifa ya kuwa Mgombea wao wa Ubunge Jimbo la Songea Joseph Fuime ameshinda kauli ambayo ilileta Mtafaruku.



Wananchi waliopiga kura wakiongozwa na Eliasi Ndimbo wamesema Wabunge watakapoketi katika kutunga Sheria waangalie Sheria ya uchaguzi inayowataka kukaa mita 200 irekebishwe ili kuipa nafasi ya kuangalia kwa ukaribu kinachoendelea katika Uchaguzi.

Saturday, October 17, 2015

WANDISH WAHABARI WAAZIMIA NJIA MBADALA YAKUWEZA KUPUNGUZA VIFO VYA WAZEE

                          Jopo la wandishi wa habari kutoka Tanzania bara na Tanzania Visiwani
Vikundi vya wandishi vikiweka mikakati ya kuweza kupunguza changamoto zinazo wa kabili wazee
Vichwa vya waandishi vilibidi vifanye kazi ya ziada tarifa ya miezi sita kufa kwa wazee 320 sikidogo jambo mhimu ni kila mmoja kuangalia nini kifanyike wakati huo huo ukijua kuwa wewe ni mzee wa kesho
Wandishi wa Habari wakiendelea kujadili umuhimu wa kuwaenzi wazee kwanza kuwa ongezea muda wakuishi, kwanza kuchichua kila jambo ambalo lina weza kuhatarisha maisha ya wazee
Mhariri wa Magazeti ya Kingereza ikiwemo gazeti la Citizen Deogratias Mushi wakanza kushoto akiratibu maswala ya wazee
mwendelezo wa kubadilishana mawazo jinsi kuwanusuru wazee katika  kupoteza maisha
 Mwandishi mwandamizi wa RFA Betrice Robati kutoka Mwanza akisikiliza kwa makini Tarifa zilizo kuwa Zikitolewa na Mkurugenzi Msaidizi wa Help Age Intenational  Start Daniel akitoa takwamu za mauaji ya wazee inakadiriwa kwa miaka mitano wazee 2866 wamepoteza maisha kutokana na Tuhuma za Ushirikina
Wandishi kutoka nyanda za juu kasikazini wakiwa wana tafisiri lug'ha wanazo ambiwa wazee kuwa ni vikongwe badala ya kuitwa
Mwandishi Adala Pandu kutoka Zanzibar aliye vaa shati jeusi lenye mistari
                                                     Mwandishi akinukuru tarifa mbalimbali
Wadau na wandishi wa Habari kwa pamoja wakiwa makini kuratibu mipango bora itakayo okoa maisha ya Wazee

Makamu wenyekiti wawazee Nchini Tanzania akiwakilisha Hoja kuhusu mazimio waliyo azimia hali ya wzee na hatima yake
                                              Betrice Robati mwandishi wa Radio Free Africa Mwanza
          Mhariri Deograsia Mushi aki toa maada juu ya waqjibu waandishi wa Habari
Mkurugenzi wa Blog ya Songea Habari na Mwandishi wa Habari wa Star Tv na Radio Free Africa Adamu Mzuza Nindi akiwa Makini katika kutafuta njia ya kunusuru maisha ya wazee yanayo tokana na elimu duni iliyo kuwepo kwa jamii kuamini kuwa Mzee ni mshirikina kutoka na kuwa na Macho mekundu,Mzee kutoka nje akiwa uchi kwa kupoteteza kumbukumbu,kuishi mda murefu na kuweweseka kwa mambo ambayo haya tende.Eneo kuwa na Maradhi ya kuambukiza na kusukumiwa wazee kuwa ni wachawi.Mambo hayo yote ni juu ya waandishi kuwa elimisha wananchi