tag:blogger.com,1999:blog-5662150817416919247.post9024832882408817516..comments2023-11-01T00:52:53.953-07:00Comments on YALIYO JIRI MKOANI RUVUMA NA MKONGWE WA HABARI ADAM NINDI: MAWAZIRI WAKUU WAZURU KABURI LA KIPENZI CHA WATANIA HAYATI MORINGE SOIKOINEAdam Mzuza Nindihttp://www.blogger.com/profile/02975544215166463297noreply@blogger.comBlogger1125tag:blogger.com,1999:blog-5662150817416919247.post-30901471161285042592012-04-20T07:31:54.425-07:002012-04-20T07:31:54.425-07:00Ndugu mwandishi wa habari hizi napenda kuchukua fu...Ndugu mwandishi wa habari hizi napenda kuchukua fursa hii kukupongeza kwa kazi nzuri ambayokimsingi inalenga kupeleka taarifa kwa jamii,jambo ambalo ni jema sana!nakupongeza kwa dhati kabisa.<br />Ushauri wangu kwako ili kazi yako izidi kufanikiwa na kubalika na siyo tu kazi bali hata wewe mwenyewe jamii ikutambue kuwa unastahili kuifanya kazi hii,jitahidi kupitia na kuhakiki habari zako hasa katika eneo la lugha kwakuwa umekuwa ukiandika maneno tofauti na vile yanavyotakiwa.Mfano katika habari ihusuyo mawaziri wakuu wazuru,...Hapo juu angalia makosa utabaini kile ninachokushauri!kumbuka habari hizi zinasomwa na watu wengi sana wenye upeo tofautitofauti.Najua yamkini hauna mhariri wa kazi yako kwa hiyo jifanyie uhariri mwenyewe kabla ya kutuma habari katika mtandao.Mwisho nakutakia kazi njema yenye mafanikio sasa na kwa siku zijazo!Mjanga Andersonhttps://www.blogger.com/profile/04838491770153671419noreply@blogger.com