KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo
UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuesday, November 27, 2012
EVENT; CIVIL SOCIETY FORUM
Washiriki katika mkutano wa mtengamano katika Africa mashariki na yakati wajumbe kutoka Mkoa wa Mbeya wakibadilishana mawazo
Mjumbe kutoka Mkoa wa Ruvuma akiwa katika Mkutano wa ushirikiano wapamoja kwa Nchi za Afrika Mashariki na yakati anbapo ulishilikisha nchi za Rwanda,Uganda,Kenya, na Burundi
Mwakilishi kutoka PADI kutoka Mkoani Ruvuma Isaka Msigwa wa pili kutoka Kwa Adamu Nindi akiwa katika ukumbi wa kimataifa AICC Arusha
Isaka Msigwa akiwa amevaa kitafiri cha lugha mbalimbali akimsikiliza mjumbe kutoka Rwanda akiongea lugha ya kifaransa
Mshiri kutoka mkoa wa Mbeya akiwa akiratibu maswala mbambali kuhusu Africa mashariki na yakati
Washiriki mbambali wakiwa katika ukumbi wa AICC jijini Arusha

Thursday, November 8, 2012
JUMA NYUMAYO UNATAFUTWA NA NDUGU YAKO
MUNGWANA MSOMI ANA HAMU YA KUJUA NDUGU ZAKE JEE WEWE ULIYE NJE UNAWEZA KUFANYA HIVYO
Habari, za huko Songea nimevutiwa na jina lako na nimelifananisha na Dada yangu nilipata kusoma naye shule ya msingi Luhira huyu dada alikuwa anaitwa Stamili Nyumayo ama kweli nimeonana naye miaka ya themanini siju ana uhusiano na wewe,Mimi naitwa Baltazar B.Komba nimwenyeji wa songea kidogo lakini kwa miaka mingi nimewekeza Mtwara na nina mpango wa kugombea nafasi ya juu ya kisiasa mwaka 2015,nikiwa hai,kwa sasa Mimi ni katibu mtendaji wa shirika la FAIDIKA WOTE PAMOJA-FAWOPA nililo lianzisha mwaka 2004 na ni mratibu wa mradi wa jali watoto unao endeshwa na Fawopa kwa msaada wa PACT-worldwide, nina program pia itakayo washirikisha ndugu zangu walio maliza shule ya msingi mwaka 1997 ktk shule ya Luhira,Hivyo kama utakuwa unauhusiano na Stamili utakuwa umenisaidia kuanza kuwasiliana na mtu ambaye anaweza kunipa mawasilino ya mtu mwingine anaye itwa selina Nguruwe kwa sasa nipo Sofia katika nchi ya Burgalia tokea wiki ya jana natarajia kurudi wiki hii Ahsante sana wasalimie wote huko nyumbani
Komba -BB(Mtumwa wa watu)

Tuesday, November 6, 2012
BENK YA POSTA MKOANI RUVUMA WAISAIDIA TIMU YA MAJIMAJI
Adam Nindi, Songea.
Meneja wa Tawi la
Benki ya Posta Mkoani Ruvuma Joseph Priscus Shirima ameweza kuichangia Timu ya
Majimaji ya Mkoa wa Ruvuma ambayo iko katika
ligi ya daraja kwanza ngazi ya Tifa kwa kuipa Shilingi Laki Tano (500,000)
Meneja wa Posta Mkoa
wa Ruvuma amesema Shirika la Posta linathamini sana michezo, Wateja wa Benki ya
Posta walio wengi wanapenda michezo kama Benki
haitawaunga mkono maswala ya michezo haita kuwa ina watendea vizuri wateja wake
ambazo ni wanamichezo
.
Meneja wa Tawi la Benki
ya Posta Mkoa wa Ruvuma Joseph Pricus Shirima amesema mchango wa Shilingi 500,000 ni moja ya
kuhamasisha Timu ya Majimaji iweze kufunya vizuri katika Ligi ya daraja la
kwanza Tanzania.
.
Mwenyekiti
wa FARU Mkoa wa Ruvuma Golden Sanga amewaomba wana Ruvuma kuziunga mkono Timu
za Majimaji na JKT Mlale ili ziweze kufanya vizuri katika Ligi Daraja la Kwanza
Tanzania. Pia ameshukuru msaada wa Shilingi 500,000 uliotolewa na Benki ya Posta
Mkoa wa Ruvuma.
Mwenyekiti
wa Kamati ya Saisdia Majimaji Ruvuma Dadiely Chanachayo amesema Timu ya
Majimaji ambayo iko Iringa kwa sasa imekwama kutokana na ukwasi, msaada wa
Shilingi 500,000 uliotolewa na Benki ya Posta utasaidia Maimaji kuendelea na
michuano ya Ligi Daraja la Kwanza na kuisaidia timu hiyo kwenda morogoro
Mwenyekiti
wa Mchezo wa Mpira wa Miguu mkoani Ruvuma Golden Sanga kwa mara ya Kwanza toka
achaguliwe baada ya kumwangusha mpinzani wake mkubwa Joseph Mapunda ambaye alikuwa mwamuzi wa kimataifa wa mpira wa miguu pia kuwa mjumbe wa TFF
aliweza kumwangusha kwa kura mbili. Hivi sasa Mwenyekiti Godeni Sanga ana enda
nyumba hadi nyumba kuomba mchango wa kuweza kuinua michezo mkoa wa Ruvuma
Wakati huohuo
aliye kuwa mwenyekiti wa michezo mkoa wa ruvuma Joseph Mapunda amesma
anaupongeza uongozi wa mpira wa miguu chiniya mwenyekiti Golden Sangawani na
ameahidi kushirikiana na uongozi huo
Subscribe to:
Posts (Atom)