Kwa mkoa wa Ruvuma hii ni mara ya kwanza mtoto wa kiume Joseph Mapunda pichani hapo juu kutembea na mama yake mzazi. Wana Ruvuma wanauliza tume jikwaa wapi watanzani hadi kupoteza mila desturi na maadili ya mtanzania pia kukiuka sheria za dini
KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo
UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Sunday, August 26, 2012
MTOTO AFUNGA NDOA NA MAMA YAKE MZAZI - SONGEA
Kwa mkoa wa Ruvuma hii ni mara ya kwanza mtoto wa kiume Joseph Mapunda pichani hapo juu kutembea na mama yake mzazi. Wana Ruvuma wanauliza tume jikwaa wapi watanzani hadi kupoteza mila desturi na maadili ya mtanzania pia kukiuka sheria za dini
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Hakika huko tuendako sasa ni kubaya...hii inabidi ichukuliwe hatua.Mila na desturi zimeenda wapi jamani? mtoto na mama kuwa mke na mume lazima kutakuwa na shetani amewaingia...
ReplyDeleteNimejaribu kufikiri ni kwanini cpati jibu,huu sasa hivi ni ushenzi mtupu,hii ni laana tupu
ReplyDelete