Shirika la Posta Songea ni moja ya mashirika ambayo yana Fahamu Faida za upandaji Miti, Tanzania imekuwa katika changamoto ya madawati ya kukalia wanafunzi shuleni, shirika la Posta baada ya kupanda miti ili weza kupasua Mbao na kutengeneza Madawati ,Hapo meneja wa Posta Joseph Shirima anaonekana akiwa amekalia madawati aliyo Tengeneza
Meneja WaPosta Joseph Shirima akipanda miti katika Shule ya Msingi Mbulani
Wanafunzi wa Shule ya Msingi Mbulani Manispaa ya Songea wakipanda miti ya Mbao
Uharibifu wa Mazingira una fanywa na watu wanao taka kujipatia kipato cha haraka bila kujali kuwa wanaharibu mazingira eneo linalo onekana ni sehemu ya kitai eneo la Mbinga wakiwa wamechimba Brabara ya lami chini kwa chini bila kujali gharama iliyo tumika kutengeneza barabara ya songea Mbinga iliyo gharimu shilingi bilioni 79
Miti imeonyesha faida kubwa wananchi sasa wana tundika mizinga iliyo tokana na upasuaji wa Mbao hapo Mkuu wa Wilaya ya Songea Joseph Joseph Mkirikiti akiwahimiza wananchi kufuga NyukiMkuu wa wilaya ya Songea Joseph Joseph Mkirikiti amesema umefika wakati sasa wa kujenga urafiki na Nyuki badala ya kuwaona Nyuki kama Adui amewataka wananchi kuepuka na kuchoma misitu ovyo unao sababisha viumbe wengi kutoweka wakiwemo nyuki
Wananchi wa vjiji vya
Mtyangimbole na Gumbiro Songea Vijijini
baada ya miezi miwili wanatarajia kuvuna
kilo 500 za Asali na Nta kilo 50za baada ya kutundika mizinga 50 katika Msitu wa
Hifhadhi
Mkuu wa Wilaya ya
Songea Joseph Joseph Mkirikiti akimwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said
Thabiti Mwambungu amesema hayo katika wiki ya kitaifa ya kutundika mizinga
iliyo fanyika kijiji cha Mtyangimbore .Amesema Mpango wa serekari wa Matokeo
Makubwa sasa ni kubuni mipango mbali mbali ya kumwongezea Mwananchi wa Chini
kipato kupitia Ufugaji wa Nyuki’
Mizinga ya nyuki iliyo tengenezwa kwa mbao ikiwa inaningt"inia juu ya mitikuhifadhi misitu kuna leta faida nyingi baki ya kupasua mbao pia kuna leta Mvua Mwakilishi kutoka Mtwara akitoa Elimu siku ya Upandaji miti kitaifa sherehe zilizo fanyika Mtyangimbore Songea Vijijini
Naye Mwakilishi wa Meneja wa Wakala wa Huduma za Misitu
Tanzania Gaudens Kilasi amesema kutokana na Mizinga 25 iliyotolewa mwaka jana
na mizinga 25 ya sasa itawasaidia wananchi kuvuna Tani 500 za Asali swala
litakalo saidia kupunguza umasini kwa wananchi wa vijijini.
Mwakilishi kutoka kanda ya Mtwara akisoma tarifa juu ya Mafanikio ya utunzaji misitu,Wazazi wakipewa tarifara na Meneja wa Posta Songea Joseph Shirima juu ya faida ya miti waliyo ipanda katika shule ya Mbulani Manispaa ya Songeas
Meneja wa Misitu Wilaya ya Songea Manyisye Mpokigwa amesema juhudi za Idara yake kuhusu Utundikaji wa Mizinga na kulinda Misitu sasa inaonyesha mafanikio wananchi wengi wa vijijini wameanza kuvuna Asali Meneja Misitu wilaya ya Songea akiwa katika wiki ya Utundikaji wa Miti Kitaifa sherehe zilizo fanyika Songea
No comments:
Post a Comment