KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Sunday, December 23, 2012

WANAUME WA MWAMBAO WA ZIWA NYASA WATOA LAWAMA YA KUNYANYASWA KWA KUNYIMWA UNYUMBA

 Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Prisca Haule akifafanua mambo yanayoashiria kutozingatia usawa wa kijinsia na kukwamishaMaendeleo huku akiwataka wananchi wa Wilaya ya Nyasa kuzingatia usawa wa Kijinsia.
 Washiriki wa Mdahalo juu ya Masuala ya Usawa wa Kijinsia katika Ukumbi wa Kapt Komba Lituhi Nyasa
 Washiriki wa Mdahalo wakifuatilia Mdahalo huku wakipata vinywaji baridi katika ukumbi wa Kept Komba Lituhi Wilayani Nyasa Mkoa wa Ruvuma
 Picha ya pamoja washiriki wa mdahalo na uongozi wa Mtandao wa RUNECISO ambao ndio waandaaji wa Mdahalo kwa Ufadhili wa FOUNDATION FOR CIVIL SOCIETY na wawakilishi wa Serikali
 Baadhi ya washiriki wa Mdahalo wakibadilishana mawazo nje ya Ukumbi mara baada ya kutoka katika Ukumbini.
 Wengi wamezoe kuona mifugo ya aina mbalimbali ikizagaa kama Mbuzi, Ng`ombe, kuku na Kondoo lakini kwa Mji mdogo wa Lituhi ni tofauti pichani ni Nguruwe ambao wanafugwa kama kitega uchumi kwa wananchi wa Lituhi wilaya ya Nyasa.
 Pichani kulia Mwenye shati la kijivu ni Mwasibu wa Mtandao wa Asasi za Kiraia mkoa wa Ruvuma RUBECISO Francins Mlimila akiwa safarini kutoka Songea mjini kuelekea kwenye Mdahalo Lituhi wilayani Nyasa  km 176 kutoka Songea Mjini.
Dereva wa Basi la Mapenzi ya Mungu Hassan Hassan linalosafirisha abiria kutoka Songea - Liuli akiwa safarini na Viongozi wa Mtandao wa RUNECISO wakielekea kwenye Mdahalo juu ya Usawa wa Kijinsia Lituhi

Picha ya Chini ni Basi la Mapenzi ya Mungu likifanya safari kutoka Songea kuelekea Lituhi ambalo walokuwemo viongozi wa Mtandao wa RUNECISO wakielekea kwenye mdahalo wa Usawa wa kijinsia
Afisa Mtendaji wa Kata ya Lituhi Bw. Chawala akichangia mada katika Mdahalo wa wazi juu ya Masuala ya Kijinsia uliofanyika Ukumbi wa Kept Komba Lituhi ambao umeendeshwa na Mtandao wa mkoa wa Ruvuma RUNECISO kwa ufadhili wa FOUNDATION FOR CIVIL SOCIETY.
 Mwenyekiti wa Mtandao wa Asasi za Kiraia Mkoa wa Ruvuma Michael Mahecha akitoa ufafanuzi kwa washiriki wa Mdahalo wa wazi juu ya Masuala ya Kijinsia katika ukumbi wa Kept Komba Lituhi Wilayani Nyasa, kulia kwake aliyekaa ni Mratibu wa RUNECISO Bw Juma Nyumayo.
 Washiriki wa Mdahalo juu ya Masuala ya Kijinsia wakifuatilia kwa makini mada ya usawa wa kijinsia wakati mwezeshaji akiielezea.
Picha ya Chini ni Katibu wa Matandao wa Polisi wanawake Mkoa wa Ruvuma A/InspFadhila Chacha akitoa mada juu ya Masuala ya Usawa wa Kijinsia katika Kijiji cha Lituhi Wilaya ya Nyasa Mkoani  Ruvuma ambaye aliombwa na wanaoishi katika Mwambao wa Ziwa Nyasa kutafuta suluhu kuhusu unyanyasaji wa wanaume kunyimwa unyumba na wake zao.
Baadhi ya washiriki wa mdahalo wakisikiliza kwa makini masuala yanayohusu jinsia na maendeleo katika Mdahalo wa wazi juu ya Usawa wa Jinsia kwa Maendeleo uliofanyika katika Ukumbi wa Kept Komba Lituhi Wilayani Nyasa.
 Wanafunzi wa Shule ya Msingi Lituhi wakisikiliza jinsi ukatili wa kijinsia unavyoweza kukwamisha maendeleo ya watoto kielimu na kuwaathiri katika kukabiliana na changamoto mbalimbali za maisha.
 Washiriki wa Mdahalo juu ya Masuala ya Usawa wa Kijinsia wakionyesha kuguswa na mada kwa kulinganisha na mazingira yao, hapo wakifuatilia kwa makini ili waelewe namna ya kuzingatia usawa wa kijinsia kwa maendeleo yao
 Washiriki wa Mdahalo wa Masuala ya Usawa wa Kijinsia wakichangia mada katika Mdahalo uliofanyika Lituhi Wilayani Nyasa.
Washiriki wa Mdahalo wa usawa wa Kijinsia hapo juu ni mzee akiandika mawazo yake ili achangie juu ya masuala ya usawa wa kijinsia yanavyorudisha nyuma maendeleo

Tuesday, December 4, 2012

WAHAMIAJI HARAMU WAKAMATWA MKOANI RUVUMA WAKITOKEA ETHIOPIA



 Afisa Uhamiaji Mkoa wa Ruvuma Koku Lwebandiza akielezea jinsi walivyo fanikisha kuwa kamata wahamiaji haramu kutoka Ethiopia amesma wahamiaji wote 22 wata fikishwa mahakamani ili hukumu itolewe warudishwe kwao Ethiopia
 Wahamiaji Haramu Kutoka Ethiopia wakiwa katika ofisi za Uhamiaji Mkoa wa Ruvuma
 Ni wa hamiaji Haramu wakihojiwa na Asikari wa Uhamiaji jinsi walivyo ingia Nchini Tanzania wakitokea Ethiopia

Kama unavyo waona Wahamiaji hawa haramu wametoka Ethiopia na kupita mikoa mbalimbali ya Tanzania hadi kufika kijiji cha magazini katika wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma jee nani yuko kati yao hadi kumaliza mikoa yote ?
 Niajabu nakweli kwa wahamiaji hawa haramu kila wanapo kamatwa huwezi kuona mwanamke jee ni kweli hawa ni wa hamiaji haramu au kuna kitu kina fichwa ndani yao
Hawa ni moja ya wahamiaji haramu hapo wamechoka wakidai kupewa chakula wana sema wanaji sikia njaa

Monday, December 3, 2012

MEYA WA MANSPAA YA SONGEA CHARES MHAGAMA AWATAKA WAZAZI KUPUNGUZA ADHABU KALI KWA WATOTO WALIO CHINI YA MIAKA 18

 Meya wa Manspaa ya Songea Chares Mhagama akiwa katika Maafali ya watoto waali katika shule ya awali Charity iliyoko Matarawe, Meya amewataka wazazi kuachana na adhabu ya kuwachoma moto watoto wanapo poteza fedha baada ya kuwa tuma kununua kitu fulani amesema Haki ya Msingi ya kimataifa tuliyo Ridhia ni Mtoto ana Haki ya Kukosea
 Watoto walio chini ya miaka 5 wakiwa katika Maafali ya Kumaliza masomo ya awali katika shule ya  Charity Matarawe Songea
 Meya wa Manispaa ya Songea akiwa amepiga picha ya pamoja na Watoto wa wa sule ya awali amesema kwake ni Fahali kubwa kupiga picha na watoto wadogo
Chaers mhagama meya wa maspaa ya Songea akiwa na baadhi ya wazazi katika maafali ya shule hiyo ya Charity
 Mzazi katika shule ya awali ya Charity Mama Mtamakaya akitoa neno la mbele kwa wazazi wenzie akiwa taka kuwa somesha watoto wao kwani hiyo  ni akiba yao ya baadaye
 Mwalimu Rose Silingi akisoma Risala mbele ya Mgeni Rasimi kwa kueleza changamoto zinazo ikabili shule hiyo ikiwa na pamoja na wazazi kuwa toa watoto kabla ya watoto kumaliza miaka 3
 Watoto wa Shule ya awali Charity wakisoma lisala kwa mgeni Raisimi Chares Mhagama wakimwomba awahimize wazazi wenzie kuwa endeleza watoto hadi chuo kikuu
Watoto walio baki katika shule ya Awali wakitumbuiza wageni walio hudhulia Maafali katika shule ya awali ya Charity iliyoko Matarawe Manspaa ya Songea

Sunday, December 2, 2012

HOSPITALI YA SONGEA YA PATA MSAADA WA VIFAA TIBA NA WAZEE WA DENMARK

 DR Teresa Uvisa akisalimiana na Dr Benedicto Ngaiza baada ya kukabidhi vifaa tiba vilivyo tolewa na wazee kutoka Denmark
 Hapo Dr Teresa Uvisa akisalimiana na Mganga mkuu wa mkoa wa Ruvuma DR Daniel Malekela
 Maturoni wa Hospitali ya songea akipeana mkono na Waziri  Teresa Uvisa

 Vifaa tiba vilivyo tolewa na wazee wastahafu kutoka nchini Denmark katika hospitali ya songea
 Vifaa vilivyo tolewa na wazee wa Denmark kama vinavyo onekana
Mshine ambayo ili kuwa ni changamoto kwa hospitali ya Songea ijulikanayo kwa jina la out sound yenye uwezo wa kupima viungo vya ndani ya mwili ,eg.utumbo,maini,watoto walioko ndani ya tumbo la mama