kuzaliwa kwa Binadamu hutegemea zaidi Mwenyezi Mungu Mama hapo juu Ajulikanaye kwa Jina la Maula Chale amebahatika kujifungua Mapacha Mtpto wa Kiume na Wakike ,Wakiume anaitwa Hasani na Wakike anaitwa Husuna, kazi kubwa ni kumwombea kwa Mungu ili watoto wawe lidhiki yake au benki ya baadaye kwake, Watu walio wengi huogopa kuzaa wakifikili ni Mzigo kwao kumbe wana jiwekea benk ya maisha kwa zoho zao Zitakapo fikia Uzeeni
Dada yake Maula Chale ajulukanaye kwa jina la Teodesia Chale akiwa amewashika watoto wawili wa dada yake Husuna na Hasani
Husuna na Hasani wakiwa wamefika katika Dunia Mpya hapo wana utwanga usingizi watoto wa Adam Mzuza Nindi Hao
Waoto wakiwa Macho wa kishangaa mambo ya Dunia cha Msingi Tuwaombee wawe Watanzania wenye kuipenda nchi yao, Mungu wabakiki Hasani Nindi na Husuna Nindi , Mungu ibariki Tanzania.