Hayati Daudi Mwangosi alikuwa mwandishi hodari katika kuelimisha jamii mambo ya kisaikolojia na hata filosofi zaaina zote , katika ofisi yake kulikuwa na Vitabu mbalimba vya watu mashuhuri vilivyo onyesha namuna ya kutafuta haki, jee baada ya kifo chake watu wanalitambua hilo ?Picha hiyo hapo juu ina wachanganya Waandishi wa Habari na Jamii kuhusu kifo cha Daudi Mwangosi ,Jee wewe Raia baada ya kuona picha hii una wazo gani huoni wandishi ni sawa na mshumaa ,Tume kuwa tukipiga kelele kuhusu haki za wenzetu jee Raia mna tusaidia vipi Waandishi, Haya tujipe pole wote

No comments:
Post a Comment