Naibu Mkurugenzi wa Tenesco Boniface Njombe akiongea na wandishi wa Habari Jinsi Shirika la Tenesco lilivyo jizatiti kuondokana na Tatitizo la Umeme Mkoani Ruvuma. [1].Kufanya matengenezo ya Mara kwa mara kwa Mashine zinapo haribika. [2] Kupanua wigo kwa kuungana na wadau wanao zalisha Umeme katika Mkoa wa Ruvuma kama tulivyo jaza Mkataba na Masista wa Chipole kupata MG 7 za Umeme.[3] Kuunganishwa Umeme wa Taifa kutokea Makambaku kuja Ruvuma akatika uunganishaji huo Vijiji 200 vita Faidika na Umeme wa Taifa ambao haukati ovyo ovyo
Meneja wa Tenesco Mkoa wa Ruvuma Timoth Ramadhani akiwa katika kikao na waandishi wa Habari amekiri kuwa Mgao wa Umeme Manspaa ya Songea ni changamoto kwake Mali ya Wananchi kukosa umeme kwa wakati mwafaka lakini hata shirika hukosa Mapato ,Ameomba uvumilivu wakati Shirika la Tenesco likitafuta njia ya kuondokana na Tatizo hilo,
Naibu Mkurugenzi wa Boniface Njombe amesema wale wote walio kuwa wakingpja kufungiwa Umeme kwa ukosefu wa Nyaya ,Nguzo Pamoja na Mita hivi sasa Wafanyakazi wa Tenesco wako kazini, Wateja watafungiwa umeme kutokana na jinsi walivyo wahi kulipia
No comments:
Post a Comment