Gari la Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma likiwa lime kwama katika eneo la Litembo,Hivyo ndivyo ilivyo miundo mbinu ya barabara Maeneo ya vijijini
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Saidi Thabiti Mwambugu akitembea kwa Mguu baada ya Gari lake kukwama na kubuni jinsi ya kulikwamua Gari Hilo
Barabara Hii iko Chini ya Tan roads lakini wakati wa Masika huji funga na kusasa bisha akina mama wanao tegemea Hospitali ya Misheni Litembo kupoteza Maisha wakati waki safirishwa kwenda Hospitali
Mkuu wa Wilaya ya Mbinga Senyi Ngaga akibadilishana mawazo na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Saidi Thabit Mwambungu akijadiliana kuhusu kuboresha miundo mbinu ya Barabara za Vijijini
Gari la POLICE Mbinga likiwa lime kwama maeneo ya Mlima Mbuji Litembo
Ndugu msomaji wa Blog hii siyo kuwa Gari lililo kwama ni la Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma tu hata la Mkuu wa Wilaya nalo lilikwa hebu ona Timbili hizo Tan road wapo lakini hakuna kinacho eleweka
Wandishi wa Habari wakiende kuchukua habari kuhusu mindo mbinu mibovu ya Barabara
Meneja wa Tanroad Abrahamu Kishimbo akiishanga Barabara Baada ya Magari ya Mkuu wa Wilaya ya Mbinga na Mkuu wa Mko wa Ruvuma kukwama
Usje ukafikiri tuna cheza Mchezo wa Kombolela la hiyo ni hali halisi ya Madaraja ya Mpakani Mwa Musumbiji na Tanzania jionee Mwenyewe Hapo kuna usalama kimindo mbinu,Zaidi ya Shilingi milioni 400.000.000 zimetumika kujenga Madaraja 8 lakini ya kiwa katika kiwango cha chini kwa mujibu wa Tarifa za Mkuu wa wilaya ya Nyasa Erenest Kahindi
Daraja hili lipo kilometa moja kufika Msumbiji sasa limesombwa na Maji lime kata mawasiliano na Majirani wa Msumbiji hata Huduma za Afya zinazo tegemewa kupatikana zinazo wasaidia Majirani wetu zime katika. Siyo hilo tu Hata wanafunzi wa Shule za Sekondari na Shule ya Msingi maji ya kijaa wana shindwa kuvuka
No comments:
Post a Comment