Kutokana na mvua zinazo endelea mkoani Ruvuma Zinaweza kuathiri wafanya biashara ambao Mahindi yao hayaja nunuliwa na kitengo cha hifadhi ya chakula Ruvuma huku yakiwa yamekosa maturubai ya kufunika Mahindi hayo ,Jee yatakapo nunuliwa yakiwa yamelowa hasara ni kwanani , Nikosa la Mfanya biashara au Kitengo cha hifadhi kuchelewa kununua Mahindi Hayo
Mahindi yanayo onekana hapo juu ni yawafanya biashara ambayo hayaja nunuliwa na kitengo cha hifadhi ya chakula Ruvuma yakiwa ya nalowa huku kukiwa na Bwawa kubwa eneo lililo wekwa Mahindi katika uwanja wa Zimani moto Songea
Mahindi yaliyo nunuliwa na Hifadhi ya Chakula Mkoa wa Ruvuma yakiwa kwenye bwawa la Maji ingawa yamefunikwa vizuri, Hiyo ni kutokana na ukosefu ya maghala ya kuhifadhia Mahindi mkoa wa Ruvuma kuelemewa
No comments:
Post a Comment