Masikini mtoto mdogo mwenye umuri wa miaka mitatu akiwa amelala chumba cha kuhifadhia maiti baada ya mama yake mzazi akishirikiana na hawara yake ambao wana tuhumiwa kumua mtoto huyo ili asiwabuguzi wawapo kitandani. na baada ya mauaji hayo waliahidi kuoana.Ndugu msomaji wa Blog hii hebu angalia watu walivyo hawana huruma akina mama,akina baba, wazee wetu utamaduni wa Mwafirika Mmeuweka wapi ?
KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo
UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuesday, May 29, 2012
SHETANI GANI AMEINGIA KATIKA KARINE HII ?
Masikini mtoto mdogo mwenye umuri wa miaka mitatu akiwa amelala chumba cha kuhifadhia maiti baada ya mama yake mzazi akishirikiana na hawara yake ambao wana tuhumiwa kumua mtoto huyo ili asiwabuguzi wawapo kitandani. na baada ya mauaji hayo waliahidi kuoana.Ndugu msomaji wa Blog hii hebu angalia watu walivyo hawana huruma akina mama,akina baba, wazee wetu utamaduni wa Mwafirika Mmeuweka wapi ?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Jamani yaani mama mzazi kabisa kabeba mimba miezi sita na kisha kumzaa mtoto wake na leo anamnyonga bila hata huruma kwa kutaka kuolewa. Je huyo atakayeoana naye hatazaa naye? Malaika kama huyo jamani. Huyu mama lazima atakuwa na shida katika ubongo wake.Nikiwa kama mama imeniuma sana.
ReplyDeleteinasikitisha sana jamani tuweni na utu sasa wapo wanaolilia watoto alafu nyie mnawaua imeniuma sana
ReplyDelete