
Waziri mkuu wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzani Mizengo Kayanza Pinda amewataka Watanzania wanao ishi Mpakani na Malawi kuwa watulivu ,Kwani wao ni ndugu siasa haziwezi kutenganisha undugu ,Mvumilivu hula mbivu. Picha ya hapo juu ni Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzani Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Rais wa Malawi Joece Banda wakiwa katika tabasamu la nguvu kunyesha upendo uliopo kati ya Tanzania na Malawi
No comments:
Post a Comment