Waziri
Mkuu wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania
Mizengo Kayanza Pinda ameitaka Idara ya Uhamiaji kuwa macho na wahamiaji haramu
wanao ingia nchini kwa njia ya kusafirishwa kwenye mabokis.
Mheshimiwa
kayanza panda ameya sema hayo wakati akiweka jiwe la msingi la jengo la Ofisi
ya Uhamiaji Mkoani Ruvuma jengo linalo
kadiriwa mpaka kumalizika kugharimu shilingi milioni 712,111,068/=
Waziri Mkuu Mizengo Kayanza Pinda akikagua jengo la Uhamiaji
lilioko katika kata ya Mahenge Manspaa ya Songea
Waziri Mkuu Mizengo Kayanza Pinda akipokea Tarifa kutoka kwa kamishimishana wa Uhamiaji wa Utawala na fedha Taifa Piniel Mgonja
Kamishana
wa Uhamiaji wa Utawala na fedha Taifa Piniel Mgonja amesema mafanikio ya
ujenzi kwa ofisi za uhamiaji umetokana na gawio linalo tolewa na serekari hivyo
kutokana na punguzo kutoka asilimia 61% hadi asilimia41 % lita asili kasi
ya miradi ya ujenzi ameiomba serekari kuendelea kutoa gawio kwa asilimia hiyo
ya zamani ya asilimia 61% au zaidi ili kila mpaka wa nchi yetu uwe na ofisi
bora
No comments:
Post a Comment