KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Thursday, November 28, 2013

MKUTANO WA ASASI ZA KIRAIA ZIKIJADILI JINSI YA KUJENGA MUAFAKA WA MASWALA TATA KATIKA MAUDHUI NA MCHAKATO WA KATIBA

washiriki wakisikiliza mambo mapya kuhusu jinsia imebaionika kuwa asilimia kubwa katika watu wanao pata changamoto ni wanaume, lakini mara nyingi wanaume waona aqibu kuwa wana nyanyaswa na wake zao.jingine ni kuhusu katiba itoe mwanya wakuifanya mimba ionekaqne ni kiumbe haqi
 Mwezeshaji mama Gemma Akilimali akitoa mada kuhusu jinsia katika mchato wa katiba na kuitaka katiba ieleze wazi ubakaji katika ndoa nakudai watoto wa mitaani huongezeka kutokana na ubakaji katika ndoa, pia mtoto anapo zaliwa huwa hana akili timam kutokana na mama kuasilika baada ya kubakwa katika ndoa ,
 Washiriki katika Ukumbi waMay Fair Hoteli Jijini Dar-es- salaam wakiwa katika mjadala wa maswala ya Maudhui ya Mchakato wa Katiba
 Washiriki kutoka mikoa mbalimbali Tanzania wakiwa wana sikiliza kwa makini wakati mama Akilimali akielezea kuhusu Maswala ya Kijinsia
 Washiriki wa Mkutano wa Kujadili kuhusu maswala ya jinsi mchakato wa katiba unavyo endeshwa haraka haraka na wananchi kukosa kile wanacho kihitaji
 Mshiriki katika madhui ya Mchakato wa Katiba akitafakali jinsi Rasimu ya Katiba Jee ina wajali Makundi yote
Wajumbe kutoka Zanzibar wakiwa katika ukumbi May Fair Hotel kujadili Maudhui ya Mchakato wakatiba
Mtunza kumbumbu akiperuzi nyaraka mbali mbali  ili kuufanya mkutano wa kujadili maudhui ya Mchakato wa katiba ili kila kilicho changiwa kina ratibiwa
Mwezeshaji wa Mkutano wa kujadili Maudhui wa Mchakato wa katiba mama Akilimali akizianda dondoo za kijinsia

Tuesday, November 26, 2013

NCHI ZA AFIRIKA NA UTENGAMANO KATIKA KULETA MAENDELEO KWA NCHI ZAO

Porofesa Arine Makanze akitoa mada kuhusu maendeleo ya nchi za Africa Mashariki kuhusu wa Maendeleo ,Akibaini kuwa Nchi za Afirica zina takiwa kukimbia ili kuya fikia Maendeleo
 Mkuu wa wilaya ya Arusha John Mwongara akifungua Mkutano wajibu wa Asasi katika kuimarisha mtengamano wa Jumuiya za Afica Mashariki na ya Kati, Amezitaka Nchi hizo kuwa na Umoja Mshikamano na Upendo wa Dhati katika kuleta Maendeleo kwa Nchi zao
 Wajumbe mbali mbali wakiwa katika ukumbi wa AICC Arusha wakijadili mkabala wa kuyweza kuimarisha mtengamano wakuwezesha kuleta maendeleo katika Afirika Mashariki
 Mjumbe kutoka Mkoa Ruvuma Isaca Msigwa akiwa katika ukumbi wa  AICC Arusha katika mkutano wa utengamano wa Nchi za Africa Mashari Burundi Rwanda Tanzania na Kenya
 Mjumbe kutoka Mkoa wa Ruvuma Adamu Nindi akiwa na Jamii  ya Wafugaji Wanawake katika ukumbi wa kimataifa AICC Arusha
 Mjumbe kutoka Mkoa wa Ruvuma Adamu Nindi akiwa na jamii ya wafugaji Jijini Arusha kuhudhulia Mkutano wa Jinsi ya Kuzifanya Nchi za Africa Mashariki kusonga mbele kiuchumi na usalama wa nanchi wakewa
r
 Wajumbe katika ukumbi waAICC wakimusikiliza Mkuu wa Wilaya ya Arusha John Mongela Mkutano ulio jumuisha nchi za Africa
Mjumbe kutoka The Foundation Loitare akibadilishana mawazo na washiriki katika ukumbi wa AICC Arusha

Saturday, November 23, 2013

MATOKEO MAKUBWA SASA KIELIMU KATIKA SHULE YA SEKONDARI ELULI SONGEA

Mwalimu Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Eluli Vinicent Lukila akitoa utambulisho kwa wageni walio hudhulia Mafali ya Kwanza  ya Shule hiyo Kutoka Kushoto ni Mama Mwanga na wa Pili kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Shule ya Sekondari ya Eluli Dr. Wilfrerd Mwanga na watatu ni Mheshimiwa Diwani wa Kata ya Mshangano Ndugu Mhagama
Mwalimu Mkuu wa Shule ya Sekondari Eluli Vinicent Lukila akiwa na Diwani wa Mshangano Mh. Mhagama na anaye fuiatia ni mkurugenzi wa Shule ya Sekondary Eluli Dr ,Alfrerd Mwanga na mama aliye vaa suti Nyeupe ni Mama Mwanga.

Shule ya Sekondari ya Eluli iko kilometa sita kutoka Songea Mjini upande wa mashariki ipo katika Mtaa wa  Namanyigu kata ya mshangano wilaya ya songea mkoani Ruvuma. Mpaka sasa shule ina wanafunzi 50 hata hivyo imeweza kuonyesha maajabu katika matokeo ya moko imekuwa ya kumi kimkoa kati ya shule 35 za manspaa ya songea
Kwamara ya kwanza shule ya Sekondari ya Eluli iliyoko manspaa ya songea imeweza kufanya maafali ya kwanza kwakuweza kuwaaga wanafunzi 10 walio hitimu kidato cha Nne kama wanavyo onekana katika picha
kikundi cha Adam wa Pili kikitumbuiza nyimbo za Dini katika Maafali ya Kwa Kwanza katika sekondary ya Eluli
Wanafunzi katika shule ya sekondari ya Eluli manspaa ya Songea wakiwa katika maafali ya kwanza wakiwaaga wenzao walio weza kuhitimu masomo ya kidato cha Nne
Wahitimu wa kidato cha Nne wakiwa na furaha baada ya kuvishwa Mataji na kupewa vyeti vya kuhitimu kidato cha Nne

Thursday, November 21, 2013

NAIBU WAZIRI WA MAENDELEO YA JAMII JINSIA NA WATOTO AMEZITA ASASI KUENDEZA JINSI YA KUWA KWAMUA WANANCHI WALIOKO VIJIJINI

 Naibu waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto Ummi Mwalimu akiwa na Mkurugenzi mtendaji wa The Foundation John Ulanga katika gha fupi ya kuzitunukia Asasi zilizo fanya vizuri
 Mkurugenzi mtendaji wa The Foundation John Ulanga akibadilishana mawazo na Raia wa The Foundation
 Mkurugenzi Mtendaji wa The Foundation John Ulanga akieleza kwa ufupi fedha zilizo tumika katika kuleta maendeleo .amesema zaidi ya shilingi bilioni 60 zime tumika kwa nyanja mbalimbali
washiriki kutoka Mkoa wa Ruvuma wakiwa katika ukumbi wa Ubungo Plaza wakisikiliza mafanikio mbalimbali yaliyo patikana katika kumwwondolea umasikini mwananchi nchini Tanzania

Tuesday, November 19, 2013

TMF KUJENGA UWEZO WA WAANDISHI WA HABARI WA MITANDAO (BLOGGERS) KUTOKA MIKOANI NAMNA YA KURIPOTI HABARI ZA UCHUNGUZI

 Kutoka kulia Meza ya mbele ni Leader Mentor wa Mafunzo Mahiri na ya aina yake Bw. Beda Msimbe anayefuatia ni Bw. Japhet Sanga kutoka TMF wanaoendesha Mafunzo ya kujengea uwezo wa waandishi wa Habari wa Blogu kutoka Pembezoni na wa tatu ni Mkufunzi wa Mafunzo hayo Bw. Saimon Mkina wakifafanua kwa waandishi wa Mafunzo yanayoendelea Dodoma Hotel Ukumbi wa Mvumi kuwapika waandishi kujikita na Maadili katika kazi yao.
 Baadhi ya Waandishi wa Habari wanaoendelea na Mafunzo ya Uandishi wa Habari za Uchunguzi Mitandaoni (Blogging) wakifuatilia kwa makini mbinu na namna ya kupambana na changamoto za kiuandishi kwa kuzingatia misingi ya uandishi.
 Aliyesimama ni mwandishi wa Iringa Fransince Godwin akishirikisha uzoefu wa kazi ya uandishi wa Blog na faida zake na matatizo yanayopatikana katika uandishi. Akisistiza kuwa cha muhimu ili kuwa mwandishi bora ufahamu namna ya kukwepa matatizo kwa kutumia ushahidi na uhakika katika habari yako kabla ya kuituma
 Afisa wa TMF Bw. Japhet Sanga akiwatoa hofu waandishi na kuwasisitiza fursa zipo nyingi TMF ni juu ya Waandishi kuzingatia matakwa ya uandishi kwa kufanya kazi kadiri ya Matakwa yao na kuwa milango iko wazi kwa Ufadhili wanaoupata ajili ya kuwajengea uwezo waandishi jinsi ya kuripoti habari zinazosaidia Jamii na kutatua Matatizo yanayowakabili ili ifikea wakati waandishi waachane na habari za uchochezi au zinazoleta migogoro na kutothamini utu na haki za binadamu.
 Waandishi wa Blog wakifuatilia kwa makini Mafunzo baada ya kugundua yanawagusa na yana umuhimu mkubwa katika kazi yao katika kujiweka salama na ulinzi wa kazi wanazozifanya, aliyesimama ni Mwandishi wa Blog kutoka Ruvuma akichangia mada juu ya changamoto zinazowapata waandishi unapofuatilia habari za uchunguzi hasa zinazogusa kuonyesha uhalisia na hali ukieleza uhalisia unakiuka maadili ya kutomtendea haki mlengwa.
Mwandishi kutoka Dodoma akichangia katika Mafunzo ambayo kiukweli yana umuhimu na kuamsha hamasa kubwa ya waandishi kuhitaji kujifunza zaidi kwa umuhimu wake kutokana na namna wanavyowezesha wakufunzi mahiri waliobobea Bw. Beda Msimbe na Saimon Mkina.

Tuesday, November 12, 2013

TAMASHA LA KUMI NA MOJA LA ASASI ZA KIRAIA NCHINI TANZANIA CHINI YA UFADHILI WA FOUNDATION KUANZIA TAREHE 13 - 15 MWEZI WA 11 2013/11/2013

 Washiriki wa Tamashasha la AZAKI Tanzania wakiwaki katika Majadiliano ya pamoja kujadili Mafanikio na Matarajio ya kazi za AZZAKI Miaka 10 iliyopita 2003 - 2013
Wajumbe wa AZAKI kutoka Tanga wakiwa katika kujadili Tathmini ya Miaka 10 ya kujenga uwezo wa Asasi za Kiraia Tanzania katika Ukumbi wa Ubungo Plaza.
Wajumbe wawakilishi wa mitandao ya Asasi zisizo za Kiserikali Tanzania wakiwa Ukumbini UBUNGO PLAZA kusherekea Mafanikio ya Miaka 10 ya Kazi za FOUNDATION wanaoonekana watatu kulia ni wajumbe toka Mkoa wa Ruvuma.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Gharib Bilal akikagua Mabanda ya Chama cha Walemavu walioshiriki katika Tmaasha la 11 la Asasi za Kiraia Tanzania
Washiriki kutoka Pemba Zanzibar walio kuja katika Tamasha la Miaka 10 toka ilipo anzishwa The Foundation hapo  wana pata Chakula katika Ukumbi wa Blue  jijini Dar -es - salaam
Washiriki katika Tamasha la The Foundation katika ukumbi wa Blue Pearl  wa kijadili jinsi ya kuweza kuinua elimu katika Tanzania
Washiriki katika Tamasha la 11 lililo fadhiliwa na The Foundation wakajadili jinsi ya kuweza kuinua kiwango cha Elimu Nchini Tanzania
Mjumbe kutoka Zanzibar Akitoa Tarifa jinsi alivyo fanikiwa kuanzisha Madrasa ambapo alianza na
Madrasa 6 hadi kufikia madrasa 32
 Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Mh. Dr Mohamed Ghalib Bilali akiwa kukagua Mabanda wakati wa Tamasha miaka 11 ya Foundation
Makamu wa Rais Wajamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dr Mohamed Ghalib Bilali akiendelea kukagua Mabanda katika ukumbi wa Blue Pearl Hotell &Apartments
 Wa kwanza kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Foundion for Civil Society John Ulanga akibadilishana mawazo na wajumbe wa Foundation wa kati ni Bw. Visent na wa mwisho kushoto ni Batholomayo Mbilinyi ndani ya Ukumbi wa Blue Pearl (Ubungo Plaza)  Jijini Dar es salaam
H
 Baadhi ya wajumbe kutoka Mikoa mbalimbali walioshiriki Tamasha la Asasi za Kiraia kusherekia miaka kumi na Moja ya kujengea uwezo Asasi za Kiraia. Wa pili kulia ni Mjumbe kutoka Tanga wa shirika la TANGO Bw. Zaa Nyingi Twalangeti.
 Wajumbe wa Asasi za Kiraia kutoka Mikoa ya Tanzania Bara na Visiwani wakiwa katika ukumbi wa Blue Pearl kusherekea Miaka kumi na moja  ya kujenga uwezo wa Asasi za Kiraia Jijini Dar es Salaam
 Wajumbe wakiwa Ukumbini Blue Pearl (Ubungo Plaza) kufuatilia mafanikio ya Miaka kumi na moja ya Asasi za Kiraia. Kutoka kulia wa kwanza ni Dr. George Kiama anayefuata ni Burhani Yakub Mratibu wa TARUJA na mwandishi wa Gazeti la Mwananchi kutoka Tanza anayefuata ni Makamu Mwenyekiti wa RUNECISO na Mwandishi wa Blog hii pia anaandikia  Star TV na RFA Songea , wanaofuatia katikati Wajumbe kutoka Mkoa wa Ruvuma.
Wajumbe kutoka Mkoa wa Ruvuma wa kwanza kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa Ruvuma Network Of Civil Society (RUNECISO) Bw. Adam Nindi wakiwa katika Tamasha la Miaka Kumi na moja
Bwana Beda Msimbe akiwa na wageni wake kutoka Ruvuma wa kwana kulia Benad Lwena kutoka wilaya ya mbinga, wapili ni Ifigenia Mbawala na aliye shika begi ni Adamu Nindi

HABARI ZA HUZUNI ZA KUMPOTEZA MWANA HARAKATI WA MCHAKATO WA KATIBA MPYA NCHINI TANZANIA




BREAKING NEWS: DKT. MVUNGI AAGA DUNIA - Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba aliyekuwa akipatiwa matibabu nchini Afrika Kusini amefariki dunia. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu wa T...
8 hours ago