Wajumbe wa AZAKI kutoka Tanga wakiwa katika kujadili Tathmini ya Miaka 10 ya kujenga uwezo wa Asasi za Kiraia Tanzania katika Ukumbi wa Ubungo Plaza. |
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Gharib Bilal akikagua Mabanda ya Chama cha Walemavu walioshiriki katika Tmaasha la 11 la Asasi za Kiraia Tanzania |
Washiriki kutoka Pemba Zanzibar walio kuja katika Tamasha la Miaka 10 toka ilipo anzishwa The Foundation hapo wana pata Chakula katika Ukumbi wa Blue jijini Dar -es - salaam |
Washiriki katika Tamasha la 11 lililo fadhiliwa na The Foundation wakajadili jinsi ya kuweza kuinua kiwango cha Elimu Nchini Tanzania
Mjumbe kutoka Zanzibar Akitoa Tarifa jinsi alivyo fanikiwa kuanzisha Madrasa ambapo alianza na |
Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Mh. Dr Mohamed Ghalib Bilali akiwa kukagua Mabanda wakati wa Tamasha miaka 11 ya Foundation
Makamu wa Rais Wajamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dr Mohamed Ghalib Bilali akiendelea kukagua Mabanda katika ukumbi wa Blue Pearl Hotell &Apartments |
Baadhi ya wajumbe kutoka Mikoa mbalimbali walioshiriki Tamasha la Asasi za Kiraia kusherekia miaka kumi na Moja ya kujengea uwezo Asasi za Kiraia. Wa pili kulia ni Mjumbe kutoka Tanga wa shirika la TANGO Bw. Zaa Nyingi Twalangeti.
Wajumbe wa Asasi za Kiraia kutoka Mikoa ya Tanzania Bara na Visiwani wakiwa katika ukumbi wa Blue Pearl kusherekea Miaka kumi na moja ya kujenga uwezo wa Asasi za Kiraia Jijini Dar es Salaam
Wajumbe wakiwa Ukumbini Blue Pearl (Ubungo Plaza) kufuatilia mafanikio ya Miaka kumi na moja ya Asasi za Kiraia. Kutoka kulia wa kwanza ni Dr. George Kiama anayefuata ni Burhani Yakub Mratibu wa TARUJA na mwandishi wa Gazeti la Mwananchi kutoka Tanza anayefuata ni Makamu Mwenyekiti wa RUNECISO na Mwandishi wa Blog hii pia anaandikia Star TV na RFA Songea , wanaofuatia katikati Wajumbe kutoka Mkoa wa Ruvuma.
Wajumbe kutoka Mkoa wa Ruvuma wa kwanza kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa Ruvuma Network Of Civil Society (RUNECISO) Bw. Adam Nindi wakiwa katika Tamasha la Miaka Kumi na moja
Bwana Beda Msimbe akiwa na wageni wake kutoka Ruvuma wa kwana kulia Benad Lwena kutoka wilaya ya mbinga, wapili ni Ifigenia Mbawala na aliye shika begi ni Adamu Nindi |
No comments:
Post a Comment