Wananchi hao ambao walikuwa wakieleza jinsi jinsi Dawa za
Tiba mbadala zinazoweza kusaidiana na Dawa za Kisasa, ambazo zinaonyesha ktibu
magonjwa sugu ambayo yanasumbua jamii, kama
kisukari.
Wananchi Mkoani Ruvuma wameishukuru Serikali kwa kuruhusu Tiba Mbadala na kuweza kudhibiti Matumizi ya Dawa Mbadala na kuhakikisha haiwadhuru Wananchi.
wagonjwa mbalimbali kutoka mikoa tofauti wakienda kwenye tiba mbadala kwa Simwala Hebu Kilinic Bombambili
Hao nibaadhi ya watu walio sumbuliwa muda mrefu na magonjwa yasiyo tibika hapo wapo nafuu
kama weweni mgeni ukifika Songea nenda kata ya bombambili uliza makaburi ya Mkeso ukifika hapo uta ona kibao kama ilivyo andikwa hapo juu
hiyo ni foleni ya muda wote watu wakitaka kupewa dawa ili wapone baada ya kusumbuka miaka kadha
Akina mama wakipeana uzoefu jinsi walivyo weza kupata nafuu baada ya kutumia dawa za simwala kiliniki
akina mama wakiwa foleni kutibiwa katika kiliniki ya simwala bombambili songea
Akina mama wakiwa kiliniki Simwala kujiangalia mmagonjwa aliyo shindikana hospitalini |