Mgeni Rasimi katika Mafali hayo Mbunge wa Jimbo la Songea
Emanuel John Nchimbi amesema moja ya kero inayo wakabili wana funzi wengi
katika shule za secondary ni walimu wa sayansi serekari ina fanya kila wawezalo
ili kuhakikisha walimu wa sayansi wanatosheleza.
Mwalimu Mkuu wa Secpndary ya Wavulana Songea Mr sweke sweke ameya sema hayo katika
Maafafali ya kidato cha nne wakati wakuhitimu watoto 72 badalaya ya wanafunzi
85 walio anza ,amesema lengo la wanasiasa ni kutumia daraja la wanafunzi katika
kuingia katika madarka ni juu ya wanafunzi kuepuka na maswala ya kisiasa
Wanafunzi wa Shule ya Secondary ya Wavulana Songea wa kiwakilishwa na mlemavu Ezekia Juma ambao ni walemavu wa Macho wapatao wameiomba
serekari vifaa kwaajili ya walemavu wa macho ikiwemo mashine ya kuandikia
vitabu mbalimbali vya nundu pamoja na
kuwaongezea walimu rasimi wawalemavu, Katika hilo Mbunge wajimbo la Songea
Emanueli John Nchimbi ameahidi kumusomesha mwalimu mmoja kwa ajili ya Walemavu
Wanafunzi walemavu katika Shule ya Secondary ya Wavulana Songea
Mwalimu Mkuu wa Shule ya Secondari ya Wavulana Songea Sweke Sweke amewataka wanafunzi kuacha kutumia
na wana siasa kwani kufanya hivyo ni kujiharibia maisha yao ya baadaye baasda ya kuzingatia masomo
watajikuta wakiimba siasa.
Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wavulana Songea wakifanya Sarakasi wakati wa Maafali
Mgeni Rasimi katika Mafali hayo Mbunge wa Jimbo la Songea
Emanuel John Nchimbi amesema moja ya kero inayo wakabili wana funzi wengi
katika shule za secondary ni walimu wa sayansi serekari ina fanya kila wawezalo
ili kuhakikisha walimu wa sayansi wanatosheleza.
Mbunge wa Jimbo la Songea Emanueli John Nchimbi pamoja na
kuahidi swala la walimu wa sayansi ameahidi pia kuleta gari kwa ajili ya Shule
ya Sekondary ya wavulana Songea kwa haraka ili gali mhilo liweze kusaidia usafiri
kwa wagonjwa na shuguli zingine.
Meya wa Manispaa ya Songea Chares Mhagama akiwa na Mgeni Rasimi Katika Maafali ya Shule ya Sekondary ya Wavulana SongeaWanafunzi wa Shule ya Sekondary ya Wavulana Songea Wakisikiliza Hotuba ya Mgeni Rasimi Mbunge wa Jimbo la Songea Emanuel John Nchimbi
Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wavulana Songea wakifanya Sarakasi wakati wa Maafali
Wazazi wakiwa na Watoto wao katika maafali wanafunzi 72 walihitimu Masomo kidato cha Nne
Wanafunzi wakiwa na Vyeti vya kuhitimu baada ya kupewa na Mgeni Rasimi Dr Emanuel John Nchimbi
Watoto napo Hupenda Kushiliki katika mafanikio ya Kaka zao wanapoi fikia mafanikio ya kumaliza kidato cha Nne
No comments:
Post a Comment