Wajumbe mbalimbali wakiwasili katika ukumbi wa mbayuwayu Arusha tayari kwa kushiriki Tamasha la Mtangamano wa Africa Masriki
Wajumbe mbalimbali wakiwa katika ukumbi wa Mbayuwayu AICC Arusha kushiriki mkutano wa Mtengamano wa Nchi za Afirika Mashariki
Washiriki wakiwa makini kusikiliza mawakilisho mbalimbali kuhusu namuna ya kuweza kuondokana na umasikini kwa wananchi wa Afrika Mashariki
Tamasha la Mtangamano halikutenga makundi malumu hapo mwakilishi wa Alibino akisikiliza mchango kutoka Burundi kuhusu biashara kati ya wananchi wachini
Ndugu Zaa wa Tango akiwa mmoja wawashiriki kutoka shirika la TANGO Dar es salaam aliye vaa shati jeupe
Mambo hubadilika kila kunapo kucha watalamu huvumbua mambo unaouona ni mtambo wa kuchukulia kamerapicha au stendi ya kamera mbele ya mtambo huo kumefungwa
Mambo wa Kamera katika ukumbi wa Mbayuwayu AICC Arusha
Waendesha Tamasha wakiwa makini kuendesha mjadali
Mwakilishi wa Mkoa wa Ruvuma Adamu Mzuza Nindi akiwa ukumbi wa AICC Arusha kushiriki mkutano wa Afirika Mashariki na kueleza kuhusu swala la ukandamizaji wa wakulima kwa kukosa soko la mazao yao kama Mahindi na Mazao Mengine yaliyo kosa Soko
Mgeni rasimi Dr Josaphat Kweka akiwa na Mkurugenzi wa The Foundation ndugu John Ulanga
Washiriki kutoka Nchi tano za Uganda, Kenya, Burundi, Rwanda,na Tanzania
Rose Mary ni mfanyabishara mkubwa na msomi akijitayarisha kutoa mada ya uchumi
Washiriki kutoka kenya na uganda wakiwa makini kufuatilia majadiliano
katika Mtangamano wa Afrika mashariki walemavu hawakuachwa nyuma nao waliweza kushiriki
Mwakiishi kutoka mkoa wa Ruvuma kutoka PAD Isaca Msigwa akiwa mmoja wa msiriki katika Mtangamano wa Afrika Mashariki
Wajumbe kutoka nchi za Burundi ,Rwanda,Uganda
No comments:
Post a Comment