Wazee walioko mkoa wa Ruvuma wapatao 10,000 wanatarajia
kunufaika na huduma za afya baada ya Halimashauri 5 za mkoa wa Ruvuma kutenga kiasi cha shilling milioni 100,501,000/=
Wajumbe Mbalimbali kutoka idara ya Ustawi wa Jamii wakiwakilisha
tarifa katika Mkutano ulio andaliwa na PAD Shirika linalo hudumia wazee lilioko
Mkoa wa Ruvuma wamekieleza kikao hicho juhudi
zinazo fanywa ili kuwahudumia wazee na wategemezi wawazee.
Mganga Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Daniel Malekela akitoa agizo kwa waganga wa wilaya za Mkoa wa Ruvuma juu ya Kutumia Mifuko ya Fedha ili kuwa hudumia Wazee
Mkurugenzi Msingwa amesema swala lililo saidia kupunguza
vitendp vya ukatili dhidi ya wazee ni baada ya kuunda Mabaraza ya wazee pamoja
na kutoa Elimu kupitia tasisi za serekari na watu binafisi,Hivi sasa wazee
wanatibiwa bila kunyanya paliwa
Mkurugenzi wa PAD[ Shirika linalo Hudumia Wazee Tanzani ]
Issaca Msigwa amesema shirika la PAD limefanikiwa kupunguza vitendo vya ukatili
upande wawazee ambapo hapo awali kila wakati wazee wenye macho mekundu au
kuhisiwa kwa imani za ushirikina walikuwa wakiuwawa mfano mmoja wapo ni wazee
wa kijiji cha magagula ambao walichomwa moto
Wajumbe kutoka halimashari 5 za mkoa wa Ruvuma wakijadili kwa kina kuhusu swala la wazee na upataji huduma za Afya
Wajumbe walio hudhuria kikao kilicho jumusha halimashauri 5
za mkoa wa Ruvuma wameadhimia kuwa kila
halimashauri nilazima iandae vitambulisho vya matibabu kwa wazee,pia kila
Halimashauri iwe na idadi kamili ya wazee pamoja na wanao wategemea il kuepusha
wanao timia mika 18 wasiwe tegemezi kwa wazee walkio pata msamaha wa matibabu
Maratibu wa Wazee kutoka Manispaa ya Songea Ngelangela akisikiliza kwa makini swala la Manspaa ya Songea lilipo kuwa likiwakilshwa na kunukuru kero za wazee
Kikao hicho kili toa Changamoto zinazo wakabili wazee,
Mashirika ya dini kukosha huduma kwa wazee kwa kuto tambua vitambulishowalivyo
pewa,Wazee kukosa wawakilishi katika ngazi mbalimbali zinazo toa Maamuzi,Wazee
kukosa Madisha Malumu kama ilivyo fanya Wilaya
ya Magu Mkoani Mwanza.Kikao kimeagiza kufanyike ziara ya mafunzo kwa kutembelea
Magu,Mbalali, Simiyu
Mfanyakazi waq PAD akiwa katika kikao kujua vipi wilaya zina fanya kazi maeneo mbambali ya Mkoa wa Ruvuma
Dakitari kutoka Halimashauri ya Wilaya akisikiliza kwa makini hoja zinazo tolewa zinazo husu Hosipitali za Mkoa wa Ruvuma |
Wajumbe wa kikao wakiwa ukumbini
Afisa usitawi wa Jamii kutoka Tunduru Blandina Sekela akijieleza jinsi wanavyo hudumia wazee Tunduru
AQfisa ustawi wa jamii Suzana Mkondaya akieleza jinsi wazee wa halimashauri ya wilaya Songea Vijijini wanavyo faidi huduma
No comments:
Post a Comment