Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Kanda ya Songea Mh
Mwanaisha Kwariko amewataka Watumishi wa Mahakama Mkoani Ruvuma
kuwa na Moyo wa Huruma kwa Wanafunzi wa Shule pale wanapoomba msaada wa
Usafiri.
Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Kanda ya Songea
Mwanaisha Kwariko ameyasema hayo wakati wa
kuzindua na kuyakabidhi Magari matano aina ya Toyota Double Kibin Picup
na Basi aina ya Tata kwa ajili ya kurahisisha Utendaji wa shughuli za Mahakama.
Karani Mhutasi Bingwa wa Mafaili na Mtendaji Mzuri kwa Wateja ni Mtendaji ambaye hana Makuu Hongera Mama Karani wa Mahakama ya Kanda ya Mahakama kuu ya Songea akiwa na Mama Fussi Mkongwe wa kazi za Ukarani za Mahakama
Wafanyakazi wa Mahakama wakingoja maelekezo baada ya kupata usafiri wa Basi
Magari yaliyo kabidhiwa kwa Mahakama kuu ya Songea yakiwa eneo la Maegesho
Sherehe za Kukabidhi Magari hayo 5 Madogo na basi moja
zimehudhuriwa na Mawakili na Wadau wa
Mahakama wakiwemo Viongozi wa PCB, Magereza, police na Wazee wa Mahakama.
Madereva na Wahudumu wa Mahakama ya Wilaya.Mkoa na Mahakama kuu ya Kanda ya SongeaMadereva wa Mahaka kuu ya Kanda ya Songea wakibadilishana Mawazo juu ya Utunzaji magari Mapya waliyo Pewa
Wadau mbalimbali wakiwa katika viwanja vya Mahakama kuu ya Kanda ya Songea kuhudhuria Makabidhiano ya Magari sita
Mama Fussi na Mama Chale wakifurahia usafiri wa Basi na kuona wapepunguziwa matumizi ya Yebo yebo wanacho ngoja ni Ratiba ya Usafiri
Kamanda wa Police Mkoa wa Ruvuma Mihayo Msekhela akiwa na Afisa Uhamiaji wakibadilishana mawazo kuhusu sheria,
Madereva wa Mahakama Kuu ya Kanda ya Songea wakiwa na Furaha kuona wamepata vitendea kazi gari unalo liona ni Basi la wafanyakazi wa Mahakama kuu ya Kanda ya Songea
Baba yuko na Harakati za Kufanikisha sherehe hebu onna alivyo na Majukumu
Kibao hiki cha mahakama Kuu ya Kanda ya Songea kina kukumbusha kuwa mizani unayo iona ni dalili ya haki ikielemea kwako umeenda na maji ikielemea upande waq serekari basi kesi ume shinda, Zingatia umuhimu wa mizani ufikapo mahakamani
Jaji Mkuu wa Kanda ya Songea hutegemea ulinzi kutoka jeshi la Police WP Unaye mwona ni Mlinzi wa Jaji wa Kanda ya Songea
Kabla ya uzinduzi Jaji alikaa kuangalia jinsi ya kuweza kuya tumia Magari yaliyo tolewa ili ya tumike kuleta haki kwa wananchi
Mh Jaji a wa kanda ya songea
amewaomba Madsereva kuyaweka katika hali
ya safi magari hayo .jaji Mfawidhi wa Mahakama kuu ya Kanda ya Songea Mwanaisha
Kwariko amewaomba pia madereva pale
wanapo wakuta wanafunzi wa shule za
msingi kuwa saidia na siyo abiria
wengine.
Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu
Kanda ya Songea Mwaisha Kwariko amesema nia ya Mahakama kutoa Gari hizo ni
kuzirahisisha kazi za Mahakama kuweza kutoa Haki kwa haraka kwa Wananchi na
kupungza changamoto ya Usafiri kwa Wafanya Kazi.
Kamanda wa Police Mkoa wa Ruvuma Mihayo Msekhela akiwa na Afisa Uhamiaji Mkoa wa Ruvuma Msajiri na Mheshimiwa Jaji
Mheshimiwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Kanda ya Songea akifungua Rasimi Sherehe za kukabidhi Magari Matano
Mheshimiwa Jaji Mwanaisha Kwarikoakiwa na Jaji Mwenzie wakibadilishana Mawazo
Wadau Mbalimbali wa Mahakama wakiwa na Jaji Mkuu wa Kanda ya Songea
Mwanaisha Kwariko.
Msajili wa Mahakama kuu ya kanda ya songea
Beatus Benidictus angalizo kwa Watumishi
wa Mahakama kutoyatumia Magari hayo kinyume na Madhumuni, kwa kubeba mkaa au
shughuli za Mizigo zisizohusika na Shughuli za Mahakama, pia amewaomba Madereva
kuyalinda Magari
No comments:
Post a Comment