Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said
Thabiti Mwambungu amewataka Wananchi wa Mkoa wa Ruvuma kuchangamkia fursa
zinazotolewa na Serikali ikiwemo fursa ya kupata Mawasiliano.
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said
Thabit Mwambungu ameyasema hayo wakati akizindua Mtambo wa Star Times ambao umeshirikisha Ubia
na TBC , amesema kutumia Technologia ya kisasa kuna mpunguzia Mwananchi kutumia
vifaa vizito kwa kuwa technologia ya kisasa inakufanya kutumia vifaa ambavyo
havina uzito huku ukipata mawasiliano Dunia nzima.
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said Thabit Mwambungu
ameipongeza Mamlaka ya Mawasilino Tanzania TCRA kwa kutimiza leongo la kuifikia
Mikoa 20 ukiwemo Mkoa wa Ruvuma, Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said Mwambungu katika
Hotuba yake amepongeza Makampuni matatu ambayo yameonyesha nia ya kusaidia
Wananchi ikiwemo TIN, Star Time na Star Media,mkuu wa mkoa said thabit
mwambungu alionyesha mfano kwa kuweza kununua king`amuzi cha
Habbie Gunze mkurugenzi wa utangazaji TCRA Habbi Gunze amewataka Wananchi wa
Mkoa wa Ruvuma kuondoa hofu ya uzimwaji wa
Mitambo ya Televisheni ya Analogia haina maana itawaletea hasara lakini
wategemee faida kubwa kuliko hapo zamani.
Faida za digital alizitaja nyingi zaidi ya kuwa na picha na
Sauti bora. Rejea kipeperushi kwa faida zaidi. Hapa Gunze alisema pamoja na
picha na Sauti; digital itawezesha upatikanaji wa Huduma za ziada mathalan
kutuma pesa kupitia tv zao.
Habbie Gunze mkurugenzi wa utangazaji TCRAamesema Serikali imejitahidi kujiandaa kwa kuwa na ving`amuzi vingi vya kisasa vitakavyoweza kumudu matumizi kwa wananchi wote Mkoani Ruvuma na Tanzania nzima, Makampuni ambayo yamekuwa tayari ni pamoja na Star Media, (ISahara Communication ) , Agape Associated LTD na Basic Transmission Limited.
Habbie Gunze mkurugenzi wa utangazaji TCRA amesema Juhudi zinafanywa ili Watanzania wote watoke kwenye Analogia na kuingia kwenye Digital, Mpaka sasa Mikoa iliyobaki kukamilisha zoezi hilo ni Mtwara na Lindi.
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said
Thabiti Mwambungu amewataka Wananchi wa Mkoa wa Ruvuma
kuchangamkia fursa zinazotolewa na Serikali ikiwemo fursa ya kupata
Mawasiliano.
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said Thabit
Mwambungu ameyasema hayo wakati akizindua
Mtambo wa Star Times ambao umeshirikisha Ubia na TBC , amesema kutumia
Technologia ya kisasa kuna mpunguzia Mwananchi kutumia vifaa vizito kwa kuwa
technologia ya kisasa inakufanya kutumia vifaa ambavyo havina uzito huku
ukipata mawasiliano Dunia nzima.
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said Thabit
Mwambungu ameipongeza Mamlaka ya Mawasilino Tanzania TCRA kwa kutimiza leongo
la kuifikia Mikoa 20 ukiwemo Mkoa wa Ruvuma, Mkuu wa Mkoa w2a Ruvuma Said
Mwambungu katika Hotuba yake amepongeza Makampuni matatu ambayo yameonyesha nia
ya kusaidia Wananchi ikiwemo TIN, Star Time na Star Media,mkuu wa mkoa said
thabit mwambungu alionyesha mfano kwa kuweza kununua king`amuzi cha Continental
Waandishi wa vyombo mbalimbali wakiwa kazini kuhakisha habari zina wafikia wananchi wa kwanza kushoto ajaofrery Nilahi anaye fuata Hamza Hamuza wa TBCI anaye fuata Afisa Maelezo kutoka DSM Dada Mary Shayo wa mwisho Judith LugoyeHabbie Gunze mkurugenzi wa utangazaji TCRAamesema Faida ambazo zitapatikana kwa Mwananchi wa kawaida ni kupata Mawasilino ya TV bila chenga na uangavu wa kutosha, pia kupitia Televishen wananchi hapo baadaye wanaweza kutuma pesa kwa njia ya Televisheni zao
Habbie Gunze mkurugenzi wa utangazaji TCRAamesema mwisho wa kutumia mitambo ya Analogia ni Much 17 Mwaka huu, Mikoa ambayo ilikuwa haijazima Mitambo yake ifanye haraka kabla ya Much 17 Mwaka huu.
Mwakilishi wa Continental
ambaye alimwakilisha Mkurugenzi wa Sahara Media, Adam Nindi alieezea ubora wa
Matumizi ya Ving`amuzi vya CONTINENTAL
na kumuhakikishia kuwa Continental ina Chanel 22 ambazo zinapatikana
bila usumbufu
Kaimu Katibu Mtendaji Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Mawasiliano, Bi Mary Msuya aliye mbele amesema Wananchhhi wanatakiwa kufahamu tofauti ya Mitambo ya Ardhini pia wanapo nununa vingamuzi ni lazima wapate lisiti
Mary Msuya alisisistiza wananchi kununua ving'amuzi kwa
mawakala walioidhinishwa na wahakikishe wanapatiwa risiti na warranty
usiopungua chini ya miezi 12. Hii ni kumlinda mnunuaji endapo king'amuzi
kitakuwa na matatizo atakirudisha kwa wakala na kitatengenezwa au kutolewa
kingine bila gharama kwa mnunuaji.
Mkurugenzi wa TCRA Habbi Gunze amewataka waandishi wa
habari kujiunga pamoja na kuweza kutengeneza vipindi mbalimbali vya kuweza
kuelimisha wananchi ikiwemo Elimu,Afya,Ujasiliamali
Mkurugenzi wa TCRA Habbi Gunze akiwa na waandishi kutoka songea aliye shika beg ni Judith lugoye
Katibu wa Chama cha Waandishi
wa Habari Mkoa wa Ruvuma Andrew Chatwanga aliye kushoto
amewashukuru Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA kuboresha huduma za mawasiliano na
nakumpunguzia wananchi wakawaida garama za mawasiliano
Afisa kutoka Maelezo dada Mary Shayo akishuhudia uzinduzi wa Mtambo wa Digtal wa Star Times wa kishirikiana na TBCI
No comments:
Post a Comment