Katibu wa Wawazee Joseph Mpangala akiwa katika kikao na Wandishi wa Habari kusisitiza pesheni kwa Wazee itolewe Haraka
Mosses Konara akiwa katika kikao cha Wazee kinacho fadhiliwa na PAID Mkoani Ruvuma
Wanawake hao wazee wakiongea katika Mkutano uliofanywa kati yao na waandishi wa Habari na wazee wamesema, hakuna kazi kubwa hapa
duniani kama kuzaa, kuzaa kunampa hali ya
hatari Mwanamke kupoteza Maisha. Asilimia
50% ya wanawake wanao poteza maisha hapa duniani kutokana na uzazi.Aliye juu ni Mwenyekiti wa Mkutano huo Cresencia Kapinga
Mwandishi wa Jogoo FM Songea Adeni Mbele
Mwandishi wa TBC Raufu Mohamed akiwa PAID Unangwa Songea
Mzee ambaye anatetea haki za Wazee kuweza kupata Pesheni
Mkiwa miliki wa Blog ya Songea Habari ,Ndigu Adamu Mzuza Nindi akiwa kwenye kikao cha wazee PAID kusikiliza malalamiko ya wazee,
Amoni Mtega wa Gazeti la Mtanzania akifikili jinsi ya kuwa saidia Wazee Mkoani Ruvuma
Wanawakew wazee wakiongea kwa
uchungu wamesema vijana hivi sasa wanawaona wazee kama
mzigo hawana njia nyingine ya kuwa toa duniani ni kuwasingizia kuwa ni Wachawi
jambo liunalo pelekea waganga ambao wamesha waandaa kutoa dawa zinazo sadikiwa
ni sumu
Wanawake hao wazee wakiongea katika Mkutano uliofanywa kati yao na waandishi wa Habari na wazee wamesema, hakuna kazi kubwa hapa
duniani kama kuzaa, kuzaa kunampa hali ya
hatari Mwanamke kupoteza Maisha. Asilimia
50% ya wanawake wanao poteza maisha hapa duniani kutokana na uzazi.
Makamu Mwenyekiti wa Baraza
Huru la Wazee manispaa ya Songea Sophia Hasara amesema Serikali baki ya kutoa
Pensheni kwa Wazee wote, kwanza ingejumlisha kwa wanawake waliozaa kuwapa
pensheni ya uzazi, pili kwa wazee wote wapate Pensheni.
wanawake Wazee wa mkoa wa Ruvuma
wamesema Serikali haitendi haki kwa kutolipa Pensheni kwa Wazee, wanawake ambao
ndio nguvu kazi ya kuongeza watu katika Nchi.
No comments:
Post a Comment