Mkuu wa Mkoa akiwa pongeza wana Ruvuma amesema dalili ya
kuzingatia usafi ni pale unapo ona Kipindu pindu hakija ingia mkoani mwako jambo mhimu ni kila
mwananchi kuhakikisha taka anazo zizalisha zina wekwa mahali malumu tayari kwa
kuzolewa.amesema katika maeneo yanayo zalisha taka kwa wingi ni katika Masoko
jambo la muhimu ni kuhakikisha taka hizo zina zolewa
Mkuu wa wilaya ya songea Besoni Mwampesia amewataka wafanya biashara
kuzingatia usafi katika eneo lao nano wadau walio shiriki usafi wamekiri kuwa usafi ni tabia aliyo
zaliwa nayo mtu
Mkuu wa wilaya ya songea Besoni Mwampesia amewataka wafanya biashara kuzingatia usafi katika eneo lao nano wadau walio shiriki usafi wamekiri kuwa usafi ni tabia aliyo zaliwa nayo mtu
Mkuu wa Mkoa wa
Ruvuma Said Thabit Mwambungu amewataka wanaruvuma kupingana na Maradhi
mbalimbal kwa kuweka usafi katika maeneo
yao ikiwemo na kuchemmusha maji ya kunywa,kuepukan na kula
vyakula vilivyo lala pamoja na kufuata kanuni zote za Afya
Bregidia wa kanda ya kusini kikosi cha 401 cha Tembo Meja jenelali
Goerge Msongole amesema usafi ni tabia ,wasio jua usafi wanatakiwa kujua maana
ya amuri Rais kaamuru kufanya usafi kila mmoja ana takiwa kutii amuri hiyo kama
Mkuu wa Mkoa ametii amuri hiyo nani wa
kuacha usafi,
Viongozi wa Serekari kutoka sekita mbalimbali wa
kishirikiana na wananchi wengine wameshiriki kufanya usafi pamoja na kushiriki
sherehe za kumbukizi vya vita vya majimaji ambavyo huadhimishwa kila mwaka
mwezi wapili