Wazazi wa vijiji vya
Maposeni songea vijijini wameiomba Serikali kuingilia kati mtindo wa vijijana wanaotelekeza watoto baada ya kuwazaa na kuwaachia Wazee ambao umri wao hawawezi
kuwalea wajukuu.
Wazazi hao wameyasema
hayo katika Semina iliyoandaliwa na Haki Elimu kutoka Makao Makuu
Dar-Es-Salaam, Semina iliyofanyika Maposeni Songea Vijijini na kushirikisha
watu 70 kutoka makundi yote ya kijamii.
Wazazi wamesema kumekuwa na mtindo wa Vijana kuzaa na
kutelekeza watoto kwa wazee wao huko nikukimbia majukumu serekari kwa sasa
ichukue hatua kali kwa vijana wanao
telekeza watoto baada ya kuwa zaa
makao makuu ya Halimashauri ya wilaya ya Songea Vijijini ambayo ime jengwa Maposeni Songea Vijijini
Mlemavu akijisogeza bkatika ukumbi wa semina ya Haki elimu .Walemavu wameomba kujengewa vyoo ambavyo wata weza kuvitumia pia kuwe na uhamasishaji kwa wazazi wanao waficha walemavu wasipate Elimu
Semina ya marafiki wa Elimu ilijumuisha Wajumbe 70 wakiwemo
Wanawake 20 na Wanaume 50 wakiwemo Walemavu, Viongozi wa Dini, Vijana, Wazee na
Walimu wa Shule za Msingi.
Afisa Mipango wa Haki ElimuNaomi Mwakilembe amewaomba wazazi kufuatilia kwa ukaribu kwa watoto wao kuhakikisha elimu wanayo pewa niile iliyo lengwa na serekari
Afisa Mipango wa Haki ElimuNaomi Mwakilembe amewaomba wazazi kufuatilia kwa ukaribu kwa watoto wao kuhakikisha elimu wanayo pewa niile iliyo lengwa na serekari
Afisa Mipango wa Fedha kutoka Makao Makuu akiangalia wananchi wavyo weka Mikakati ya kuimarisha Eliumu
Mwenyekiti wa Haki Elimu Mkoa wa Ruvuma Juma Nyumayo akiratibu Semina iliyo jumuisha watu 70
Wadau wa Elimu ambao ni marafiki wa Elimu wameahidi kulinda
Elimu kwa kuweka Mikakati ambayo itakuwa Dira kwao.
Afisa Mipango wa Haki Elimu kutoka Makao makuu ya Halimashau Naomi Mwakilrmbe akitoka kuangalia offisi mpya ya Halimashauri ya wilaya Songea Vijijini
Mwenyekiti wa Haki Elimu Mkoa wa Ruvuma Juma Nyumayo amekemea vikali vitendo vya watoto kupelekwa Nchi jirani kwa ajili ya kufanya Biashara za Mabaana na Ngono
No comments:
Post a Comment