Wananchi wa Lukalasi wakisikiliza mkutano wa Hadhara kuhusu uwekezaji wa viwanda cha kuchimba madini ya Dhahabu na wananchi kuahiwa kuwa wata letewa umeme ili kurahisiha uchimbaji wa Madini
Pamoja na kazi ngumu wanayo ifanya ya kuchimba madini kwa kutumia mikono hata hivyo hawakuona kazi kuona nini kina semwa kati serekari ya awamu ya tano kuhusu viwanda na madini
Afisa Madini Mkoa wa Ruvuma akiendelea kuwahimiza wachimbaji wadogo kukata leseni ili serekari nayo ipate mapato wale watakao chelewa leseni zao zita futwa
siyo kweli kuwa wanao ishi katika machimbo hawana nyumba mnzuri huo ni uthibitisho kuwa machimbo ambako ni porini nako kuna nyumba mzuri kama unavyo ona nyumba ambayo iko Lukalas Wilayani mbinga
Mhandisi kutoka Tanesco Ru8vuma Hamis Sothenes akieleza hatua zilizo fanyika mpaka sasa kuhusu umeme vijijini katika awamu hii jumula ya vijiji m138 vita pata umeme, lakini juhudi zina fanywa kuhakikisha vijiji vilivyo baki kukiwepo na bajeti ita angalia vijiji vilivyo baki aliwaomba wananchi kuwa na subira
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Mhandisi Binilith Satano Mahenge amesema juhudi zilizo onyeshwa na Meneja wa Machimbo ya Dhabu Lukalasi ni Makubwa serekari itahakikisha kuwa ina saidia kuteta umeme katika machimbo hayo, amesema madini ya Dhahabu ambayo yako ukotoka juu mpaka chini aridhini ni karibu mita mia mbili hicho nikiasi kikubwa cha madini ni lazima serekari i8fanye juhudi za kuleta umeme kwanza ita ongeza ajira, pili serekari ita pata mapato
wachimbaji wa madini ya vito wakiwa katika mkutano wa hadhara eneo la ndenda mbili kusikiliza swala la umeme wa leya utakavyo letwa vijijini
safu ya maafisa wa Madini waqkisikiliza kero za wananchi katika eneo la ngembambili wilayani Mbinga Mkoani Ruvuma
wakaazi wa Ngemba mbili wakimwomba mkuu wa mkoa swala la umeme wa Leya
mama soko akimwomba mkuu wa mkoa kuhusu swala la maendeleo hasa kusu shule
Mwenyekiti wa kitongoji cha ngembambili Sige Mahundi akielezea juhudi zilizo fanyika kuhusu shule na mchango unao endelea kuhakikisha shule ya wawali inajengwa
kaimu mkurugenzi wa Halimao jengwa zipo wananchi wasiwe na wasiwasihauri ya Mbinga amesema fedha kuhusu upauaji wa shule zitakaz
viongozi wa Ngembambili wakisikiliza kwa makini kuhusu uchimbaji wa madini pamoja na maswala ya maendeleo iki wemo shule,Zahzahanati
mwenyekiti wa kitongoji cha ngembambili Sige Mahundi akipokea maelekezo ya kuhimiza wananchi wajitokeze kufanya shuguli za maendeleo kwa kushiriki kwa nguvu zao kujenga Zahanati,shule na mindo mbinu ya barabara
maafisa wa Madini wakiongozwa na Mahobe
wananchi wa Lukalasi wakiwa na furaha baada ya kusikia kuwa umeme wa leya uta wafikia hapo pao
nivijana ambao wana jihusisha kuchimba miamba ya mawe ili waweze kupata Madini ya Dhahabu
kijiji kizima cha lukalasi kilijumuika kumpokea mkuu wa mkoa wa Ruvuma na kusikia juhudi zinazo fanywa na Rais wao kuhusu maendeleo kwa ujumula vijijini
mkuu wa mkoa aqkipitia orodha ya madini yanayo patikana mkoani ruvuma ili mwenye kuweza aende semu yaliko madini ajikomboe katika Umasikini
OCD kutoka wilaya ya mbinga akiendelea kupanga safu yake ili Ani na Utulivukuweka hali ya
kutembea ni zoezi eneo lote linalo kanyagwa lina madini ya dhahabu hilo ni eneno la Lukalasi Wilayani Mbinga |
Afisa Madini Mkoa wa Ruvuma akifafanua upatikanaji wa leseni za madini mkoani hapa
Meneja wa Machimbo ya Dhahabu Johnson Nchimbi akitoa tarifa ya uchimbaji wa Madini ya Dhahabu kuwa wame kwama kutokana na ukosefu wa mindo mbinu ya umeme mashine zime simama toka mwaka 1993 kutokana na kushindwa kumudu uchimbaji kwa kutumia mashine za umeme
No comments:
Post a Comment