Wakala wa misitu mkoa wa Ruvuma na wakala wamisitu
kanda ya kusini wakishirikiana na jeshi
la police wameendesha mafunzo kwa waendesha baisikeli na watumia pikipiki
kuacha kusafirisha mali asili kwa kutumia vyombo hiovyo kuwa kufanya hivyo
nokukosesha mapato yanayo tokana na misitu
Naye Mkuu wa kikosi cha Usalama
barabani Abeli Swai amewataka watu wanao tumia pikipipi na baisikeli kuacha
kusafirisha mkaa au kuni kwa kuwa vyombo hivyo kisheria haviruhusiw kusafirisha au i kubeba mizigo
mizito ya mkaa na kuni
Wananchi wa kawaida waliokuwa
wakitumia baikeli kwa kubeba mizigo mizito ya mkaa na kuni wameahidi kuto
safirisha mkaa bila kibali cha wakala wa misitu aidha wananchi wengine wamewaasa wenzao kuucha
kusafirisha mkaa usiku ili kukimbia kulipa mapato ya serekari
Meneja wa kanda ya kusini wa Tfs Gagdens Kisaki amesema ili kuweza kuingiza
mapato yanayo tokana na bidhaa za mali asili nilazima kufuta kanuni za na
taratibu za kuvuna misutu
Wakala wa mazao ya Mazao ya
misitu kutoka mtwara wameweza kutoa
elimu katika mitaa 320 ya Manspaa ya Songea na elimu hiyo kuwa fikia watu zaidi
ya mia tatu
|
No comments:
Post a Comment