KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Wednesday, October 3, 2012

AIRTEL YA JIKOMBOA KWA KUTUMIA SOLA IRINGA VIJIJINI

 Wananchi wa kata ya Itundu wakiongea kwa nyakati tofauti wameishukuru serekari kwa kuruhusu mitandao mbalimbali kutoa huduma kwa njia ya simu wamesema wao wamefikiwa na  Mtandao wa airtel ambao umerahisisha huduma za kibenk na biashara za mazao mbalimbli
 Mtalamu wa Blog Michuzi akiwa safarini kujionea Airtel inavyo Toa Huduma Kwa wananchi wa Iringa Vijijini.
 Mtandao wa Airtel unapendwa na watu wengi hebu ona Mtoto anavyo Furahia Mtandao
 Mtalamu wa Blog Ndugu Michuzi akiwa juu ya Mnara Itundu kuangalia jinsi ya Sola inavyo fanya kazi kwenye Mtandao wa Airtel Huko Itundu Iringa Vijijini
Mkongwe wa Habari Adamu Nindi akiwa katika kijiji cha Itundu Iringa Vijijini akiwa juu ya Mnara wa Airtel kuangalia matumizi halisi ya Sola katika kijiji hicho
 Mwenyekiti wa kijiji cha kimande kata ya Itunundu Andasoni Mpululu amesma kata ya Itundu ina shugulika zaidi na kilimo cha umwagiliaji wa zao la Mpunga,Hapo awali kupata soko ilikuwa ni ngumu lakini hivi sasa biashara hiyo huenda kwa njia ya mtandao na mnunuzi hulipa kupitia Airtel Money.

SHULE YA SEKONDARI YA BEROYA ILIYOKO SONGEA IMEKAMILIKA KWA KILA KITU,INA SACCOS,MAABARA,PAMOJA NA ZAHANATI

 Mgeni Rasimi Chares Mhagama Meya wa Manspaa ya Songea katika Maafali ya Beroya kwa wahitimu wa kidato cha nne wa nne kutoka kushoto ni meneja wa Sekondari ya Beroya iliyoko manspaa ya songea
 Kikundi cha SACOS ya Beroya Secondary kikiongozwa na Critina Mahenge
 Meya wa Manspaa ya Songea Chares Mhagama akitoa Nasaha katika maafali hayo
 wanafunzi wa kidato cha nne secondary ya Beroya katika manspaa ya songea wakipokea nasaha kutoka kwa wageni waalikwa
 Shule ya Sekondari ya Beroya imekamilika kima abara huyo unaye mwona ni chatu wa mafunzo katika maabara hiyo
 Mgeni Rasimi Meya wa Manspaa ya Songea Chares Mhagama akiangalia Chatu alioko mabara ya Beroya Sekondary. picha ya chini ni ya wahitimu wa kidato cha nne Beroya Sekondary

TTCL KUNA NINI HADI TUNA KOSA HUDUMA SISI WANYONGE ?


BARUA YA WAZI KWA WAZIRI WA MAWASILIANO NA UCHUKUZI KUHUSU KUDORORA KWA TTCL .

Kwa mara nyingine tena najitokeza kuweza kutoa kero ambazo zina tupata Sisi Wananchi tunao tumia huduma za TTCL

Katika Mabadiliko ambayo Serikali ina himiza Wananchi katika kuingia katika Soko la Afrika Mashariki na ya Kati ni kujiendeleza kielimu lakini kuhizwa huko hakuko kwa TTCL wao bado na mfumo wa kizamani, Kwenye Umeme angalao serekari ime gundua kitu fulani kwa nini shirika hili naslo lisi chunguzwe kujua kama kuna masilahi ya watu au kukwama kwao kuna tokana na Elimu au ni watu wana kwamisha :?.

Watanzania tulio kuwepo katika Utawala wa Mwalimu Nyerere tuna usemi wa kusema usiache Mbachao kwa Msala upitao.

Methali hii inatubana kuitelekeza TTCL. katika Mitandao ambayo inaweza kumsaidia Mwananchi asiye na kipato ni TTCL lakini Shirika limekuwa na kiburi hata kama wateja wakilalamika Shirika la TTCL halisikii malalamiko ya wananchi .

Katika kutumia huduma za Internet .wateja wanalazimika kulipa kwenye mtandao wa TTCL Shilingi 30,000 kwa Mwezi au 7000 kwa Bando na hata Shilingi 500 ili waweze kupata huduma.

Cha kushangaza baada ya kulipa kwenye mtandao wa TTCL ili upate huduma unakuwa kama vile umepoteza fedha zako unaweza kuwa na kazi yhati inawezekana ika shindika kutuma yenye MB25 ukianza asubuhi ukiwa na bahati ita enda saa kumi jioni kama huna bahati ndiyo basi

Kama Una Attach file MB 25 unaweza kujanza Attachment Saa 2 Asubuhi ukafanikisha saa 9:00 Alasiri au ikakata.
Ukiingia kwen ye Mtandao mwingine Attachment hiyohiyo unachukua dakika 2 – mpaka dakika 5
Jee TTCL ina Wataalamu waliobobea ni vipi ishindwe kuweka Mazingira mazuri kwa wateja wao.

Wafanya kazi wa TTCL ambao hawakutaka Majina yao yatajwe wamedai wameweza kutoa Taarifa ya Malalamiko ya Wananchi hakuna kiongozi wa juu anaye tilia maanani malalamiko hayo.
Chamsingi kinachoonekana kwa TTCL badala ya kuboresha huduma wao wanawaza kuuza mali za TTCL kama walivyo fanya wilaya ya Tunduru Mkoa wa Ruvuma ,

Mimi ni Mteja wa TTCL toka ilipo anza Namba yangu ya Simu 0252602425, Naishi Songea.
Ningeomba wa Tanzania kwa Wananchi wanategemea sana Mtandao wa TTCL, endapo hali ikiendelea namna hii basi Wale wote wanao ihujumu TTCL Serekari inge weza kuwa ajibisha. Haiwezekani Mitandao mingine ifanye kazi lakini mtandao wa Serekari Ushindwe kufanya kazi
By Adam Mzuza Nindi.-Songea

Tuesday, October 2, 2012

KUKAA KIMYA KWA WANDISHI WA HABARI KWA SABABISHA ONGEZEKO LA UHALIFU

 Hii ni ajali iliyotokea kilometa 30 kutoka Iringa Mjini wakati Magari matatu yalipogongana na kusababisha Gari la Supper Feo linalotoka Iringa kwenda Songea kubonyea kwa nyuma, ndani ya Basi hilo kulikuwepo na Mkongwe wa habari Adam Nindi ambaye alikuwa Iringa kikazi.
 Moja ya maboresho ni Serikali pale inapotoa elimu kwa waendesha pikipiki na Magari ili kupunguza Ajali za Barabarani, katika picha hii Mkuu wa Mkoa wa ruvuma Mh Said Thabit Mwambungu aliweza kutoa vyeti kwa waendesha pikipiki wapatao 240 katika uwanja wa Majimaji baada ya kuhitimu Mafunzo ya kuendesha pikipiki kwa usalama kupitia Chuo chs mafunzo ya Ufundi VETA Mkoa wa Ruvuma
 Ili kupunguza ajali pikipiki zote zinazoingia barabarani zinatakiwa kukaguliwa kuhakikisha ziko salama na haziwezi kusababisha ajali zikiwa barabarani
 Madereva wanatakiwa kuwa waangalifu na kuweza kuzifahamu alama za usalama Barabarani, Dereva asipofuata kanuni za Usalama Barabarani matokeo yake ni kusababisha ajali. Hebu angalia Barabara ilivyo alama zote zinaonekana ili kumsaidia dereva apite vizuri.
 Ufikapo katika Mji wa Iringa ili uwe na Uhakika wa usalama wako kwa kuepuka kuibiwa au kuuweka mwili wako katika afya nzuri ni bora kufikia NICK MOTEL ambapo pana ulinzi wa uhakika na chakula kizuri. Picha ya hapo juu ni Mkongwe wa habari Adam Nindi akipata kifungua kinywa kulia kwake ni Mkurugenzi wa Hoteli ya NICK MOTEL.
 Mtandao ambao unawasaidia Watanzania kwa kupunguza maumivu ya gharama za mawasiliano ni Air tel hapo watu mbalimbali wakichukua fedha zao kupitia Air tel Money
Kwa kipindi kifupi kilichopita Waandishi wa Habari walisusia kuandika habari za kipolisi, utafiti uliofanywa na Blog hii umebaini kuwa kwa asilimia kubwa wahalifu wamefurahi kuona makosa wanayoyafanya hayaripotiwi pamoja na hayo hata ajali za barabarani zimekuwa zikiongezeka na wananchi kukosa huduma muhimu ya kujua kinachoendelea na kusababisha watu ambao wanapenda uvunjifu wa amani kujiweka katika kivuli cha kuunga mkono Mgomo wa Waandishi wa Habari huku wakijua ni moja ya kumkosesha mwananchi haki ya msingi ya kikatiba ya kupata habari.

Pamoja na hayo Waandishi wa Habari Mkoa wa Ruvuma walipata joto la jiwe baada ya wao kuibiwa Vifaa vyao na vibaka na hatimaye Jeshi la polisi kuwasaidia kuwapata wahalifu ambao wamefikishwa kwenye chombo cha Dola ambachi ni mahakama lakini kwa aibu habari hiyo haijaandikwa popote pale, Je hii imekula kwa wanahabari au kwa Polisi? ni vizuri vyombo vinavyohusika kuangalia kwa makini suala lililosababisha mgomo wa Waandishi wa Habari. Pichani juu Jeshi la Polisi linaonyesha likiendelea kutoa huduma kwa wananchi.

WAANDISHI WA HABARI WAMETAKIWA KUJIEPUSHA NA HABARI ZENYE KULETA UCHOCHEZI

 WAaandishi wa Habari wa Mkoa wa Ruvuma walioshiriki Semina ya Maadili iliyofanyika katika Ukumbi wa Ushirika Songea. Anayesoma gazeti ni Katibu wa Chama cha Waandishi wa Habari Mkoa wa Ruvuma Bw Andrew Chatwanga.
 Waandishi wa Rvuma Press Club wakifuatilia kwa Makini mafunzo ya Maasemina ya Maadili iliyofanyika katika Ukumbi wa Ushirika Songea Manispaa.
 Mwezeshaji wa Mafunzo Maadili Rose Ngunangwa Mwalongo akiwa na Mwenyekiti wa Semina ya Maadili Thoma Lipukaliyofanyika katika Ukumbi wa Ushirika Songea.
 Waandishi wa Habari wa Mkoa wa Ruvuma wakiwa katika picha ya pamoja baada kushiriki semina ya maadili, mwenye suti nyeusi na blauzi ya pundamilia kulia ni Wambura Wasira mwezeshaji kutoka Baraza la Habari Tanzania (MCT)
Wandishi wa Habari wametakiwa kuandika habari kwa kuzingatia kanuni sheria na kufuata maadili bila kuandika habari ambayo ina weza kusababisha uvunjifu wa Amani.
Hayo yamebainika katika semina iliyo andaliwa na MCT Baraza la Habari Tanzania kuhusu kujenga uwezo wa Waandishi wahabari katika kuandika habari bila kuleta uchochezi kwa wananchi

ATUNUKIWA CHETI CHA UDAKITARI KUTOKA CHUOKIKUU CHA UGANDA

 Pichani ni  Baadhi ya Waalikwa waliokuja kushuhudia Sherehe za kumtunuku Shahada ya Juu yaUdaktari Askofu Simoni Chisote Silwimba zilizofanyika katika Ukumbi wa Open University Songea.
 Mgeni Rasmi Dr Zoa akieleza maudhui ya  Sherehe za kumtunuku Dr Simon Chisote Silwimba Shahada ya Heshima ya Uzamivu ya Theology baada ya kugraduete kiroho (Theology) Chuo Kikuu cha Africa Graduate.
 Askofu Silwimba akiwa na Mke wake Mkurugenzi wa Umoja wa akina Mama Mchungaji Gilda Silwimba katika sherehe za kumpongeza kutunikiwa shahada ya Heshima Dr Simon Chisote Silwimba zilizofanyika katika Ukumbi wa Open University Songea.
 Askofu Simon Chisote Silwimba baada ya kutunukiwa Shahada ya Heshima ya Uzamivu ya Theology katika Ukumbi wa Open University Songea.
Hiki ni Cheti alichotunukiwa Askofu Simon ChisoteSilwimba baada ya kuhitimu Africa Graduate Univercity Uganda .

HALI YA UCHOMAJI MOTO MKOA WA RUVUMA INAVYO WAASILI WA KAAZI WA MKOA WA RUVUMA

Afisa Misitu uenezi kanda ya kusini Gaugence Kilasi akiongea na Waandishi wa Habari ofisini kwake Songea akieleza jinsi Uchomaji moto mkoa wa ruruvuma ulivyo waasili wakaazi wa mkoa wa Ruvuma kwa kukosa maji baada ya watu wasiopenda maendeleo kuchoma vyanzo vya maji katika Mlima Matogoro Manspaa ya Songea.