KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Thursday, August 15, 2013

BINADAMU ANA TAKIWA KUIGA MAISHA YA KINYONGA HUJIBADILISHA WAKATI SHIDA NA HUJIBADILI WAKATI WA RAHA

 Mazingira ya wanyama mbalimbali huishi sawa na eneo wanalo taka wanyama kama kinyonga, Kenge, Mjusi hutafuta maeneo ambayo wanaweza kupata kitoweo kwa urahisi kama vipepeo nzige na samaki wadogo katika kisiwa hiki cha pomonda kuna kila aina ya mijusi ya Rangi pia Vingonga wa kila namuna
 Moja ya Vivutio kwa Watali ni Vinyonga wa ana mbali mbali kama unavyo mwona huyo hapo juu .Lakini la msingi kinyonga huishi kwa utalamu anapo taka mawindo fulani hujibadili na sehemu aliyopo.Nivizuri nao binaadamu wa kajifunza hali ya Kinyonga ili wakati wa Shida  wajue kuna shida na wakati wa raha wakalijiua hilo
 Kinyonga hana Rangi isipo kuwa Mwenyezi Mungu amempa kinyonga Uwezo wa kujibadili kutokana na Hali ya Mazingira ilivyo ana uwezo wa kujikinga ha Hatari kutokana na Hali ilivyo, Hapo Kajibadili akiwa Katika Jiwe kubwa eneo la Pomonda.
 Maua yanapo chanua huonyesha furaha na yapo nyauka huonyesha mwisho wa uhai wa Binadamuhata Binadamu humia maua yanapo chanua kuonyesha furaha .Hakuna  anaye tumia ua likiwa lime nyauka

Wednesday, August 14, 2013

WATU WAO ISHI PEMBEZONI HUWA WAKWANZA KUFAIDI MATUNDA YA WAGENI KUTOKA NJE NDIVYO ILIVYO KWA WATU WA LITISHA



 Wasanii wa Ngoma ya Asili ya Kinyasa ijulikanayo kwa jina la Mganda wakitumbuiza katika Sherehe ya Jubilei ya Miaka 25 ya Huduma ya Afya ya Msingi iliyofanyika katika Kijiji cha Litisha Peramiho Songea Vijijini.
 Mkurugenzi wa Hospitali ya Peramiho Dr. Ansgar Stuffe (kushoto) akiwa na wageni wake kutoka Ujerumani Rais wa Benki ya Ujerumani Frant Mader na Binti yake Franz Mader wakikagua mabanda ya utekelezaji wa shughuli za Afya ya Msingi zinazosimamiwa na Dr. Ansgar Stuffe katika kuboresha Afya za Jamii iliyo pembezoni.
 Dr Ansgar Stuffe akiwa na wananchi wa Kata ya Ruvuma katika kusherekea jubilei ya Miaka 25 ya Utekelezaji wa Huduma ya Afya ya Msingi kwa wakazi wa Tarafa ya Ruvuma Peramiho Songea Vijijini
Ngoma ya Mganda ikishirikisha wanawake hebu ona wanawake wanavyo sakata ngoma , hii ni kuonyesha Wanawake wanaweza
 Wahudumu wa Afya Vijijini (WAVI) wakifurahia Mafanikio ya Mradi wa Afya ya Msingi katika kipindi cha miaka 25, 1988 - 2013 kwa wananchi waishio pembezoni kata ya Ruvuma wilayani Songea Vijijini. Juhudi hizo zinatokana na jitihada za Dr. Ansgar kwa kushirikiana na Wahudumu wa Afya katika kutokomeza magonjwa yaliyokuwa yakiisumbua jamii hiyo.
Mkurugenzi wa Hospitali ya Peramiho na Mfadhili wa Mradi wa Huduma ya Afya ya Msingi Vijijini akikagua Mabanda ya Maonyesho ya namna ya kujikinga na Afya Bora katika kuadhinisha jubilei ya Miaka 25 ya Utekelezaji wa Huduma hiyo kwa kuboresha huduma ya maji, kinga ya Malaria kwa kuwapa chandarua na kutokomeza magonjwa yaliyosahaulika.

BEDA UNAIONAJE SONGEA KATIKA UTAFITI WAKO WAAMBIE WASIO UJUA MKOA WA RUVUMA

 Hayo ni maeneo anayo fanyia kazi bwana Beda Msibwe katika kutangaza vivutio vya Moa wa Ruvuma hiyo ni hotell mashuri ambayouna pata vyakula vya asili vya mtanzania
 Crista Park Mo tell ni moja ya vivutio kwa wageni mkoani hapa vyakula vyote vya kigeni hupatika katika hoteli hiiina wahudumu walio enda shule na kuhitimu vizuri,uingiapo hapo una weza kusahau hata nyumbani
Beda Msimbwe baada ya kupata chakula katika Motel ya Crita Park akionyesha furaha kwa jinsi chakula kilivyo bora alio kuwa nao ni mabloger wa Mkoa wa Ruvuma kushoto  Adam Mzuza Nindi  Demasho blog
Demasho akimwonyesha maeneo ndugu Beda Msimbwe katika eneo Songea Mjini
Nimekuambia ndugu yangu moja ya vivutio vizuri Mkoani hapa ni chakula cha uhakika kama unavyo kiona huo una itwa Ugali kwa Samaki

WANANCHI WANAO ISHI PEMBEZONI HUISHI KWA MATATIZO HASA KATIKA UTAFUTAJI PESA

 Jamii ya Watanzania wengi walioko pembezoni mwa Nchi katika kisomo chao wameweva kupata elimu kwa akina mama kuuza bagia kama unavyo ziona hapo juu lakini pamoja na hayo hakuna anaye weza kuzungumuza kuhusu bidhaa hiyo uki onekana una zungumuzia au kununua una onekana Mshamba.
 Katika Utengenezaji wa Bagia uko aina nyingi bagia imeweza kuwa somesha watu wengi kutokana na gharama zake pia kwa vijijini ndicho kitafuno kikubwa ambacho kuanzia mtoto hadi mkubwa ana uwezo wa kukimudu jee unaye soma Blog hii umesomeshwa kwa mtindo gani, kama ni mtindo huu basio uwapo kijijini jaribu kuwa ungisha wa uzaji wa bidhaa hizi
 Kama sikosei hakuna mtu asiye juua usafiri wa kijijini ni upi rahisi Gari za Vijijini ambo huweza kusafirisha bidhaa kiurahisi ni Punda hap[omama baada ya kutengeza pombe iitwayo Komoni ikiwa ime wekwa kwenye Gudulia tayari kwa kwenda kuuza
 Watoto wenye umuri wa miaka 9-12 ndio wanao kuwa madereva wa kuendesha mikokoteni ya Punda wanasema kufanya hivyo kuna wasaidia kuweza kupata sare za shule, mahitaji muhimuya nyumbanipamoja na kuwa safirisha watu kwenda hospitalini, Jee wewe una mchango gani katika usafishaji wa Bidhaa vijijini
 Punda anapo safiri huweza kujua kanununi zote za Barabarani akiambiwa simama huweza kusimama akiambiwa kimbia basi hukimbia lakini kama nilivyo sema madereva wa Usafiri huoa ni watoto walio chini ya miaka 12 hapoakiwa kijijiji cha morogoro kuelekea mashambani
 Mama akiwa ana pokea pombe aliyo mtuma kijana aliye chini ya miaka 12 hapo ana ipeleka kilabuni tayari kwa kuuza
 Katika kuadhimisha miaka 25 ya Huduma ya Afya ya Msingi Tarafa ya Ruvuma mpiga mbiu ya mgambo akiwa ita watu kusogea eneo la Sherehe uwanja wa Litisha Songea vijijini
 Mtaji ulio wajuu kasa vijijini ni uuzaji wa pombe za kienyeji wanywaji hudai kuwa unapo kunywa pombe za kienyeji zina leta nguvu hata katika utayarishaji wa kilimo.jambo lingine huwa tiba wa watu wanao ishi vijijini ukiangalia ongezeko la wangonjwa vijijini na mjini wagonjwa wengi hutoka mijini
 Mzee Marufu litisha akinywa Pombe ya kienyeji ijulukanayo kwa jina la Komoni Mzee Myakaya ana serma bila kuonja pombe ya kienyeji hawezi kufanya kazi yoyote ile
Usisahau Usafiri wetu vijijini tunapo zungumuza swala la Mkurabita tuangalie sana vijijini kweli ifikapo  2025 tutaweza uondoea umasikini waja wazito hawata safirishwa na punda, eneo la kilimo hatuta tegemea mifugo kwa ajili ya plau

Monday, August 12, 2013

JUBILEI YA MIAKA 25 YA MPANGO WA HUDUMA YA AFYA YA MSINGIHOSPITALI YA PERAMIHO9COMMUNITY BASED HEALTH CARE CBHC]

 Mkurugenzi wa Hospitali ya Peramiho Dr Ansgal Stuffe akiwa katika kuadhimisha miaka 25 ya HAMU  Kwa mafanikio Makubwa
 Wahudumu waanzilishi wa Huduma ya Afya ya Msingi walio anza miaka 25 iliyo pia
 Mkurugenzi wa Hospitali ya Peramiho Dr Ansigali Stuffe akiwa Mratibu wa Afya ya Msingi Tarafa ya Maposeni Abell Mapunda
Dr Ansgal Stuffe Akiingia katika ukumbi wa Emau kufunga semina ya watamu mbali mbali kutoka Mkoa wa Ruvuma
 Abell Mapunda akimkaribisha Mkurugenzi wa Hospitali ya Peramihoili aweze kufunga Semina ya Wahudumu wa Afya
 Washiriki wa Semina ya Huduma ya Afya ya Msingi wakiwa Peramiho ukumbi wa Emau
 Washiriki wakisikiliza kwa makini mafanikio na Changamoto katika huduma ya Afya ya Msingi
 Ni washiriki wa kiwa ukumbi wa Emau Peramiho songea vijijni
 Wahudumu wa AFYA YA MSINGI wakiadhisha miaka 25 ya Jiblei
 Mwakilishi wa Dakitari wa Mkoa wa Ruvuma Dr Philis Morris Nyimbi akifungua rasimi semina ya Huduma ya Afya ya Msingi Peramiho
Mganga mkuu wa Hospitali ya Nyasa   akisikiliza kwa makini changamoto zinazo wakabili wananchi wa mkoa wa Ruvuma

Friday, August 9, 2013

SIKU YA IDD SONGEA MKOANI RUVUMA



Shekh wa Masijidi  Huda  sheikh Shaban Chitete amewaomba Waumini wa Dini ya Kiislamu kuendelea kuomba na kuswali ili Mwenyezi Mungu aendelee kuleta  Baraka zake . Sheikh Shaban Chitete amewaasa Waislamu kuacha kuulazimisha Mwezi  kuandama hiyo ni kuonyesha udhaifu wakushindwa kufunga Ramadhani.



Sheikh Yusuph Kambaulaya wa Dhehebu la Ahmadiya amewataka Waumini wa Dini ya Kiislamu kufuata Amri halali za Serikali iliyopo madarakani  ili kudumisha amani na utulivu tulionayo


Waumikni wa Dini ya Kiislamu wameomba Vitendo vilivyoonyeshwa na waislamu wakati wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani  viendelezwe na miezi mingine.


Waumikni wa Dini ya Kiislamu wameomba Vitendo vilivyoonyeshwa na waislamu wakati wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani  viendelezwe na miezi mingine.

Mzee Alhaji Mustafa Songambele akiwa katika swala ya Iddi Mjini Songea

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said Thabit Mwambungu amewataka Waislamu kuendeleza mema waliyoyafanya katika Mwezi wa Ramadhani ili kuendeleza Amani na Utulivu tulionao.

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said Thabit Mwambungu ameyasema hayo katika Msikiti wa Mjini Kati Songea wakati wa Swala ya Idd, amesema Tanzania imekuwa mfano katika Dunia kwa kudumisha Amani.

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said Thabit Mwambungu amesema hakuna Nchi Duniani ambayo inaweza kumwabudu Mwenyhezi Mungu na kuleta maendeleo  wakati  kukiwa na Machafuko.



Waumikni wa Dini ya Kiislamu wameomba Vitendo vilivyoonyeshwa na waislamu wakati wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani  viendelezwe na miezi mingine.

Friday, August 2, 2013

NANE NANE YA FANA RUVUMA

 Hii ni hali halisi ya Nanenane katika mkoa wa Ruvuma kama unavyo ona Mhogo una lingana na Urefu wa Mtu karibu katika viwanja vya Nanenane ujipatie Mihogo kwa ajili ya kitafuno,Wakulima wa Mviwata  wa kijivunia Mihogo waliyo lima
 Mzee  Pasical Mwiname kutoka Madaba Songea Vijijini akionyesha Tangawizi walizo lima zikiwa na Ubora wa Kimataifa
 Mzee Pasical Mwiname akionyesha Tangawizi zilizo limwa mkoani Ruvuma
 Mkuu wa Wilaya ya Songea Mh. Joseph Joseph Mkirikiti akifungua Rasimi Maonyesho ya Nane Nane Kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Saidi Thabiti Mwambungu katika viwanja vya Masamala songea mjini
 Mkuu wa Wilaya Joseph Joseph Mkirikiti akikagua banda la Veta katika maonyesho ya Nane Nane Songea
Mjasilia mali kutoka Lwanda TANICOAL Katika maonyesho ya nanenane akiwa ameta Vyungu na Makaa ya Mawe yanayo weza kutumika kwa watu majumbani kwa ajili ya kupikia