Mazingira ya wanyama mbalimbali huishi sawa na eneo wanalo taka wanyama kama kinyonga, Kenge, Mjusi hutafuta maeneo ambayo wanaweza kupata kitoweo kwa urahisi kama vipepeo nzige na samaki wadogo katika kisiwa hiki cha pomonda kuna kila aina ya mijusi ya Rangi pia Vingonga wa kila namuna
Moja ya Vivutio kwa Watali ni Vinyonga wa ana mbali mbali kama unavyo mwona huyo hapo juu .Lakini la msingi kinyonga huishi kwa utalamu anapo taka mawindo fulani hujibadili na sehemu aliyopo.Nivizuri nao binaadamu wa kajifunza hali ya Kinyonga ili wakati wa Shida wajue kuna shida na wakati wa raha wakalijiua hilo
Kinyonga hana Rangi isipo kuwa Mwenyezi Mungu amempa kinyonga Uwezo wa kujibadili kutokana na Hali ya Mazingira ilivyo ana uwezo wa kujikinga ha Hatari kutokana na Hali ilivyo, Hapo Kajibadili akiwa Katika Jiwe kubwa eneo la Pomonda.
Maua yanapo chanua huonyesha furaha na yapo nyauka huonyesha mwisho wa uhai wa Binadamuhata Binadamu humia maua yanapo chanua kuonyesha furaha .Hakuna anaye tumia ua likiwa lime nyauka
No comments:
Post a Comment