Jengo hili la Police Wanawake Songea lina jengwa kwa nguvu ya Wanachi watu mbalimbali wamejitolea kwa kutoa pesa wengine kutoa vifaa mpaka sasa limebaki kumalizia mchango kutoka kwa wadau mbambali una hitajika
Hapo jengo hilo la wanawake Police Songea likionekana kutoka mbali
KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo
UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuesday, February 21, 2012
Monday, February 20, 2012
ZIARA YA MAKAMU WA RAIS Mohamed Gharib Bilal MKOANI RUVUMA
Wednesday, February 8, 2012
POLICE WANAWAKE WAANZA KUJENGA JENGO LAO KWA AJILI YA HUDUMA ZA WANAWAKE
Mwenyekiti wa Chama cha Walemavu mkoa wa Ruvuma akitoa mchango wa Shilingi 50,000/= kwa ajili ya ujenzi wa jengo la Police Wanawake Mkoa wa Ruvuma
Fundi Casto Mgao akiinua kona za Jengo la Police Wanawake akijenga kwa makini ili jengo hilo liwe la mfano Tanzania Mzima
MKOA WA RUVUMA WAENDELEA KUPATA UFAULU KATIKA KILIMO
Hiyo ni hali halisi ya shamba la mahindi la mbwana Issa Mbilingi lenye ukubwa wa ekari 98 lilioko Parango Songea vijijini.
Mkulima mkubwa wa shamba la Mahindi lenye ukubwa wa Ekari 98 shamba hili kila mwaka hutoa zaidi ya tani 200 mwaka huu huenda likatoa tani zaidi ya tani 200 .garama za uendeshaji ni shilingi milioni 35
MWAKA 2011 MKOA WA RUVUMA ULIFANYA VIZURI KATIKA KILIMO CHA UZALISHAJI WA MAHINDI NA HIVI SASA MKOA UPO JUU KATIKA KILIMO MVUA ZIPO ZA KUTOSHA CHANGAMOTO NI MBOLEA YA RUZUKU AMBAYO WANYONGE WENGI HAIJA WAFIKIA NI JUU YA SEREKARI KUUTEUA MKOA WA RUVUMA KUWA MOJA YA YA MIKOA INAYO WEZA KUZALISHA MAZO YA CHAKULA KWA TANZANIA,AFRIKA HATA ULIMWENGU MZIMA ARIDHI TUNAYO
UKIUKAJI WA SHERIA UPANDE WA VIUMBE NA SHERIA ZA MANSPAA
Trafiki akifanya kazi yake kutekeleza amri za Manspaa ya Songea kutoza Fani kwa magari yanayo kiuka Taratibu
Binadamu ameteuliwa na Mungu ili awe mlinzi wa viumbe hapa duniani awe mwadilifu,atumie utashi na busara katika kutoa maamuzi kwa upande wa viumbe vinavyo mtegemea. Sasa hebu angalia huu ndio ulinzi tulio pewa na Mungu kulinda Viumbe vyake ? jee ushikaji huu wa kuku kichwa chini na miguu juu ni haki? kiumbe ni kiumbe hebu fikiri watu wanao itwa wachawi binadamu wa kawaida wanawaonaje wachawi Tumia Busara katika kubeba viumbe ukimwona mtu kama huyu mkemee mara moja ,mbona matenga yapo kwa nini usitumie tenga

Subscribe to:
Posts (Atom)