
Ngoma ya Lizombe au Shaba Group ikitumbuiza mbele ya Makamu wa Rais Mh. Mohamed Gharib Bilal akiwa uwanja wa ndege Songea

Makamu wa Rais Mohamed Gharib Bilal akiwa ziarani Mkoa wa Ruvuma kulia kwake ni mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said Thabit Mwambungu

Ukaguzi kwa watu wanao ingia katika uwanja wa ndege Luhuwiko manspaa ya Songea
No comments:
Post a Comment