Binadamu ameteuliwa na Mungu ili awe mlinzi wa viumbe hapa duniani awe mwadilifu,atumie utashi na busara katika kutoa maamuzi kwa upande wa viumbe vinavyo mtegemea. Sasa hebu angalia huu ndio ulinzi tulio pewa na Mungu kulinda Viumbe vyake ? jee ushikaji huu wa kuku kichwa chini na miguu juu ni haki? kiumbe ni kiumbe hebu fikiri watu wanao itwa wachawi binadamu wa kawaida wanawaonaje wachawi Tumia Busara katika kubeba viumbe ukimwona mtu kama huyu mkemee mara moja ,mbona matenga yapo kwa nini usitumie tenga
KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo
UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Wednesday, February 8, 2012
UKIUKAJI WA SHERIA UPANDE WA VIUMBE NA SHERIA ZA MANSPAA
Binadamu ameteuliwa na Mungu ili awe mlinzi wa viumbe hapa duniani awe mwadilifu,atumie utashi na busara katika kutoa maamuzi kwa upande wa viumbe vinavyo mtegemea. Sasa hebu angalia huu ndio ulinzi tulio pewa na Mungu kulinda Viumbe vyake ? jee ushikaji huu wa kuku kichwa chini na miguu juu ni haki? kiumbe ni kiumbe hebu fikiri watu wanao itwa wachawi binadamu wa kawaida wanawaonaje wachawi Tumia Busara katika kubeba viumbe ukimwona mtu kama huyu mkemee mara moja ,mbona matenga yapo kwa nini usitumie tenga
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment