
Mwenyekiti wa Chama cha Walemavu mkoa wa Ruvuma akitoa mchango wa Shilingi 50,000/= kwa ajili ya ujenzi wa jengo la Police Wanawake Mkoa wa Ruvuma

Fundi Casto Mgao akiinua kona za Jengo la Police Wanawake akijenga kwa makini ili jengo hilo liwe la mfano Tanzania Mzima

Fundi wa Zege John Ngonyani akiinua nguzo huku akisuka Nondo kwa ajili yaq kumimina bimu ya Nguzo hizo

Wajenzi wa barabara za Mkoa wa Ruvuma Mantura akitoa mchango kwa ajili ya ujenzi akimkabidhi Kamanda wa Police Mkoa wa Ruvuma Maiko Kamhanda

Kamanda wa Police Mkoa wa Ruvuma Maiko Kamhanda akitoa Maelekezo ya kuongeza vyumba vilivyo sahaulika

Shuguli za upimaji wa jengo la Police Wanawake likiwekewa msingi hapo fundi ujenzi Casto Mgao akipima tayari kwa kujenga
No comments:
Post a Comment