KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo
UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Sunday, July 29, 2012
BINT NDEMBO MGANGA MARUFU WA JADI MKOA WA RUVUMA APATA NAFUU HOSPITALINI
Thursday, July 26, 2012
MGANGA MASHUHURI WA JADI FROLA NDEMBO AMEPIGWA NA MAJAMBAZI KWA SABABU YA KUSHINDWA KUFANYA UHALIFU
Mganga Maarufu wa Jadi Mkoani Ruvuma Frola Ndembo amenusurika kuuwawa na watu wanaotuhumiwa kuwa ni Majambazi.
Kamanda wa Police Mkoani Ruvuma Deusdediti Nsimike amesema Mganga huyo wa Jadi mwenye Makao yake Namabengo wilayani Namtumbo ambaye Kambi yake hupokea watu 700 na wakulazwa 4o0, usiku wa jana alivamiwa na Majambazi walio dai kuwa anazuia kazi zao.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma amesema Frola Ndembo alivamiwa majira ya saa 6:00 usiku hatimaye kumteka na kumpeleka porini ambako walimfunga kamba na kumpiga huku wakimwamurisha kuwa aachane na uganga kwa kuwa anazuia kazi za watu.
Wagonjwa waliokuwa kwenye Kambi waliposikia kutekwa kwa mganga Frola Ndembo walisambaa katika vichaka na kumkuta amefungwa kamba huku damu zikimtoka mdomoni na puani kutokana na kipigo.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma Deusdediti Nsimeki amesema anafanya msako mkali ili kuwabaini wale wote waliousika na swala hilo.
Kamanda wa Polisi Deusdedit Nsimeki ameomba watu wenye taarifa kuhusu watuhumiwa hao watoe taarifa Polisi.
Mganga Frola Ndembo amelazwa Hospitalini mkoani Ruvuma.
RAIS DR JAKAYA MRISHO KIKWETE AONGOZA MAOMBELEZO YA MASHUJAA WA VITA

VIZAZI VIJAVYO VITA SIMULIA NINI KUHUSU WANYAMA PORI ?

Wednesday, July 25, 2012
SHEREHE ZA SIKU YA KUWAKUMBUKA MASHUJAA ZA FANA MKOANI RUVUMA
Monday, July 23, 2012
KIKAO CHA KAZI KWA ASKARI WA USALAM,A BARABARANI MKOA WA RUVUMA

Thursday, July 19, 2012
VIONGOZI WASHILIKI JUHUDI ZA KUWA WAPA POLE WALIO FIKWA NA JANGA LA KUZAMA KWA MELI YA SKIGET ZANZIBAR

Kwa mujibu wa taarifa zilizitolewa na kikosi cha wanamaji, watu wengine wengi wanaripotiwa kuokolewa kufuatia meli hiyo kuzama kutokana na dhoruba kali.
AJALIYA MELI ZANZIBAR YA LETA TASWILA MBALIMBALI
Tuesday, July 17, 2012
SENSA YA WATU NA MAKAZI NI UKOMBOZI KWA WATANZANIA
Amesema Zoezi la Sensa ya Watu na Makazi ndiyo Ukombozi kwa Mwananchi wa Tanzania kuweza kujua na kupanga Mipango ya Maendeleo ikiwemo Uchumi, Afya, Elimu na Miundombinu ya Mawasiliano.
MKUU WA MKOA WA RUVUMA SAID THABIT MWAMBUNGU ATOA LAKI TANO KWA POLICE WANAWAKE
Hiyo ni furaha ya pekee pale unapo kuwa karibu na kiongozi wa mkoa kutoa fedha kama hizo kwa ajili ya wanawake aliye pembeni ni Fadhila Chacha akitabasamu kuonyesha sasa jengo lina isha.
JAMII YA TAKIWA KUFUNGUA AKIBA KWA WATOTO
Na noel Stephen - Mpwapwa Dodoma
Wito umetolewa kwa wazazi wote nchini kujenga moyo wa kuwawekekeawatoto wao akiba mbali mbali za kimaisha ili wasipate taabu wanapoingia utu uzimaWito huo umetolewa na Meneja wa Bank ya NMB tawi la Mpwapwa BWANAHERMAN MASUKI hivi karibuni alipo kuwa akizindua mpango waAnkaunt maalum kwa watoto walio chini ya miaka kumi na nane ajulikayokama Finacial Fitness .
Bwana masuki alidai kuwa Wazazi wengi nchini hawana tabia yakuwawekea akiba watoto walio chini ya miaka kumi na nane kitu alichokisema kuwa kina leta shida pindi mtoto aingiapo utu uzima na kuanzaau anapo pelekwa shule kushidwa kugalamiwa masomo kutokana na wazaziwengi kuto kuwa na malengo ya badae kwa watoto waoBwana Musuki alidai kuwa wazazi waweze kuwa fungula watoto waoakaunti ijulikanyo kama junior account amabayo alisema kuwa niankunti iliyo wekwa mahususi kufundisha watoto njisi ya kuweka fedhakwa ajili ya matumizi ya baadae.
Pia “tukumbukle kuwa sisi hatuna mkataba na mungu je watoto wangapiambao tunawaona wazazi wao walikuwa na uwezo mkubwa wa kifedha lakinimala baada ya kufa wazazi wao tunawaona watoto wanapolwa mali nandugu wa marehemu na kubaki hawana kitu na kuwa watoto wa mitaani jewangewekewa akiba benki nani angewa dhurumu hivyo ndugu zangu tupendekujijengea tabia ya kuwawekea watoto akiba za maisha
”aliongea bwanaMasukiALISEMA kuwa Benki hiyo imeamua kuanzisha mpango huo kufuatia tafitimbalibali zilizo fanywa na maafisa ya benki hiyo na kugundua kuwawatoto wengi wanapata shida za kumudu gharama za maisha na masomokutokana na wazazi wengi kuto kuwa tabia za kuwawekea watoto waoakiba ya baadae.
Katika uzinduzi huo jumla ya watoto 327 walihudhuria harambeehiyo kutoka shule mbalimbali za wilya ya mpwapwa ambazo ni shule yamsingi Chazugwa,Ilolo, Mazae, Mpwapwa na Kikombo na kati hao niwatoto wacache tu walikuwa na akaunti za benki za watoto.

Sunday, July 15, 2012
ELIMU YA DINI INA LETA MAADILI MEMA KWA MTOTO
Wednesday, July 11, 2012
MSD YA PATA LAWAMA MPWAPWA
Na noel stephen MPWAPWA
Imeelezwa kuwa kitengo cha usambazaji dawa Medical Store Departiment(MSD) ni chanzo cha hopspitali nyingi kulamikiwa na Watanzania hasaWateja wa Bima ya Afya na watu wengine kwa kuzidiwa na huduma zausambazaji wa dawa na kushidwa kufanikisha huduma hiyo kwa watejawake..
Hayo yamesemwa na watumishi pamoja na waganga wa Hospital yaBenjamini William Mkapa Wilayani Mpwapwa Mkoa wa Dodoma walipokuwawakiongea na NAIBU WAZIRI WA AFYA NA USTAWI WA JAMII Dk Seif RashidiMbunge(CCM) alipofanya ziara ya kikazi katika Hospitali hiyo.AKIONGEA mmoja wa waganga wa hospitali hiyo MUSA shielo alisemakuwa MSD imekuwa ni kikwazo kikubwa cha utendaji wa kazi katikahospitali nyingi nchini kwa kuleta dawa kwenye vituo tofauti nadawa ziliozo agizwa na hospitali au kituo cha Afya kitukinachopelekea wateja wengi wa huduma za bima za afya na
wagonjwawengine kuzilalamikia hosptali hizo na kuhisi kama kuna mianya yarushwa ndani ya utoaji wa dawa hizo.Alidai kuwa “utashangaa gari ya dawa limefika jana na limeshushadawa lakini mgonjwa anakuja unamwambia akanunue dawa atakuelewakweli? lakini MSD unaagiza dawa hizi unaletewa dawa zingine kwaniniMSD inawatesa watanzania wakati wanatumia pesa za wananchi wanyonge wanchii hii msd hupelekea wananchi kuichukia nchi yao na serikali yao”alisema dokta chieloAidha Mganga mfawawidhi wa hospitali ya wilaya hiyo
Bwana SigfridIshengoma alisema kuwa mbali na kutoa dawa kinyume na maagizo lakinikuna vifaa vingi ambavyo husambazwa na kitengo hicho kuwa havina uborawa kutosha “ vifaa tiba na baadhi ya dawa mfano mashine za kupimiapresha,pampu za kunyonyea uchafu wakati mwana mke anajifungua,uharibika kwa muda mfupi sana,
kama MSD ikizidiwa basi serikaliiangalie uwezekano wa kuanzisha chombo kingine cha kutoa huduma zadawa ili washindanishwe na MSD sasa hivi hufanya hivyo kwamaana wakopeke yao ndio maana huzembea ”aliongezea doka Ishengoma.Dk, SEIF RASHIDI alipofika katika Hospitalini hapo alikagua katikawadi za wagonjwa na alipoingia wadi ya wajawazito aliwakuta akinamama wamelala wawiliwawili katika kitanda kimoja kutokana na uhabawa vitanda katika wadi hiyo na ufinyu wa sehemu hiyo muhimu kwa kinamama kitu ambacho kinaondoa hata utu wa mwanamke katika swala zimala kujifungua.
AKIONGEA Dk. SEIF na watumishi na wagannga wa hospitali yaBenjamini Wliam Mkapa alisema kuwa serikali imejipanga kushughilikiakero zote za watumishi wa idara ya Afya kwa kuangalia vipaumbele naumuhimu wa mahitaji ya watumishi hao./

Saturday, July 7, 2012
MRADI MKUBWA WA KILIMO CHA KISASA WA ZINDULIWA RUVUMA NA WAZIRI MKUU MH.MIZENGO KAYANZA PINDA
Subscribe to:
Posts (Atom)