
Mkuu wa Wilaya ya Mbinga akitopa mfano alipo kuwa Mdogo kitu cha kumwogofya mtoto ni kusema Polisi Huyo, Sasa Dhana hiyo haipo ila Police wanatakiwa kujiepusha na Falagha ili kuweka imani kwa Raia

Mkuu wa Wilaya ya Mbinga akifungua Rasimi mafunzo ya Kazi kwa Asikari wa Usalama Barabarani kikao kilicho fanyika katika ukumbi wa Jimbo la Mbinga

Kamanda wa Police Mkoa wa Ruvuma akitoa msisitizo wa Kazi katika kupunguza Uhalifu Mkoani Ruvuma

Hao niasikari wa usalaama Barabarani wakiwa katika kikao malumu cha kazi kuhusu kujiepusha na Rushwa

Asikari wa Usalama Barabarani wanatakiwa kuwa rafiki wa wawaendesha vyombo vya moto, lakini asikari wachache hutumia ukali ili wapate chochote , Kamanda wa Police Mkoa wa Ruvuma Deusdediti Nsimike amewataka Asikari wa Usalama Barabarani Kutoa Elimu kwa Watembea kwa miguu na wale wenye Vyombo vya Moto Kikao hicho cha kazi kilifanyika Wilayani Mbinga Mkoani Ruvuma
Brother Nindi nimekupata vyeme katika sherehe hizo na picha zako zoote kabisa. Nashauri Before you Post Pictures and words, Edit. Juma Nyumayo Dar es Salaam.
ReplyDelete