
Watoto wa Manspaa ya Songea wakiwa hospitali kuja kutoa pole kwa watoto walio lipukiwa na dawa ya mbu

Watoto walio miminika hospitalini kuwa fariji watoto yatima walio lipukiwa na dawa ya mbu na kuwa unguza vibaya

Mkuu wa kitengo cha kulelea watoto wadogo kiitwacho Naema Vition kilichopo mkuzo songea

Watoto wa manspaa ya Songea wakiendelea kutoa pole kwa kutoa biscuti,juis pamoja na pipi

Mjumbe wa CCM Mariamu Simba akiwa hospitali kutoa pole kwa watoto walio unguzwa na dawa ya Mbu baada ya kuwalipukia

Meya wa Manspaa ya Songea Mariamu Didhumba aliye vaa gauni la njano akitoa pole kwa watoto Hospitali ya Mkoa wa Ruvuma

Katibu wa UWT Mkoa wa Ruvuma Mariamu Yusufu akitoa pole kwa watoto pamoja na kuwa fariji kwa kutoa vya kula vya aina mbalimbali

Mariamu Yusufu akiendelea kuwa fariji watoto watano walio lipukiwa na Dawa ya Mbu katika kituo chao huko Mkuzo Manspaa ya Songe

Watoto wa manspaa ya Songea kwa nyakati tofauti walimiminika kwanda kuwaona wenzao walio patwa na janga la kulipukiwa na dawa ya Mbu wakiwa kambini kwao wakati walipo enda kutupa maganda na kusababisha moto ukolee na kulipua dawa ya Mbu

Msongozi akitoa Pole katika Hospitali ya Mkoa kwa watoto walio patwa na janga la kuunguzwa na moto uliotokana na kulipuka kwa Dawa ya Mbu iliyo lipuka

Katibu wa UWT Mkoa wa Ruvuma Mariamu Yusufu akitoa zawadi kwa watoto Yatima waliolipukiwa na Dawa ya Mbu pole hizo aliwa kabidhi watawa wa kihindi wa kituo cha NEEMA
No comments:
Post a Comment