
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Mh Said Thabit Mwambungu akiwataka wanaruvuma kumwomba Mwenyezi Mungu ili zoezi la Sensa ya Watu na Makazi liweze kufanikiwa.
Amesema Zoezi la Sensa ya Watu na Makazi ndiyo Ukombozi kwa Mwananchi wa Tanzania kuweza kujua na kupanga Mipango ya Maendeleo ikiwemo Uchumi, Afya, Elimu na Miundombinu ya Mawasiliano.

Watu wako katika harakati za sensa ya makazi ya watu wakichukua mambo mbalimbali ili wafanikishe sensa.

Wajumbe kutoka wilaya mbalimbali wakiwa katika kuratibu mambo ya Sensa na Makazi ya Watu

Wajumbe kutoka wilaya Tano za Mkoa wa Ruvuma wakiwa katika katika mafunzo ya sensa

Mjumbe wa kamati ya sensa ya watu na Makazi mkoa wa Ruvuma ambayo ina andaa sensa ya makazi kimkoa
No comments:
Post a Comment