Katika uchaguzi ulio fanyika wa kumchagua mwenyekiti wa vijana Mkoa wa Ruvuma Alex Nchimbi aliibuka kuwa mshindi kwa kupata kura 392 dhidi ya kura 460 zilizo pigwa ,mjumbe wa mkutano mkuu Taifa alichaguliwa Ziada Ntani kutoka wilaya ya Namtumbo mkoani ruvuma .
Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Said Thabit Mwambungu amewataka vijana kuwa Dira ya watanzani katika kulinda amani na utulivu tulio nao. Amesema chanzo cha machafuko Duniani kote kuna tokana na msingi mzima katika malezi ya vijana ka.Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Saidi Thabit Mwambungu ameyasema hayo wakati akifungua mkutano mkuu wa Vijana ambao uliambatana na uchaguzi mkuu wa kuchagua Mwenyekiti na mwakilishi wa mkutano mku Taifa.
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said Thabiti Mwambungu amesema msingi mzima wa utulivu na amani umetokana na viongozi walio pita kwa kuwajenga vijana katika maadili mema ya uendeleza utulivu na amani tulio nao ,Hivyo ametaka vijana kufuata msingi ulio achwa na wasisi wa chama Tawala CCM ,Nakatika kuchagua viongozi msingi mzima achaguliwe kiongozi aliye bora ambaye ana uchungu na nchi yake na siyo kuwa na uchu wa madaraka
Viongozi wa dini walio hudhuria uchaguzi huo Abudul Omary na Mchungaji Benedict Kazimoto walimwomba mwenyezi Mungu kuwaondolea chuki kwa wale watakao shindwa na pia kuongeza mapenzi mema kwa viongozi watakao shinda.kwani uongozi hutoka kwa Mungu Nikawaida kwa washiri wa uchaguzi kutafakari kila wakati hapo ndugu huyo akipiga usingizi wakati uchaguzi unaendelea
Katibu wa Vijana Mkoa wa Ruvuma Mwajuma Mohamedi amesma shaba kubwa ya vijana katika kipindi hiki nikuongeza wigo wa kiuchumi na kuibua miradi mbali mbali ili kuwainua vijana kibiaqshara .
Mvatano inje ya ukumbi wa open univerity songea wajumbe wakidai uchaguzi umeambatana na mizengo ,Hao ni baadhi ya wagombea wa kiti cha Uwenyekiti wa Vijana Mkoa wa Ruvuma
No comments:
Post a Comment