Kutona na wananchi kuto Linda vyanzo vya maji pamoja na uchomaji wa moto ovyo wasababisha wananchi wa Manspaa ya Songea kulazimika kupata mgao wa maji,
Katika kikao cha kutathimini majanga ya Moto katika mkoa wa Ruvuma imeonyesha watu walio wengi hawana elimu ya kutunza mazingira na kujua kuwa kazi ya utunzaji mazingira niya serekari
Pamoja na kibao hiki kueleza kuwa eneo hili halitakiwi kulima wala kuchoma moto lakini watu bado wana haribu mazingira
Mkurugenzi wa Mamulaka ya Maji safi na Maji taka SOWASA Francis Kabongo amesema uchoji wa moto katika vynzo vya maji umeweza kuleta hasara kubwa kwa kuunguza miti ambayo ni rafiki wa maji ,miti hiyo imepandwa mfululizo miaka mitano ili kuimarisha vyanzo vya maji .swala hilo limepelekea kushuka uzalishaji wa maji kwa asilimia 50%
No comments:
Post a Comment