Nijambo la kushukuru Jeshi la POLICE Mkoa wa Ruvuma kwa kuweza kutambua mchango unao tolelewa na waandishiwa wa Habari katika kukemea vitendo viovu vya unyanyasajiwa kijinsia kwa watoto nawanawake.Hii inatia moyo kwa kusamini michango yawaandishi.
KwaMfano kazi kubwa iliyofanywa na mwandishi waHabariwa StarTv kuifahamisha Serekari kuzima motouliokuwa ukiunguzamaakaayamawe yaRwanda wilayan iMbinga na sasa makaa hayo kupata mwekezaji lakini hakuna cheti walashukururani kutoka NDC pamoja na kuandika barua chungumzima lakini jeshi lapolice bila hiyana wame tambua mchango wawaandishi waHabari Hongera IGP Saidi Mwema
No comments:
Post a Comment