Maafisa waandamizi wa Gazeti la Serikali la Habari Leo Dativa Minja na Beda Msimbe kutoka Dar es Salaam walipotembelea katika Bwawa la Kuzalisha vifaranga vya Samaki la Luhila Manispaa ya Songea Kwa Mjibu ya Tarifa alizo pewa Juma Nyumayo na Afisa Uvuvi amesema kuna Vifaranga vya Samaki vipatavyo 127,617
Kiongozi wa Habari Leo Dativa Minja akiwa na Mwenyeji wake Mwariri Mwandamizi wa Magazeti ya Kanda ya Kusini TUJIFUNZE Juma Nyumayo wakiangalia hali ya uzalishaji wa Samaki kwa njia ya kisasa.Ambapo Wanchi wa Wilaya ya songea wamefaidika kwa kuuziwa vifaranga 75,850
Mkoa wa Ruvuma ni miongoni mwa Mikoa yaMajaribio ya Uzalishaji wa Vifaranga kwa njia ya kisasa ambapo kwa sasa Mkoa umefanikiwa kupandikiza Samaki Dume kuzalisha Vifaranga.Pichanini ni Kiongozi kutoka Habari Leo Dativa Minja akiangalia Bwawa hilo lililopo Luhila Manispaa ya Songea alipotembelea Mkoani Ruvuma kwa kazi maalumu.
Maafisa Waandamazi wa Gazeti la Serikali la Habari Leo Bw. Beda Msimbe na Dativa Minja wakipewa maelezo ya kina kuhusu uzalishaji wa Vifaranga katika Bwawa la Luhila lililopo Manispaa ya Songea.
Maafisa Waandamazi wa Gazeti la Serikali la Habari Leo Bw. Beda Msimbe
na Dativa Minja wakisikiliza kwa makini kuhusu uzalishaji wa Vifaranga
na njia zinazotumika kuboresha ufugaji wa Samaki katika Bwawa la Uzalishaji wa Samaki Luhila Manispaa ya Songea.
No comments:
Post a Comment