Wakulima wa Mkoa wa
Ruvuma wata nufaika na Tecolonojia mpya ya kuhifadhi mazao na kuepukana na
uhifadhi wa kutumia madawa ambayo yalikuwa yana sababisha Maradhi ya magonjwa
ya kansa pamoja na kupunguza siku za
kuishi
Mkuu wa wilaya ya songea Porofesa Norman Sigala King' amesema tekolonojia hii ya kisasa ita weza kumwongea kipato mkulima, pamoja na kumpunguzia ghara alizo
kuwa akitumia kwa kununa Madawa
,Afisa husiano wa AGRA
Allan Ngaponda amesema ni mhimu
kutumia tekonolojia hii mpya bila kuitumia wakulima hupoteza zaidi ya asilimia
30 mazao kila mwaka
Mkuu wa wilaya ya songea Pro .Noman Sigalla King' akiangalia kwa makini jinsi Tekolonojia mpya ina weza kuwa wadudu bila kutumia dawa
Watalamu kutoa AGRA wakionyesha jinsi ya kutumia kifuko fuko kwa mkulima mdogo nacho hakihitaji dawa bwana Allen Ngaponda akionyesha ufundi wake kwa wakulima
Meneja wa NFRA Mogan Mwaipyana amesema kuingia kwa Teconolojia
Mpya ya Kuhifadhi mahindi kutaweza kupandisha bei ya Mahindi kwa kuwa Mahindi hayo yata kuwa na
ubora wa kimataifa
Waandishi mbambali wakiishangaa Tekolonojia Mpya jinsi inavyto fanya kaziHilo ndilo gh;ala la kisasa ambalo halitumii dawa zaaina yoyote ile
Watalamu kutoka masirika mbalimbali yakiwemo AGRA,RUDI,BRITEN,CSDI wa kwanza kutoka kushoto ni Josephine na wanao fuatini ,,,,
Hawo hapo ndiwo wanao saidia kueneza utalamu huu wa kisasa dada Aairen Mbaab anaonyesha akishati katika mtandao
Kutoka kushoto ni Abel lyimo wakatikati ni Mkuu wa wilaya ya Songea Pre Noman Msigala anaye fuatia ni Dada Airen Mbaab na wa mwisho ni
Mkurugenzi wa Agra AGRA Cd Cilin
Allan Ngaponda akiendesha kikao na kumujulisha Mkuu wa Wilaya Faida ya kutumia Tekolonojia hii Mpya
Naye Mkurugenzi wa RUDI Abel Lyimo [wa kwanza kulia] Shirika linalo shugulikia usamazaji
wa zana za kisasa za kuhfadhia Mahindi kwanjia ya Tecolonojia mpya ijulikanayo
kwa jina la kifukofuko na Ghala la Chuma bwana Abel Lyimo ameiomba serekari kuondoa
kodi kwa zana hizi mpya za kuhifadhia mahindi zinapo ingia kutoka nje
Mkurugenzi mkuu wa Agra mwenye makao yake nchini Kenya
Cd Clin amesema meshangazwa kuona jembe
la mkono lina uwezeso wakuzalisha mahindi mengi ameona mlundikano wa Mlima wa
Mahindi hii ni dalili tosha kuwa sasa AGRA
ina paswa kumwokoa mkulima kwa kutafuta soko la kuuza Mazao yake .
Mkurugenzi wa Agra
AGRA Cd Cilin Shirika linalo
shugulikia Uzalishaji wa Mahindi Barani Africa [Nyota ya kijani ] Cd Clin amesema atashilikiana na wafadhili
mbalimbali ili kuhakikisha mkulima wa zao la Mahindi hapotizi kile alicho zalisha ,
Mwili haujengwi kwa Zege bali ni lishe safi ,hiyo ni foleni ya kuchukua Chakula kwa wageni walio alikwa
Dada Josephene akiiomba serekari kuondoa kodi kwa Vifaa vya Tekonolojia vya Kifukofuko na Kihenge cxha chuma kwa kuwa bidha za kilimo hazitozwi ushuru
Mkurugenzi wa AGRA CD CILIN akielezea jinsi Mahindi yalivyo Mhimu ,Watu wengi hufa kwa njaa na hapa songea yapo amesema hii ni changamoto kubwa kwa Nchi za Afrika la Mhimu ni kushirikia kuondoa Changamoto hii
Allan akiendelea kutoa darasda
Alan Ngapoinda na Tekolonojia mpya akiwa na wakulima kuwaelimisha kwa vitendo jambo lililo onyesha ni ukombozi wa Mkulima
mtalamu wa vifukofuko kuto Tanga Ladislaus Ng'ingo akitoa elimu jinsi ya kuhifahi mahindi
Kutoka kushoto ni Meneja wa NFRA Songea Mogani Mwaipyana anaye fuata Mkurugenzi wa Agra AGRA Cd Cilinwakatikat aliye katikati ni Mkuu wa Wilaya ya Songea Noman Msigala King anaye fuatia ni Mkurugenzi wa RUDI Abel Lyimo na wa mwisho ni dada Josephine
Wadau wa kilimo wakipata chakula baada ya kupewa Elimu ya Jinsi ya kutumia Kifukofuko na Kihenge cha Chuma jinsi ya kuhifadhi Mahindi
No comments:
Post a Comment