Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said Thabit Mwambungu amewataka Walimu
wanaotegemea Michango ya wanafunzi wa Shule za Msingi au Sekondari waache tabia
hiyo mara moja.
Mkuu
wa Mkoa wa Ruvuma Said Thabiti Mwambungu ameyasema hayo wakati akifungua Baraza
la Kwanza la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya
ya Nyasa.
Mbunge wa Jimbo la Nyasa Mhandisi Stela Martin Manyanya
amesema pamoja na kuhimiza Elimu, lakini kumekuwa na tabia ya walimu kuacha
kazi na kushiriki mambo ya Biashara mwalimu atakayebainika akifanya Biashara
wakati wa kazi, Hatua kali zitachukuliwa dhidi yake.
Hakimu Mwandamizi wa Mahakama ya Mwanzo Mbambabay Nicson Maleko aki Tayarisha Kiapo
Anusiata akimvisha sikafu Mwenyekiti wa Halimashauri ya Nyasa
Ukumbi wa kisasa uliopo wilaya ya Nyasa kama unavyo onekana ni moja ya vivutio katika wilaya ya Nyasa
Mkurugenzi wa wilaya ya Nyasa Jabri Shekimweri akisoma mikakati aliyo jiwekea katika kukuza uchumi wilaya ya Nyasa
Moja ya Vivutio vilivyoko katika wilaya ya Nyasa ni Ziwa Nyasa kama unavyo liona hapa
Wilya ya nyasa ina kabiliwa na vitendea kazi vya kuweza kuendeleza
Maendeleo Baraza la Madiwani ilimeazimia kutendea kazi vyanzo vyote vya uchumi
ikiwemo ziwa nyasa, sehemu za utalii,Pamoja na kushiriki kilimo cha umwagiliaji
Zao kubwa la Mwambao mwa Ziwa Nyasa ni Samaki na Dagaa wanao patikana katika ziwa Hilo hapo ukiona kwa Mbali kuna kambi za Chadema na Kambi za CCC Katika Uvuvi
Mkurugenzi wa Blog ya Songea Habari aliweza kuzuru katika ziwa nyasa na kiukuta Dagaa watamu kuliko dagaa wengine wowote Ulimwenguni ,Hicho kipulastiki alicho shika kinauzwa shilingi elufu kumina mbili sawa na kilo moja shilingi 4000/=
Ukiwa Ziwa Nyasa kwa kweli utajionea Raha hebu ona jinsi Dagaa walivyo weupe ukionja ndugu yangu safari za Nyasa Zita kuwa kila wakati
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said
Thabit Mwambungu katika kikao hicho amewaagiza watendaji wa kata kusimamia
usafi pia kuangalia kuwa kila Mwananchi anashiriki pamoja na kuwa na choo.
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said Thabiti Mwambungu amesema mara
baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mh John Pombe Magufuli kufuta Ada kuanzia awali mpaka kidato cha nne, Wapo walimu
wanaoona kuwa maisha yao
hayaendi isipokuwa kwa michango ya wanafunzi.Waalimu hao waachie ngazi.
Maafisa watendaji walio ambiwa waache kuwa Miungu Mtu wafanye kazi kwa uledi bila kuwa nyanyasa wananchi
Madiwani wa Halimashauri ya Wilaya ya Nyasa kabla ya kula kiapo waki msikiliza Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma akihimiza usafi kwa kuanzia Mtu mmoja mmoja haji jamii kwa ujumula
Hakimu Mwandamizi wa Mahakama ya Mwanzo Mbambabay Nicson Maleko akingoja kuwaapisha waheshimiwa Madiwani
Sekiriteriati ya Kuratibu kikao cha kwanza cha Baraza la Madiwani wilayani Nyasa
Mkuu wa Wilaya ya Nyasa Mh. Magreti Malenga akimkaribisha Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma kulihutubia Baraza la Kwanza la Madiwani Wilaya ya Nyasa
Madiwani na Watendaji wa Halimashauri ya Nyasa wakiwa kwenye kikao
Hakimu Mwandamizi wa Mahakama ya Mwanzo Mbambabay Nicson Maleko akiwaapisha Madiwani wa Hal;imashauri ya Wilaya ya Nyasa wakila kiapo cha Serekari tayari kwa kulitumikia Taifa
No comments:
Post a Comment